MY DIARY (42)

0
Jina: MY DIARY
Mtunzi: __

SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI
TULIPOISHIA...
Uzalendo ulinishinda ikabidi nimuulize ni kwanini bado wanatumia njia hiyo ya kizamani kutunza kumbukumbu wakati siku hizi kuna kitu kinachoitwa Human Resource Informaion system ambapo kumbukumbu zote za wafanyakazi kama waliochishwa kazi, wagonjwa, walioenda likizo ,waliopandishwa vyeo na taarifa nyingine muhimu uhifadhiwa kwa kutumia komputa.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Akanambia system hiyo pia wanayo sema bado tu hawajaweza kuingiza document zote za miaka iliyopita. Ila waemeingiza kumbukumu za miaka ya hivi karibuni.

Kwa kuwa ilikuwa ni ijumaa na mda wa kwenda swala ulifika ilininbidi wanaiambie nirudi kesho yake asubuhi na mapema.Sikutana kupingana nao kwa sababu pia watu wa kule Dudai wengi ni waislamu na mda huo ofisi, maduka na sehemu nyingi za biashara huwa zinafungwa kwa ajili ya sala ya ijumaa. Niliondoka mimi na mwenyeji wangu na akaendelea kunitembeza sehemu mbalimbali za viunga vya mji huo kama downtown na penginepo. Uongo zambi jamani Dubai ni pazuri alafu vitu ni bei rahisi sana.Yaani kwa kweli huu ni mji wa kibiashara ambao ulikuwa ukikua kwa kasi sana.

Kesho yake asubuhi na mapema nilikuwa pale utafikiri labda nilikuwa nawahi kwenye interview.Tukaingia masijara na moja kwa moja tukaanza kupekuea faili moja baada ya lingine hasa kwenye yale mafaili ya watu ambao waliashawahi kufanya kazi hotelini hapo zaidi ya miaka 30 iliyopita. Ilikuwa ni kazi ngumu sana kwa sababu mimi sikujua ni mwaka gani mama yangu aliacha kazi au ni mwaka gani baba yangu alimuoa baba yangu. Nilichokuwa nakiaangalia zaidi ni umri wangu mimi hivyo nikarudisha miaka kidogo nyuma na kufanya iwe thelathini.

Tuliendelea na kazi hiyo huku pia tukiangalia na picha ambazo ziliweka kwenye mafaili hayo na tulikuwa na imani labda huenda alikuwa akitumia jina lingine. Baada ya masumbuko ya mda mrefu huku tukiwa tumekataa tamaa ya kueendelea kupekua kwa sababu tulibakiza mafaili mawili tulikutana na jina la Sabra. Hapo nilitamani kumbeba yule menaja juu juu na kushangilia maana nilihisi ndo tayari nishampata mama yangu.Lakini tofauti na mafaili mengine faili lenye jina la Sabra lilikuwa halina picha hivyo asilimia kuwa ndo yeye zilipungua. Kabla sijasema kitu yule mtunza rekodi aliniuliza mbona ili faili halina picha swali ambalo hata mimi nilitaka kumuuliza.Ingawa yeye ndo ofisi yake lakini ilimbidi ashangaae.Sema akajitetea kuwa yeye ameanza kazi juzi hivyo hajui nini kilitokea mpaka faili hilo likawa halina picha.

Ilibidi tumalizie faili lingine moja lilobakia na kwa bahati nzuri au mbaya na lenye jina la mwanzo lilikuwa ni Sabra hivo kumaanisha kuwa kulikuwa na Sabrra wawili wakati huo kwa sababu ubini wao ulitofautiana.Kitu kingine ambacho kilituweka matatani ni kwamba Sabra huyu alikuwa na picha mbili za passpot size.Hapo sasa yule jamaa akapata la kuongea na kusema huenda mtunza masijara wakati huo naye alichanganyikiwa hasijue ipi ni ya Sabra wa mwanzo na ipi ni ya Sabra wa pili.Ilinibidi nimpokonye zile picha ili nizifananishe na ile picha ya mama yangu.Hapo nikagundua vitu viwili ambayo viliondoa furaha niliyoipata muda mfupi uliopita.Moja niligundua kuwa piacha zile mbili za passpot sa hizi zilikuwa zinafanana hivyo ilimaanisha kuwa zilikuwa ni za mtu mmoja kinyume na mtunza masijara alikuwa akizani kuwa moja ni ya Sabra wa kwanza na ingine ni ya Sabra wa pili.

