Mtunzi: __
SEHEMU YA AROBAINI NA TATU
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Wakati nabadilisha staili kwa kukichua kile kifaa na kukiweka vizuri huku nikibinya ile switch hili iongeze spidi Mark aliingia. Ni kweli nilimuona ila sasa sikuwa na jinsi ilibidi nimalizie furaha hiyo ya uwongo uwongo. Yaani wazungu jamani sijui walifikiria nini maana kile kifaa ukikiminya kwa juu kinakuwa kinajizungusha chenyewe.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
Halafu ukikibonyeza kwa pembeni kinakuwa kinazama na kutoka ni sawa tu na mwanume anavyotwanga na kupepeta..Ujue hichi kifaa nilikinunua kule Dubai lakini namuomba mungu hata visifike huku Tanzania maana zitaharibu sana wadada.
Maana ukizoea kujichua kwa kutumia njia hiyo lazima kuna uwezekano unaweza usone faida ya kuwa na mwanaume kabisa.Kuna wakati mimi nilikwa najilaza kitandani kisha nakichomeka na kuacha kizunguke kinavyotaka na kwa mda wa dakika tu huwa najikuata nimemaliza maugwadu yangu yote.Ila sikuwa nakitumia kila siku msinifikirie vibaya. Mimi nilikuwa nakitumia kifaa hicho kila mara baada ya miezi 6. Msije mkaenda kukitafuta mkajitafutia majanga bure.Hiki kinaharibu kisaikolojia.
Basi Mark alivyoingia alibaki ameduwaa na kushangaa asijue afanyaje.Nilivyojihakikishia kuwa tayari nimejipa raha niliyoitaka nilikichomoa na kuamua kumfuata na kumwambia am sorry babe nilizidiwa na hamu.Alafu sasa nikamkumbtia kwa nguvu.Nikijua kabisa lazima atanionea huruma na kunipa haki yangu original.Na kwa kweli nilimkumbatia kwa nguvu akaninyanyua na kwenda kunimwaga kitandani.Alikuwa juu yangu na tayari alishaanza kunipapasa kwenye mapaja mpapaso ambao ulinipa ile ladha ya mapenzi original.
Hapo mapigo yangu ya moyo yakaanza kwenda mbio huku nikiamini kuwa siku hiyo ndo nilikuwa naonja utamu wa Mark.Mark alinichezea sana na kwa mara ya kwanza tulikutanisha ndimi zetu na kupeana mate.Macho yangu yalikuwa yakifumba na kufumbua kama mtu ambaye alikwa baharini akipulizwa na upepo mkali uliosababisha macho kupata raha ya ajabu.Nilihisi kama ute ute ulikuwa ukishuka na kuzilowanisha sehemu zangu za siri kwa kasi ya ajabu.Nilisikia raha kwa kweli na sikujua Mark alipata wapi utundu huo wa kumchezea mwanamke na kujikuta nikifika kileleni bila hata kufanya sex.Nilihisi kuishiwa nguvu na mwili kulegea na kushindwa hata kusema neno mara baada ya Mark kunibwaga kwa nguvu pembeni ya kitanda.Tayari nilikuwa hoi huku nikihema kwa nguvu kama mtu aliyekimbia kilometa 10.
Nilijaribu kujinyanyua ili nimsogelee Mark lakini nilishindwa na kuendelea kujilaza pale kitandani nikiwa hoi bin taabani.Nikasema ngoja nipumzike kidogo kisha nimsogelee Mark na kumpa haki yake ambayo alikua akijinyima kwa mda mrefu.Zilipita kama dakika kumi na tano huku kila mtu akiwa kimya, nilishuhudia Mark akienda chooni na kurudi na kujilaza kama vile mtu ambaye alikuwa ameshamaliza kazi.Nilishanga na kujiuliza huyu mwanaume alikuwa na shida gani maana mimi nilitarajia kuwa baada ya kunichezea hivyo angekuwa amepandisha mizuka na kunitafuna kama simba aliyemwona swala mbele yake
Nilijaribu tena kujinyanyua lakini nilishindwa mwili ulikuwa umechoka sana.Sijui huyu mwanaume alinifanya nini maana haiwezekani kunipapasa vile tu niwe hoi bin taabani.Nilishangaa zaidi kumuona akivuta shuka na kujifunika.Kitu pekee kilichonichanganya sana siku hiyo na kujikuta kuikubuka sana ni kwa sababu mara baada ya romance hiyo fupi hamu yote ya kufanya mapenzi iiisha. Sikuwa na ujanja nilikuwa kama mtu niliyelogwa sikuweza hata kujisogeza pale nilipokuwa nimelala.
