Mtunzi: Omary John Mndambi
SEHEMU YA KUMI
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Goooooooooooooooooooooooooooooo! Mpira ulikuwa wavuni na uwanja mzima ulikuwa ni shangwe na nderemo kwa upande wa polisi kwani tulikuwa tumeshinda Kombe hili.
Pamoja na kucheza mechi moja lakini kamisaa alinitaja kuwa Golikipa Bora wa michuano hii huku akiniita afande Sam.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
Nilipokea zawadi ya shilingi laki moja kiasi ambacho sikuwahi kukimiliki.
Tulikabidhiwa kombe letu na zawadi ya shilingi milioni tano kutoka kwa wadhamini mbalimbali pamoja na ofa ya kulala kwenye hoteli ya Mbeya Inn ambayo ni ya nyota tano kwa siku mbili huku ukila chochote ukitakacho.
Baada ya mechi ile kulikuwa na tafrija kubwa iliyoandaliwa kwenye ukumbi mkubwa wa Jeshi la Polisi pale Central Mbeya ambapo kulikuwa na burudani nyingi na watu walikuwa wanalewa sana.
Watu wengi walikuwa wanadhani mimi ni Polisi lakini ukweli nilikuwa nao mimi na watu wachache kama RPC.
Siku hii ya leo RPC alionekana kuwa na rah asana kwani uda wote alikuwa akiniita na kunitambuliasha kwa marafiki zake “Kijana wangu huyu, mmemuonaee”
Wakati nimeitwa na RPC kwa ajili ya kunitambulisha kwa marafiki zake nilielekea toilet nilivyoachana na RPC lakini wakati natoka nilishtuka nikivutwa mkono nilipogeuka nikakutana na sura ya Verity akiwa anaonekana amebwia kilevi. Kwani alikuwa amechangamka sana.
Alinivuta kwa nguvu na kunipeleka kwenye chumba ambacho nadhani wanalala wahudumu wa ile Mess ya polisi, alinivaa mdomoni na kuanza kuninyonya kwa fujo kitendo kilichonisisimua sana na kujikuta mtarimbo wangu ukiwa umeinuka kama mnara.
Verity alipandisha gauni lake juu na kukanya ga ukutani kisha akanivuta kwa nyuma na kushika tango langu ambalo alilielekeza mgodini kwake nikaanza kuuchimba, japo nilikuwa niechoka lakini niliuchimba mpaka nikamuona Verity akinidondokea kwanyuma nikamdaka na kumlaza kwenye godoro lililokuwa Chini nikaendelea kuchimbua mgodi kwa kasi ya ajabu kwani nilikuwa nakamilisha mzunguko ambao uliisha kwa ushindi wa timu zote mbili.
Nilishtuka baada ya kusikia sauti nzito ikiongea nyuma yangu nilipokuwa nimemlalia Verity kwa juu….
“Haya amkeni mnifwate huku…Kunguru nyie!”
“Mungu wangu…..” alijisemea Verity!
“Mabibi na Mabwana mliohudhuria hapa siku ya leo naomba tusimame juu”
Ilikuwa ni sauti ya MC akiwaarifu watu waliohudhuria kwenye tafrija hii.
“Kila mtu anyanyue kinywaji chake na amgeukie mwenzake, ukishakinyanyua na kumgeukia mwenzako tuna piga cheers kwa ajili ya timu yetu”
Watu wote walipiga cheers huku wakisindikizwa na vibwagizo vya DJ.
“Msikae…msikae tafadhali mabibi na mabwana, naomba mkiwa mmesimama hivyo Dj atupigie mziki mwanana”
“DJ tupigie MUCHANA ya Kanda Bongo Man, alafu taratibu tukiwa tunacheza tusogee mbele kwa ajili ya kugonga Cheers na Golkipa wetu aliye tupa ushindi siku ya leo SAAAAAAAAM”
Watu wote walivyosikia jina la Sam walilipuka kwa shangwe huku wakicheza mziki kwa fujo zote, Dj alikuwa akitupia Vibwagizo mbalimbali ambavyo viliamsha ari ya watu kushangilia zaidi.
Watu walisogea mbele wakicheza lakini cha ajabu Sam mwenyewe alikuwa haonekani.
“Saaaaaaam popote ulipo njoo mbele hili rhumba ni la kwako”
Pamoja na DJ kuita sana lakini Sam hakutokea kitendo ambacho hakikuwafurahisha watu kiasi kwamba waliamua kurudi na kukaa.
“Sam yuko wapi” mke wa RPC alimuuliza Rafiki.
“Mimi sijui ila hata Verity simuoni hapa”
“Au watakuwa wameenda kufanya ushenzi wao maana huyu Verity huyu king’ang’anizi kama nini, mwenzie hamtaki lakini anamganda tu”
Hawakujua kuwa maneno yote waliyokuwa wanaongea yalikuwa yanasikika kwa RPC na tayari alama ya hatari ilikuwa imeshagonga kwenye akili yake.