Kitu kingine nilichogundua ni kwamba pamoja kuwa zilikuwa ni za mtu mmoja lakini pia zilikuwa hazifanani kabisa na picha ya mama yangu.Hapo nilikuwa mdogo kama pilitoni na mpole kama shilingi kumi.Tulibaki tumeangaliana tu na tusijue nini cha kufanya.Tulijaribu kuangalia anuani za watu hao zilikuwepo lakini kwa mujibu wa mwenyeji wangu ni kwamba hizo namba za simu zilizoandikwa kwenye mafaili yote mawili ni namba za mtandao wa zamani sana ambao mtandao huo ulishafilisikaga hivyo kwa Dubai hiyo ya sasa hakuna namba za simu za namna hiyo.Akanambia kitu pekee kitakachoweza kutusaidia hapo ni hizo anuani za makazi ambazo zilionesha namba za nyumba na mtaa ambao walikuwa wakiishi.

Baada ya maelezo hayo wazo la haraka haraka nililolipata ni kuwa tuanze harakati za kumtafuta Sabra huyo ambaye alikuwa na picha na kama tukimpata huyo itakuwa ni rahisi kutueleza habari za Sabra mwingine ambaye alikuwa akifanya naye kazi. Tulichukua jina la mtaa na namba za nyumba zote za Sabra wawili tukamlipa huyo bwana kwa kumpotezea mda wake kisha mimi na mwenyeji wangu tukaondoka zetu.Tuliamua kwenda moja kwa moja mpaka mtaa unaitwa mtaa wa Bur ambapo tulianza kupita nyumba hadi nyumba kumtafuta Sabra ambaye ndo jina la mama yangu.Ingawa tulikuwa na uhakikika kuwa huyo hakuwa mama yangu lakini nilijua kuwa kama ni tukimpata huyo itakuwa ni rahisi sana kumpata.Kwa kweli tulizunguka sana na baadaye tulipelekwa kwa mzee mmoja ambaye yeye alikuwa ni mtabiri wa mambo ya nyota.Na kwa mbwembwe tulivyofika tu kwa mtaalamu huyo alianza kusema najua mnachotafuta najua tena najua sana. Vua huo mkufu wako wa dhahabu na uweke hapo nikwambie mambo yote yanayokusibu maishani mwako.

Hapo nilisita yaani nivue mkufu wangu tena wa miaka nenda miaka rudi.Siunakumbuka huu mkufu na hili jino la dhahabu ni marehemu baba yangu alininulia tena ilifafanana na ya mama yangu na huwa inathamani kubwa sana.
*********
**************
*******************

Lakini bibi alisema ila kama siriziki tuende tukapime japo hana uakika kuwa DNA hupimwa kwa bibi na mtoto.Basi tukapanga kesho tukafanyae hiyo.Uzuri wa wenzetu huduma hiyo zinapatikana sehemu nyingi hata kwenye hospitali binafsi tofauti na Tanzania kuwa mpaka umuandikie mkemia mkuu wa serikali ukieleza sababu za msingi za kutaka kupima kipimo hicho kikubwa. Kesho asubuhi tulienda kufanya kipimo hicho na tuliambiwa turudi mchana kuchukua majibu. Kwa bahati mbaya majibu yalionesha kuwa sikuwa na undugu na bibi huyo hata chembe.Hapo roho yangu ikawa imerizika kabisa na nikawa tayari na kuendelea na michakato mingine ambayo ingeniwezesha kumpata mama yangu

Hatukukata tamaa bado tuliendelea kumtafuta na safari hii tulienda kwa Sabra yule mwingine ambaye alikuwa hana picha.Na kwa mijibu wa lile faili yeye alikuwa anaishi mitaa ya downtown ambyo yenyewe ipo mjni kabisa.Hapo ndo ilikuwa ni kazi kabisa kwani makazi mengi ya eneo hilo yalikuwa ni maghorofa.

Ikabidi tuende kwa uwongozi kuchukua kibali cha kufanya zoezi hilo la kutafuta nyumba hadi nyumba.Tulivyofika hapo kwa kiongozi tulikuta utaratibu ni tofauti kabisa maana kulikuwa na kampuni ambayo yenyewe ndo ilikuwa inajihusisha na mambo hayo ya kukonecti watu waliopotezana.

Tulielezwa kuwa kampuni hiyo inajiusisha na mambo hayo nje na ndani ya nchi hiyo.Kwa tulielekezwa kwenda sehemu hiyo na tulivyofika tulipokelewa vizuri tukaelezwa jinsi wanavyofanya kazi. Tuliwapa picha hiyo ya mama yangu wakaitengenezea matangazo na wakahaidi kuwa watahakikisha kuwa mama huyo anapatikana maana wataweka matangazo kila mahali nchini humo.Tulitajiwa dau kubwa sana ambalo tuliambiwa kuwa tunalipa hela hiyo asilimia hamsini mara ya kwanza na pia tutamalizia hiyo asilimia 50% zingine tutamalizia endapo mtu huyo tunayemtafuta atapatikana.