Mark kwa kulitambua hilo alinifunika shuka na kuniambia “I love you baby but we should keep our promise” alikuwa akimaanisha kuwa ananipenda ila tutunze ahadi yetu kuwa tutazini mara baada ya kufunga ndoa.Hapa sasa sikumwelewa Mark maana sasa hataki tuzini lakini hayo tuliyoyafanya hapo mda mfupi uliopita ni sawa tu na kuzini maana mimi nilishajikojelea zaidi ya mara 2.. Sasa yeye sijui alikuwa ana maanisha zinaa gani wakati kumtamani tu mwanamke ni sawa na kuzini nae.
Niliendelea kumuwaza sana huyu mwanaume lakini sikumpatia jibu.Hivi jamani nisaidieni ni kweli hichi kitu cha kusubiri mpaka muoane kipo kwenye ulimwengu huu wa digitali au ilikuwa ni enzi za babu zetu.Niliendela kuwaza mpaka nikajikuta nimepitiwa na usigizi.Nilikuja kushituka asubuhi na nilishangaa maana ilishakuwa nikawaida siku nikilala na mwanaume huyo basi huwa napitiwa na usingizi mzito sana. Sijui alikuwa akiniwekea nini maana huwa natamani niwe nashituka usiku alafu niichukue ile maiki yake na kuicheea jinsi ninavyotaka.Lakini ni zaidi ya mara tano nimelala na mwanaume huyo lakini hakuna chochote ambacho tuliwahi kufanya.Kidogo usiku huo ndo alinpa romance kwa mara ya kwanza na hiyo ni mara baada ya kujikuta najichua kule chooni.
Basi tuliamka na kuendelea na shughuli zetu zingine na Mark alinieleza kuwa mipango yetu ya harusi inaendelea vizuri sana na pindi nitakapomaliza tu masomo yangu miezi mitatu ijayo basi tutafunga ndoa na kufanya harusi kubwa sana kuwahi kufanyika nchini Tanzania.Nilifurahi saana kusikia hivyo lakini nilitamni kama harusi hiyo ingeuzuriwa na ndugu yangu yeyote kama sio mama yangu basi kaka yangu. Hapo nilitamani hile kampuni ya kutafuta watu waliopotezana wampate mama yangu kabla ya harusi hiyo.Niliwaza pia vipi kuhusu kaka yangu ambaye yeye kipindi kile baba anafariki yeye alishadata na kuwa chizi nilitamani sana kama na yeye ningemtafuta na kumpata.
Sema nilikata tamaa na yeye kwa sababu ni vigumu sana kumtafuta na kumpata mru ambaye alikuwa amechanganyikiwa kabisa.
Mark alimaliza shughuli zake hapo Zambia na kurudi zake Tanzania na kuniacha mimi nikiendelea na masomo na biashara zingine. Sikusita pia kuwasiliana na ile kampuni niliyowapa kazi ya kumtafuta mama yangu lakini walinambia bado wanaendelea na kazi hiyo japo zoezi lilikuwa gumu sana.Niliendelea kuwaamini na kuwaombea mungu kuwa siku moja wafanikiwe.Ilibidi nimkabizi mungu swala hilo maana pale uwezo wa mwanadamu unapoishia ndipo uwezo wa Mungu unapoanzia.Na lisilowezekana kwa wanadamu basi kwa mungu linawezekana.
*********
Mwaka 2003 Afrika iliingia kwenye ramani mpya kwa kuanzisha shindano kubwa na la kipekee ambalo lilizoelewa kuonekana kwenye nchi za Ulaya na Marekani.Show hiyo ya kwenye TV maarufu kama big brother Afrika ilihusisha washiriki kutoka nchi 12 ambayo ni Angola.Botswana,Ghana, Kenya, Malawi, Namibia,Nigeria.South Afrika, Tanzania, Uganda, Zimbambwe na Zambia. Kila nchi hutoa mshiriki angalau mmoja na washiriki hao uwekwa kwenye jumba maalumu.Washirki wote mara baaada ya kuwekwa kwenye jumba hilo kila mmoja ugombania kuwashawishi watazamaji wa show hiyo wawapigie kura na kuendelea kubakia. Big brother ya mwaka huo ndo ilikuwa ndefu zaidi kwani ilichukua siku 106 tofauti na zingine ambazo zilifuata zilifanyika kwa siku 91 tu.