“Koplo Miraji ”
“Naam Afande”
“Nifwate”
“Sawa afande”
Japo Koplo huyu alikuwa yuko bwii lakini alijikaza na kuanza kumfwata RPC nje.
“Nakupa kazi naomba ukaifanye kwa uhakika”
“sawa afande”
“Nitafutie mwanangu VERITY kama yuko na Yule hayawani Sam waweke ndani nionane nao kesho”
“Sawa afande”
Katika makoplo ambao walikuwa wanamtaka Verity kwa gharama zote alikuwa ni pamoja na Miraji, pamoja na kumhonga hela nyingi lakini alikuwa hajaona ndani isipokuwa kuchunwa tu.
Aliposikia kuwa yuko na Sam alifurahi sana na aliapia kuwa lazima akamkomeshe huyo Sam pamoja na Verity. Aliapia kuwa akiwakuta lazima atawakomesha.
Mawazo yake yote yalimpelekea kuwa lazima watakuwa wapo sehemu ambayo huwa alikuwa akimpeleka Verity ili amgagadue lakini alikuwa akiishia kumshikashika tu.
Pombe zote zilikatika na kuanza safari ya kuelekea huko, alikunja kona tatu na korido mbili kisha akakifikia chumba cha walinzi na kuzama humo.
Alipokuwa anakaribia kufika alisikia miguno ya mapenzi kuashiria kuwa kuna watu wanafanya yao, alisikiliza kwa makini lakini ajabu alijikuta sehemu zake za chini zikituna na kufura huku zikitikisika kwa hasira.
Aliutafakari urembo wa Verity wivu ukamshika na kuzama ndani lakini alikuta ndio watu wanamalizia japo walikuwa wamelaliana bado.
“Nyanyukeni mnifwate Nguruwe nyie”
Walishtuka na kuinuka huku kila mmoja akivaa nguo zake, katika watu walioogopa kwa mwendokasi ni Sam. Alikuwa akitetemeka lakini hali ilikuwa tofauti kabisa kwa Verity.
“Miraji unataka nini?”
“Hii ni amri ya BABA yako kwamba niwaweke ndani muonane nae kesho”
“Broo nisamehe naomba usinipeleke nitakufa mimi, nisamehe kaka Afande”
SAM alikuwa amepiga magoti anabembeleza asipelekwe, hofu yake kubw ailikuwa kukosa kozi lakini pia kuwekwa ndani kabisa kwa kutembea na mtoto wa Bosi.
Alijutia sana na kumlaani Verity kwa hali zote lakini wakati huu Verity alikuwa anajibishana na afande Miraji.
Kirungu cha mgongo kilimshukia Sam ….paaaa! na kumuumiza bega, alitamani apige makelele lakini aliogopa kuita watu zaidi.
Verity alipojaribu kuongea chochote alikatwa mtama akalazwa chini kisha akafungwa Pingu, zoezi hili liliendelea kwa Sam nae akatiwa pingu.
“Haya twende mbele nisije nikawavunja mbavu”
Afande Miraji alikuwa ana mbavu nene na amepanda hewani kisawasawa, alivyoongea kwa hasira hakuna aliyebisha walitangulia mbele na kufwata maelekezo.
Akili ya SAM ilikuwa inawaza kukimbia lakini akili ya Verity ilikuwa inawaza kumhadaa Miraji.
“Miraji naomba unisikilize,”
“Nikusikilize nini”
“Najua umekuwa ukinitaka kwa muda mrefu ila nimekuzingua pia, niko tayari tukafanye hata sasa”
“Yani nikale makombo mimi?”
“Nipeleke nikaoge alafu turudi kwenye mchezo”
Tama ilikuwa imempanda miraji ukichanganya na pombe alizokuwa amekunywa ndio kabisa, alijikuta akisimama bila kujibu lolote.
“Tufanye haraka tusije tukashtukiwa tena” Verity aliongezea.
Miraji kwa uchu na tama alikuwa hana la kujibu zaidi ya kuanza kumsogelea Verity na kumshikashika, alimshika sehem mbalimbali na kumsogezea mpaka kwenye vyoo kisha akamfungua pingu, Sam kuona hivyo nae akawafwata kwa nyuma kisha akawa anashuhudia kinachoendelea pale.
Roho ilikuwa inamuuma lakini alishindwa kufanya lolote na kwa muda huu tayari nguo ya Verity ilikuwa imevuliwa na kuwekwa chini.
“Nifungue basi pingu niondoke zangu”
Ili kuepuka usumbufu afande Miraji alimfungua SAM pingu na kumuacha aondoke zake, lakini Verity alimuita.
“Sam nibebee simu yangu alafu njoo nikunong’oneze”
Sam alimuendea Verity hadi kwenye sikio na kunongo’onezwa, alipoelewa alitoka nje na kusimama akisubiri.
Alikaa kama dakika moja kisha akaingia na kukuta Miraji ameshikilia uume wake anauelekeza kwenye ikulu ya Verity ambaye alikuwa ameinua mguu wake na kukanyaga kwenye sinki la choo huku afande miraji akiwa kwa mbele akijaribu kuupitisha uume wake kwa chini.
Kilichomshtua miraji ni mwanga wa simu ‘chaaa’, mwingine tena ‘chaaaa’, Miraji aligeuka nyuma na kukutana na Sam akiwa ameshikilia simu na kuwaelekezea.
“Afande miraji nimeshapata ushahidi wa kukusemea kwa Baba, naomba uniache”
Miraji alishtuka kwa kujua kuwa kumbe alikuwa ametegwa, alimfwata sam pale alipo ili amnyang’anye simu lakini Sam hakukubali kirahisi ngumi zikaanza.
Sam hakuwa mdogo kwenye ngumi , alikuwa ni kijana shupavu na mwenye nguvu hivyo miraji alikuwa anapata wakati mgumu kwani alikuwa kalewa pia.
Wakati ngumi zikiendelea Verity alifanikiwa kuchukua simu na kuificha kisha akamwambia miraji….
“Naomba utuache tuende kwa amani na hatutakusemea tutaficha siri, ila ukitusumbua tunaweka kila kitu hadharani na utafukuzwa kazi”
Miraji ilibidi awe mpole na kukubali yaishe, aliwaruhusu waende huku akiahidi kuwa anaenda kumwambia RPC kuwa hajawaona ila nao waingie kila mmoja kwa wakati wake kuepuka kugundulika.
Hii ikawa ni nafasi nyingine kwa Sam na Verity kupona! Sam aliapa kuachana na Verity na alikuwa hatamani hata kumuona lakini cha ajabu alikumbana na mtihani mwingine dakika kadhaa baadae!
Ilikuwa ni ngumu kuamini lakini ni ukweli kuwa Sam na Verity walikuwa wamepona katika mikono ya Afande Miraji.
………………………
Huyu dogo nitamkomesha na atajua kuwa mimi ni Afande ama sio Afande.
Miraji alikuwa ameamua kumkomesha Sam, Japo alijifanya kuku aliana na yaliyotokea wakati ule ila moyoni aliapia kulipa kisasi.
Lengo lake kubwa alitaka ambambikie Sam kesi ili ikiwezekana hata afungwe jela.
“”Oya si unamjua yule dogo anaekaa kwa RPC?”
“Yupi huyo Afande”
“Yule Golikipa?”
“Huyo huyo”
“Nimeshamjua,”
“Basi leo kanifanyia mchezo wa hatari sana yani huwezi kuamini, na yeye ndio kanipasua mdomo hivi”
“Haaaaa, kwani ilikuwaje?”
Afande Miraji alimwaga kila kitu kwa maaskari wenzake wakati wakibwia bia kwa ofa ya Miraji.
“Mkubwa wala usijali, hiyo kazi tutaifanya, mbona yule ni mtoto mdogo kwetu”
………………….
“Sam nakuomba hapa tuzungumze”
RPC alimuita Sam aliyekuwa ameanza kuogopa kutokana na yale aliyoyafanya.
“Vipi pole na kazi naona umejitagudi sana kubadilisha mazingira ya hapa nyumbani”
“Asante, ni kawaida tu bosi”
“Sawa, sasa nataka nikuahudi kuwa swala lako nalishughulikia kwa hiyo usijali”
“Asante sana bosi,ntashukuru sana nikifanikiwa”
RPC alitembea hatua kadhaa kisha akageuza na kumkamata Sam koromeo kisha akamnyanyua juuu juu na kumuelekezea nyuma ya nyumba.
Sam alikuwa anarusha rusha tu miguu kwani hakuweza kupumua vizuri.
Hakuelewa kuwa kwanini imefikia hatua ile ghafla lakini alizidi kukabwa hadi wakafika nyuma ya nyumba ambapo kulikuwa na mabanda ya Mbwa.
Aliachiwa akatua chini kwa mgongo ‘tii’
Alivyojaribu kuamka alikutana na Kofi kali lililomfanya aanguke tena chini ‘puu’.
Alinyanyuliwa akakatwa ngwara iliyomnyanyua juu juu kama nyasi zilizokutana na fyekeo kisha akagonga kichwa kwenye ukuta na kutokwa damu.
“Umekuja hapa si kwa ajili ya kut..mba binti zangu, ukirudia tena nakuua”
Sam alibaki anashangaa uwezo wa mapigo aliokuwa nao RPC kwani mapigo aliyoyapata hajawahi kuyaona, nguvu alizokuwa nazo wakati anamshika ilikuwa ni kama amebanwa na koleo huku akiwa amenyanyuliwa juu kama karatasi.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)