Kwa hiyo zoezi hilo likawa limeishia hapo na mimi nikarudi zangu kwa huyo mwenyeji wangu. Nilikuwa na imani kabisa na kampuni hiyo kwa jinsi walivyokuwa wanafanya kazi kitaalamu.Sikuwa na haja ya kutia shaka wakatii hata viongozi wa nchi hiyo waliuamini sana mtandao huo na kuruhusu wawe na ofisi nchini humo.Niliendelea kukaa nchini Dubai kwa wiki moja zaidi kabla ya kuamua kurudi nchini Zambia kuendelea na masomo yangu.Nilitamani kuendelea kukaa nchini humo na kula bata sema sikuwa na jinsi zaidi kuondoka na kuwaachia mji wao.Nilifika Lusaka na kuendeleaa na masomo yangu ya sanaa ya filamu huku nikiwa nimebakisha mda mchache sana kabla ya kuyamaliza.

Huko nilikuwa naishi maisha mazuri sana kwa sababu watu walinitambua kuwa mimi ni star mkubwa sana.Nilikuwa namkumbuka sana Mark wangu na nilimuomba wikindi inayofuata aje kunitembelea.Huwa hapingi labda awe amebanwa sana na kazi.Na kila akija alikuwa anapenda sana kufikia Kitwe sehemu ambayo ilikuwa ndani ya jiji hilo.Kitu ambacho alikuwa akinikera Mark ni kwamba mtafanya starehe zote lakini kufanya mapenzi no.Aliendelea kukomaa na msimamo wake kuwa tutafanya hivyo pindi tu tutakapoonaa. Basi huwezi amini miaka yote hiyo mimi nilikuwa naishi kwa matumaini huku nikiisubiri kwa hamu na jamu siku hiyo ya harusi.

Kama binadamu kuna kipindi libido ilikuwa ikinizidi hivyo nikanunua kifaa maalumu kwa ajili ya kujichua.Ujue mwanzoni nilikuwa nikipata hamu ya kufanya mapenzi mimi nachukua maji ya moto na kujikanda.Lakini nilivyoenda Dubai nikakutana na vifaa maalumu ambavyo vipo kabisa kama uume wa mwanaume ambavyo vimetengezwa kitaalamu na kuwekewa ulaini na joto sawa na lile ambalo lilipatikana kwenye uume wa binadamu. Najua mtashangaa nani aibu kusimulia vitu hivyo lakini hakuna jinsi wacha tu niwaambie na baadae nitakuja kuwaambia madhara yake.Mnikumbushe lakini maana mimi naye kwa kusahau.

Kwa hiyo siku hiyo Marka alivyokuja kunisalimia nchini Zambia baada ya kukomaa na msimamo wake usiku mimi niliingia zangu bafuni na kujipa raha mwenyewe.

Eeeeh kumbe Mark alishitushwa na sauti zangu za mahaba nilizokuwa nazitoa huko bafuni tena usiku wa manane akajua labda kuna mwizi alikuwa akimwibia mali zake.Akasogea mpaka kwenye tundu la kitasa cha mlango na kutega sikoooo.Mmmmmmh mmmmmmh, ooooooooooh yeeeaaaah, yes yeaaaaaaaaah yeaaaaaaaaaah ni baadhi ya sauti ambazoo huwa nazitoa pindi tu nitakapo jiingiza hicho kidude. Nilikuwa nimekaaa juu ya sinki la choo huku nikiwa nimepanua miguu utafikiri nipo labour hivyo kufanya nisikie raha ya ajabu. Yaaani nilijisahau na kujikuta nikijipa raha mwenyewe.Nilikuwa sina jinsi kwa sababu siwezi kulala na mwanaume aliyenipenda mpaka asubuhi na kuizulumu nafsi yangu. Tena aliyeniuzia kifaa hicho aliniambia kama mwanamke akikaa sana mda mrefu bila kufanya mapenzi anaweza kupatwa na ugonjwa wa kuzidiwa na homoni hivyo kujikuta anapatwa na ugonjwa ambayo tiba yake ilikuwa ni kutolewa kizazi.

Weeeee nani anataka kutolewa kizazi kabla hajazaa acha nijipe raha mwenyewe nisiingoje kupewa. Wakati nabadilisha staili kwa kukichua kile kifaa na kukiweka vizuri huku nikibinya ile switch hili iongeze spidi Mark aliingia. Ni kweli nilimuona ila sasa sikuwa na jinsi ilibidi nimalizie furaha hiyo ya uwongo uwongo. Yaani wazungu jamani sijui walifikiria nini maana kile kifaa ukikiminya kwa juu kinakuwa kinajizungusha chenyewe.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)