Kwa hiyo washiriki wote hao huwa wanagombania kubaki na hatimaye kushinda kitita cha dola za kimarekani. Shindano hilo limepata umaarufu mwaka hadi mwaka na limekuwa likikonga nyoyo za watazamaji wengi hasa wale wa VIP ambao hao hupata bahati ya kuona vitu vyote vinavyoendelea katika jumba hilo mpka vile ambavyo pengine huwa ni kinyume na maadili ya waaafrika kama kuonesha washiriki wakiwa bafuni wakioga au kuonesha washiriki wakiwa kwenye mapenzi mazito.Washiriki wamekuwa wakiongezeka na mwaka huu walishafia washiriki 14.
Chriss Marcuros ni mtangazaji maarufu sana nchini Afrika kusini na Dj ambaye alikuwa akipendwa sana kwenye club za usiku. Mtu huyu ndo alikuwa mtu wa kwanza kupata nafasi ya kuwa host kwenye show hiyo ya big brother Africa 2003. Radio maarufu ambazo alishawahi kufanya kazi ni radio 5FM, 94.7, Highveld stereo na 94.5 KFM . Dj huyu na MC huyu maarufu ndiye naweza kusema alinishawishi kwa namna moja au nyingine kushiriki katika mchakato huo wa kutafuta mshiriki kwa upande wa Zambia.
Marcuros kabla hajaingia kwenye mambo ya utangazaji alikuwa anafanya kazi ya utafiti wa masoko barani Afrika hasa katika nchi ya Zambia.Mtu huyu maarufu alitokea kufanya kazi kwa ukaribu sana na familia ya kina Lilian. Kwa hiyo hata kabla hajachaguliwa kuwa host tayari mimi nilishakuwa namfahamu kupitia kwa rafiki yangu Lilian.
Kipindi kile tunaenda South Afrika yeye na wengine wengi ndo walikuwa miongoni wa kampani ya Lilian.Nilikuwa na urafiki wa karibu sana na tu huyu kutokana a historia yake ya maisha na nafasi yake katika kusaidia jamiii ya watu waliokata tamaa kutokana na kuugua maradhi yanayoogopwa sana.Marcuros alikuwa akiugua kansa tangu mwaka 1995 na ameweza kuishi kwenye hali hiyo huku akiwa ni muhamasishaji na miongoni wa watu ambao hawakuwahi kukata tamaa katika maisha haya. Kwa hiyo kutokana na urafiki wetu baina ya mimi, Lilian, Mark na Marcuros ilituwezesha kupeana michongo mingi na fursa ambazo zingeweza kutokea na kutufanya tupate pesa.
Nakumbuka kabisa Marcuros ndo mtu wa kwanza kabisa kuniambia kuwa Endemol South Africa inataka kuanzisha show ya big brother kwa upande wa bara la Afrika.Kipindi hicho mimi sijui lolote kuhusu shindano hilo maana sasa kama lilikuwa ni show maarufu ulaya na marekani mimi ningelijuaje. Kwa hiyo Marcuros alinishawishi kuwa nisisite kujaza form na kushiriki shindano hilo pindi tu mchakato wa kutafuta washiriki utakapoanza.
Unajua hata yeye alikuwa anajua kabisa mimi nilikuwa ni Mzambia. Sikuweza kubadilisha ukweli na uwongo huo kwa sababu ni kweli nilishakuwa na uraia wa nchi mbili.Japo serikali yetu ya Tanzania inajifanyaga haitambui uraia wan chi mblili.Wakati mimi nikiendelea na masomo yangu ya sanaa, uanamimtindo na utangazaji nchini Zambia nilishangaa kukuiona kile kitu alichokisema Marcuros ndani ya mwaka mmoja kikitokea.Ni big brother Afrika ilikuwa ikitafuta Washiriki.
Hapo Lilian alinambia nisifanye makosa nijitokeze kwenye mchakato huo wa kutafuta mtu wa kuiwakilisha nchi hiyo.Nilisita sana na hata nilipomwambia mpenzi wangu Mark naye alisita sana lakini baadaye niliijikuta nikichukua form na kujaza. Nilipitia kwenye interview kama watu wengine. Watu walikuwa wengi sana na kwa kweli siku ya kwanza tu nilikata tamaa kutokana na watu waliojitokeza kuwa ni maarufu sana nchini Zambia. Wakati mimi nikichukua form nchini Zambia Mark naye alishahamasika na alinambia niende nikaiwakilishe Tanzania badala ya Zambia
Yani alianza kutaka uhusiano na mimi tena uhusinao wa mapenzi.Mda wote alikuwa akiniganda kama luba.Na mimi nilikuwa mjanja sana maana nilijifanya sinywi pombe wala kuvuta sigara.Pia baada ya kugundua kuwa wahusika wengine walikuwa wanajiachia niliamua kujifanya mshauri wa mapenzi na mahusiano.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO