Mwandishi: Geofrey Malwa
SEHEMU YA KUMI NA NANE
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
zile kelele za kumsifia jamaa kuwa ni fundi naye jamaa anavyojibu mapigo,ile milio ya kutikisika kwa kitanda ilianza kuamsha hisia za Cheche na huyo msichana ila zaidi ni Cheche,naye msichana huyo alivyoona Cheche anapata shida ya kuzuia dudu lake ndio alianza kumletea vibweka,alijua tu akisuguliwa atamwachia aende,
KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI
SASA ENDELEA...
“daktari huumia sana pale aonapo mgonjwa akiteseka kwasababu ya ujinga au kukosa pesa wakati ana uwezo wa kumtibu,kwa hali uliyonayo kaka yangu niruhusu nikutibu,ni kazi yangu,hata bila kunilipa nitakupa tu,ulivyoninahii nilimsikia raha,unajua sana naomba unito…mpaka uchoke..” alisema hivyo huku akimfuata Cheche aliyeonekana hana kipingamizi na maneno hayo
Yule msichana alipojaribu kumsogelea Cheche,alifanyiwa kitu ambacho hakutegemea,ali
pigwa kofi la nguvu,yaani kofi linalofaa apigwe mwanaume.Msichana alidondoka chini akiwa ameshika shavu lake,hakuamini kwasababu Cheche alionekana kukubali kabisa kufanya kamchezo katamu,
“unapotaka kufungua mlango,uniue kidogo,” alisema hivyo Cheche na kumwacha mdomo wazi msichana wa watu
“ahsante kaka yangu.” Alishukuru msichana na kufanya kama alivyoambiwa,mlango ukafunguka…hakuamini kama kweli ametoka nje,alirudishiwa kichwa ndani akiwa nje na kumwambia Cheche kuwa asiwe na wasiwasi rafiki yake ataamka,aliongeza kusema kuwa iko siku ataelewa kwanini mambo kama hayo yanatokea huku duniani kisha akaondoka zake.
Madhara ya tiba ya mganga wa kienyeji yalimuwinda sana Nego wa watu aliyekuwa hana amani,alichoamini ni kwamba akiwa na dada Wowo ndio mambo yanakuwa vyema lakini siku hiyo mambo yalienda kinyume na alivyotarajia.A
kiwa ofisini alibanwa na haja ndogo na mara nyingi hupenda kwenda msalani,hakuwa kama vijana wengine wa vijiweni ambao hujisaidia popote walipoona panafaa.Wakati wa kutoa rungu tata ili ajisaidie ndio akagundua kuwa kile kibamia chake kimerudi tena,
“jamani,hii ni nini tena?” alishangaa Nego akiwa msalani.Alishachoka hayo mambo ya rungu tata lake kubadilika badilika.Alitoka msalani akiwa mnyonge haswa,utadhani mtu aliyetoka kuhara.Aliporejea ofisini alipokelewa na Zulfa,ni muda mrefu ulipita akiwa hajafika ofisini hapo,unadhani Zulfa aliongea basi! Hakuongea kitu zaidi alimpa karatasi fulani iliyokunjwa huku akitawaliwa na sura ya aibu hasa.Yaani mapenzi haya! Mtoto mdogo baada ya kusuguliwa tayari alishachanganyikiwa mpaka kuanza kuandika jumbe kwenye karatasi.Zulfa aliondoka huku akijichekesha mwenyewe.Huku nyuma Nego alifungua ile karatasi,kwanza hiyo karatasi yenyewe hazikuwa hizi za kawaida,ni zile maalumu kwa ajili ya kumwandikia mpenzi wako,zinakuwa na maua fulani na rangi ya kuvutia.Hayo makopa kopa yalichorwa mengi kweli,mtoto wa kike alifunguka mahaba yake kwa Nego mpaka Nego akabaki akiwa ameshika tama.Hakumdhania kama angeweza kuandika maneno yote hayo na ni mtoto wa shule ya msingi,aliamini kweli hakuna mtoto duniani inategemeana tu na wewe unavyomchukulia.
Suala la barua lilipita,aliiweka pembeni na kuanza kutafakari Kibami akilichorudi,alijitazama tena na kukuta mambo ni yale yale.Kiukweli hali ya kufanya kazi haikuwepo kabisa,alitamani afunge Ofisi yake na kwenda kupumzika,naye dada Wowo huyu hapa,alimbana kila kona…
“natamani nikubusu mpenzi wangu watu wote wajue ninavyokupenda,” alisema dada Wowo
“mmh hujatosheka tu jana usiku?” alijibu Nego.Alijitahidi kuweka sura ya uchangamfu
“hapana,kwako sitoshekagi,halafu kuna kitu nataka nikwambie mume wangu,”
“kitu gani?”
“nitakueleza kwenye sms,”
“mmh niambie jamani..”
“usijali nitakuandikia sms,kwanza niambie unakula nini mchana?”
“mmh chochote mke wangu utakachopenda mumeo nile,”
“mmh sawa,bye baby..”
“bye honey..” Nego alijiongeza kusema maneno kama hayo lakini moyoni mwake alijua fika laiti kama dada Wowo atajua ana Kibamia atamwacha bila kufikiria.Mawazo juu ya yale majibu ya maneno makali aliyoyatoa dada Wowo kwa yule jamaa mwenye maisha mazuri ila ana kibamia,yalimwogopesha sana.Aliendelea kujikagua kila muda lakini hali haikubadilika,H
uwezi amini aliwaza mbali mpaka akawa anawaonea tamaa wanaume wenzake.Ili kupoteza mawazo alirudishiwa mlango wa Ofisi na kwenda kutulia kijiweni na wenzake,
“dogo ana kibamia,kudadeki onyesha tuone…”
“kibamia? Na kama sio?”
“naweka dau kama sio kibamia..” palikuwa na kelele za kubishana ambazo Nego alizikuta,alila
zimisha suira ya furaha japo hakupenda watu wataje neno kibamia.Basi dogo aliyebishiwa kuwa ana kibamia,alifungua zipu n akutoa dudu lake,e bwana eeh kila mmoja alipoliona alisema amechanjia…watu walicheka hasa,Ila kwa Nego alijaribu kufikiria…ni kitu gani alichomkosea Mungu mpaka akamuumba na Kibamia,na kwanini asiongemuumba na chochote kuliko hiyo dharau anayoipata, “hivi ni udongo wa kuumbia uliisha au Mungu alikuwa mvivu ilipofika zamu yangu?” alijiuliza hivyo ambapo hakupata majibu.Alienda mbali sana kimawazo,kwa hali hiyo alilazimika kufunga Ofisi na kurudi nyumbani lakini hiyo ni baada ya kula chakula aliletewa na dada Wowo.
Nego aliporudi nyumbani alioga na kutulia,yalipof
ika majira ya saa moja kasoro,alijiandaa kuondoka ili asikutane na dada Wowo,maana hakuwa na cha kumwambia kuhusu ubadilikaji wa dudu lake.Lakini alipotaka kutoka tu,uso kwa uso mlangoni alikutana na dada Wowo,walikumbatiana mpaka wakakaa wote kwenye kochi,
“aah leo nimepika ugali mboga za majani,matunda na samaki wa kukaanga,we si unasemaga unapenda samaki,sasa leo nimekuletea mkubwa ule mpaka umalize,”
“daa mwaka huu mbona nitanenepa,”
“nataka nikufurahishe mume wangu,maana kwenye moyo wangu uko peke yako,handsam wa maisha yangu yote,”
“ahsante mke wangu.” Waliongea hivyo huku Nego akiwa amemalizwa nguvu kabisa maana alitaka kuondoka asionane na dada Wowo.Alipanga akiwa huko atoe kisingizio cha uwongo sirudi kabisa nyumbani.
Kwa maisha haya ya ujana,unampata mwanamke kama dada Wowo ambaye anajiongeza kwenye misosi na hakuombi hata mia,hiyo tunasema ni muujiza na watu wachache hutokewa na miujiza kama hiyo.Lakini cha kushangaza muujiza huo umemtokea mtu ambaye ana misukosuko na wasiwasi mkubwa wa maisha yake ya kitandani.Wakati Nego akiwa anakandamiza msosi,dada Wowo alielekea kuoga,mtoto alivyorudi khanga moja imeganda kwenye lile wowowo si unajua maji maji hayakukauka vyema,na alivyo na makusudi hakubadilisha nguo wala nini,kiutu uzima ilieleweka kabisa kidume kimalize msosi na kipumzike baada ya hapo dozi ianze,Nego Alipomaliza kula alishukuru ambapo mtoto wa kike anavyojua mapenzi,alimwekea dawa ya meno kwenye mswaki na kumkabishi,Nego alijua tu lengo la dada Wowo ni kutoa hiyo shombo ya samaki,basi kidume kilienda kusafisha kinywa ili shughuli ya denda isikwamishwe na shombo ya samaki.
Kidume kiliporudi tu kwanza dada Wowo alimtaka wakae wote kitandani,Nego alitamani kukata lakini ndio hapo ataanzia wapi,
“enhee nimekumbuka,ni kipi ulisema utaniandikia kwenye sms?” Nego alikumbushia akiwa amelaliwa kwenye kifua.Mtoto wa kike alivaa khanga moja pekee
“mmh,nilikuwa nataka nikusifie mume wangu,ni wanaume wachache wamebarikiwa dudu kama lako,na kiukweli hapo umenipatia na kunimaliza nguvu zote,kwasababu mimi mwanaume mwenye Kibamia hatuwezani kabisa,halafu kipindi fulani nilikuwa na bahati na kukutana nao wenye vibamia mpaka kero,”
“hahahaaa…ina maana mwenye kibamia hawezi jamani?”
“atawezea wapi! Mzigo wote huu akimbinulia hiko kibamia si kinaishia kwenye makalio tu hata mlango wa kitumbua hakigusi,”
“unavyowaponda wenye vibamia,ngoja wakusikie,”
“aaah…watajua wenyewe,mi nishapata la kwangu shababi likisimama lazima linimalize nyege zangu zote,ndio maana naling’ang’ania kweli,”
“kwahiyo ningekuwa na kibamia ungeniacha?”
“muda mrefu tu,kwasababu mwanamke ambaye huwezi kumkojolesha kitandani anakaa kwako anafanya nini? Kula? Kuvaa? Au kulala? Mwanaume kwa mwanamke kikubwa anchofuata ni dudu kutoka kwa mwanaume,na mwanaume kwa mwanamke kikubwa anchofuata ni kitumbua,vikiwa na kasoro hivyo ndoa yenyewe inaanza kuyumba,kama mlipendana sana haitavunjika bali usaliti utakuwepo sana tu na inawezekana watoto wote wasiwe wakwako.” Maneno hayo yalimuuma sana Nego,yalimfanya awaze mbali sana maana hayo aliyoyaongea ndiyo yatatokea pale atakapomwambia ana kibamia.Mwili wote ulikufa ganzi kwa maneno ya dada Wowo,aliushusha mkono wake bila dada Wowo kujua mpaka kwenye dudu na kukuta hali ni ile ile,
“mume wangu mi nataka..” dada Wowo alianza uchokozi,alishaanza kumshikashika kifua,aliziminy
aminya chuchu za Nego
“leo siko vizuri mke wangu,”
“najua,lakini we utampumzika tu mi ndio nitakuwa juu yako,” alilazimisha huku akimwangalia Nego kwa sura ya kimahaba
“bwaaaaanaaaaa…” aliongea hivyo na kuupeleka mkono kwenye dudu la Nego,hapo ndipo ilipokuwa utata…
Kwa bahati nzuri Nego aliuwahi na na kuuvuta kwa nguvu,kwahiyo vidole vya dada Wowo vilifika mpaka kwenye pale kwenye mavu…mavumbi ya kokoto,haraka Nego aliruka na kuketi kwenye kochi,
“nishakwambia sijisikii,mbona unalazimisha mambo,” aliongea kwa uwoga Nego huku akihema hasa
“sawa mume wangu,” alijibu dada Wowo kwa sauti ya upole sana.Kilipita kimya cha muda mrefu kidogo kama nusu saa hivi ,Nego alikuwa makini na simu yake ya mkononi,masikini dada Wowo ndiye aliyekuwa akipata shida,muda wote alijihisi vibaya kwa kudhania amemkwaza sana Nego mwanaume aliyetokea kumpenda kweli,
“Nego mume wangu naomba unisamehe,njoo tulale tafadhari,” sauti ya kulegea hasa,laiti kama Nego angekuwa hana kibamia basi ndio ingekuwa nafasi nzuri kwake ya kumsugua dada Wowo mpaka atakasike na roho yake.Alijikuta akitazama tena rungu lake kijanja kama limerudi aanzishe mziki lakini wapi,kibamia kilekile.
Hakuwa na namna kidume cha watu,kilijisogeza kitandani muda ambao dada Wowo alikuwa ameshapitiwa na usingizi.Mtoto wa kike khanga moja pekee,Nyakati zenyewe zilishawishi msuguano mtamu,makalio laini yaliyomeza khanga katikati ya msamba yalituna vyema n akumgeukia Nego.Sio kwamba Nego hakutamani kufanya mapenzi lakini kile kibamia ataanzia wapi kumweleza dada Wowo? Alidindisha kibamia chake na alitamani kumsugua kweli dada Wowo.
Alichokifanya Nego wa watu aligeukia zake pembeni aepushe balaa kisha akalala zake.Ndugu zangu kitu kinachoitwa nyege kikikukamata huwezi kusema unapotezea wakati mwanamke au mwanaume yuko hapo amelala jirani yako na ni mpenzi wako. Baada ya kupita kitambo kidogo ni kama majira ya saa saba usiku,mtoto wa kike aligeuka kiasi kwamba ile khanga ililegea na kumwacha katika hali fulani ya nusu mwili khanga,nusu mwili mtupu. Chuchu zilisimama kwa hamu,akamkumbatia kwa nyuma Nego aliyekuwa amepitiwa na usingizi.Kuna misemo isemayo “za mwizi ni arobaini” “hakuna siri chini ya jua” “hakuna marefu yasiyo na mwisho” katika hali ya kutokutegemea,misemo hii ilimhusu Nego moja kwa moja.
USIKOSE SEHEMU IYOFUATA
Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi