MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (17)

0

SEHEMU YA KUMI NA SABA
TULIPOISHIA...
Akiwa anajiangalia alijikuta anashikwa kiuno kwa nyuma, alivyogeuka akakutana uso kwa Uso na Nisha akiwa kwenye vazi la Chupi tu na SIDILIA, Sam alipigwa butwaa kwa ule urembo wa Nisha.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Alikuwa mweupe na mwenye mvuto wa ajabu, kila sehemu kwake ilikuwa na mvuto, hakuwa na kunyanzi hata moja, hakuwa na Kovu wala sehemu yenye rangi tofauti isipokuwa weupe Mubasharaaa.
Chuchu mchongoko zilikipamba kifua cha Nisha huku tabasamu mwanana likiwa limemfuata sam ambaye alikuwa amekodoa macho kodo akistaajabu jinsi Nisha alivyoumbwa.
Pamoja na damu zilizokuwa zinamtoka kidogokidogo mdomoni Nisha hakujli hilo, alimfwata Sam mdomoni na kuanza kuunyonya huku Sam nae akiwa hataki kupitwa, mikono yake ilianza kupapasa kila kona ya mwili wa Nisha kuanzia juu mpaka chini.

Walifanyiana manjonjo mengi nay a kila aina huku Sam akiwa haishiwi ham ya kuufanyia vituko mwili wa Nisha ambao ulikuwa na urembo maridhawa.
Nisha alikuwa yuko hoi bin taabani, alibebwa mikononi akaingizwa chumbani na kumwagwa juu huku sam akimfwata kwa kumlalia na Nisha hakutaka kuukosa uhondo, aliukamata mhogo wa Sam huku akigugumia kwa sauti za chinichini…ooooh Sam, ooooshhhh, Ingiza Saaaam…oooohhh Tamuuuuu, ashhhhhhhh.
Hapa tayari mhogo ulikuwa umepita hadi ndani na Nisha akaanza kuukatikia taratibu lakini ghafla walisikia mlango ukigongwa….
Kwa mbali walisikia sauti za watu huko nje wakielekezana … “wezi wenyewe wameingia kwenye chumba hiki hapa”.

ESTER alikuwa amepagawa vilivyo, mapigo ya Wazambia hawa yalikuwa ni makali sana kwani tayari alikuwa amelazwa kwenye mapaja ya Chilumba akiwa amebetuliwa hifadhi yake ya Tanga Fresh na chuchu zinapikichwa huku kidole kimoja kikiwa mgodini.
Pembeni alimuona Nisha nae akiwa anafanyiwa mchezo ule ule, roho ilikuwa inamuuma sana Esther kwa kitendo anachofanyiwa Nisha huku akiwa hajielewi kwa Pombe, wakati wote huu Nisha alikuwa kama anaota huku mara kwa mara akilitaja jina la Sam akiamini ndie anamfanyia vitibwi hivyo kume loooh! Ni Egbert tena kutoka Zambia.
Kila wakati Esther alitamani amwambie Nisha aamke lakini alikuwa hawezi kutamka kwa utamu alio kuwa anapatiwa pale.

Ahhhhhh…shhhhhh, ashhhhh miguno hii alikuwa anaitoa Esther ambaye alikuwa anafikia Mshindo, Chilumba kuona hivi akazidisha manjonjo kitendo kilichomfanya Esther afikie Mshindo na kupitiwa na usingizi akiwa kamlalia Chilumba mapajani.
Chilumba kuona vile alimnyanyua Esther na kuzama nae chumbani, huko alimvua Esther nguo zote na kumlaza kitandani huku akilishuhudia Umbo zuri la Esther lakini likiwa na makovu mawili ya Visu mapajani ambayo hata hivyo hayakuharibu mvuto wake.
Chilumba uchu ulikuwa juu sana, alivua nguo zote akapanda kitandani huku akishuhudia Esther akiwa bado kalainika sehemu zake nyeti hivyo akakamata tango lake na kulitumbukiza japo lilikuwa linapita kwa shida lakini mwisho likazama mpaka ndani kitendo kilichomuamsha Esther.
“Noooooo Chilumba Nooooooo”
Aliongea Esther kwa sauti kali iliyomshtua Chilumba huku tayari Esther akiwa amejitoa kwenye tango la Chilumba.

“Esther Why?”
“Sitaki kukuua Chilumba”
“Kivipi Esther…how?”
“Am Victim, (mimi ni muathirika) Chilumba”
“Hapana Esther sio kweli unanitania ”
“Sikutanii Chilumba, sitaki kukuua, nakuona una pete mkononi inamaanisha una mke sitaki niwaue Pliiz”
“Esther unamaanisha unachokisema?”
“Namaanisha Chilumba, ngoja nikuletee vithibitisho”

Esther alitoka kidogo kisha akarudi
“Natumia dawa Chilumba, tena nilisahau kunywa naomba hayo maji nimeze dawa”
CHilumba alimshuhudia Esther akimeza dawa ambazo alizitambua kuwa zilikuwa ARV.
“Namimi niazime hayo maji nimeze zangu”
Esther alipigwa na butwaa baada ya kumuona Chilumba nae akimeza dawa za ARV’s.
“Nawewe ni mgonjwa Chilumba?”
“Ndio Esther”
“OOH pole lakini wewe sio mtu mzuri”
“Kwanini Esther, ”
“Kama ningekuwa sijaathirika ungeniambukiza kwasababu hukuwa na nia ya kunilinda”
“Hapana Esther….”
“Noooo usikatae…ninyi wanaume ni wakatili sanaaa”

Esther baada ya kusema hivyo alianza kulia huku Chilumba akiwa na kazi ya kumbembeleza lakini wala haikusaidia kitu.
Esther alilia na kulia mpaka akatosheka na wakati huu Chilumba alikuwa kamkumbatia akimpiga piga mgongoni.
Esther akiwa kama anakurupuka aliamka kwa kasi na kutoka nje kule walipokuwa wamekaa kwa lengo la kumtafuta Nisha.
“Rose huyu dada kaenda wapi na Yule kaka”
“Wmeenda kulala huko juu”
“My God…namba ngapi wapo?”
“101”

Esther akiwa kama mkichaa aliifwata lift mpaka juu kabisa Ghorofani kilipokuwa chumba namba 101, aligonga mlango bila kufunguliwa akaamua kuusukumiza na bahati nzuri ulikuwa haujabanwa ndani na kufunguka.
Alishuhudia Nisha akiwa uchi huku Egbert akijiandaa kutumbukiza dude lake kwenye ikulu ya Nisha lakini akamuwahi kwani alimsikia Nisha akiguna huku anataja jina la Sam.
“Egbert ni ukatili gani unafanya?”
“Wewe umeingiaje huku kwenye starehe zetu”
“No sitakubali umuingilie mwanamke ambaye hajitambui kwa ulevi, kwanini wanaume mnakuwa wakatili kiasi hiki?”
“Unajua nimeelewana nae nini?”
“Stop lieing Egbert, acha uongo, umeelewana nae nini na saangapi, kwanza wewe mwenyewe msikie tu anataja Sam na sio wewe”
“Tafadhali muache aamke kwanza umuingilie kwa ridhaa yake”

Kwenye akili ya Nisha baada ya kuona starehe zinakatishwa japo ni kama alikuwa anaota yuko na Sam, usingizi ulianza kukatika na kuamka baadae akakutana na mzozo kati ya Esther na Egbert.
Alikuwa anavuta kumbukumbu taratibu ndipo akagundua kuwa kila alichokuwa anakihisi ilikuwa ni ndoto na Yule aliyetaka kumuingilia sio Sam bali ni Egbert,
Alianza kujikagua taratibu na mwishowe akagundua kuwa hajaingiliwa bado.
“Esther naomba tuondoke hapa”
Huku akiwa amenyong’onyea Egbert alishuhudia Esther akiondoka na ndege wake huku wakimwacha na hali mbaya kweli kweli.
Esther aliondoka na Nisha hadi kwenye chumba ambacho alimuonyesha ili alale mpaka kesho yake.
“Lala hapa, hiki ndio chumba ninacholala mimi siku zote.”

Akiwa kalala chumbani kwa ESTHER peke yake alianza kuwaza, mambo lukuki yalipita kwenye akili yake mpaka alipoingia kwenye bar na kuagiza AMARULA kwa kuisikia tu ikiimbwa kwenye mziki.
Aliendelea kukumbuka jinsi alivyokutana na Esther na kujumuika nne kwenye meza huku wakipiga story mbalimbali na kuendelea kulewa.
Kumbukumbu ziliendelea mpaka walipokaa na vijana wawili waliojitambulisha kuwa ni waZambia na hapo akawa hakumbuki tena vizuri kilichoendelea hadi akajikuta yuko chumbani anataka kuingiliwa na Egbert,

Alikumbuka alipokuwa anaota kuwa yuko na Sam, wanapigana na wale wazambia na kuwapiga, wanawachukulia hela na kuhama hoteli kumbe yote alikuwa anaota tu, lakini akagundua kuwa aliyokuwa anayaota ni matendo ya uhalisia yaliyokuwa yanafanywa na Egbert.
Alianza kububujikwa na Machozi akiwaza jinsi ambavyo hisia kali juu ya Sam zilitaka kummtumbukiza kwenye mtego wa Mamba.
…………………………………………….
Sam aliamka asubuhi ya saa kumi na moja na nusu alfajiri huku mawazo yote yakiwa juu ya Nisha akiwaza ni wapi aliko na anafanya nini.
Hakuwa anamuwaza kabisa Rafiki japokuwa alikuwa ametoka kumvisha Pete usiku uliopita.
Aliachana na mawazo hayo akachukua kamba yake akaelekea nje kisha akaanza kufanya mazoezi taratibu ya kuruka kamba, wakati anafanya mazoezi alianza kukumbuka mazungumzo yake na Verity jana yake ambayo yaliishia kwenye kufanya ngono bila kufikia muafaka.
Alikumbuka jinsi Verity alivyomwambia kuwa ana Mimba yake na kumpa hadhari kuwa endapo anaikataa hiyo Mimba kuwa sio yake basi anaenda kuisingizia kwa mwanaume anayetaka kumuoa na kamwe asije akaenda kudai mtoto kwani atakuwa hamuhusu. Kingine kilichompa mawazo ni utamu wa Verity wakati wa kufanya ngono, alikiri kuwa na wakati mgumu kumsahau mwanamke kama Verity japo ni shemeji yake.

Ilibidi Sam asimamishe zoezi kwanza huku akiwa anatafakari jambo zito kama hilo, mwisho aliona ni bora Verity amsingizie mimba huyo mwanaume anayetaka kumuoa ili kunusuru uchumba wake na Rafiki ambaye ni dada wa verity.
Wakati anaendelea na zoezi alitupa macho yake kando akamshuhudia mchumba wake ambaye ni Rafiki akiwa amekaa huku anamtazama kwa tabasamu mwanana.

Katika vitu ambavyo vilikuwa vinamfanya Sam ajione hakukosea kuwa na Rafiki ni pamoja na Sura ya Rafiki. Alikuwa na sura nzuri sana ya maji ya kunde ama tunaweza kusema weupe wa wastani.
Alikuwa na macho makubwa meupe peee kasoro kwenye kiini tu, alikuwa na meno mazuri yaliyopangika vyema huku kifuani akiwa na embe mchongoko, wembamba wake wa wastani ulimfanya aonekane kama mlimbwende aliyeshinda taji. Tofauti yake na VERITY ni ule unene wa kutengeneza umbo namba nane aliokuwa nao Verity huku Rafiki akiwa ni mwembamba wa wastani.
Alivyomuona amekaa pale kando huku anatabasamu alijikuta akijisikia furaha na fahari kubwa, kabla hajasema chochote alimuona Rafiki akiamka huku amejifunga kanga iliyoonesha umbo lake kwa mbali hadi nguo ya ndani ikawa inaonekana mchoro wake akawa anamfwata.
Sam alibaki amemtolea macho hadi Rafiki alipofika pale akamkumbatia na kumpiga mabusu mdomoni.

“Pole Mume wangu kwa Mazoezi”
“Asante”
“Haya twende ukaoge unywe maziwa”
KItendo cha sam kukumbatiwa vile tayari mhogo ulishataka kunyanyuka lakini akawa anauzuia kwa kupotezea hisia zake.
Alijikuta akitamani kuendelea kukumbatiana na Verity ama ikiwezekana aelekee nae chumbani kabisaa.
Sam alipelekwa mpaka bafuni akakutana na maji ya moto yakiwa tayari huku taulo jeupe likiwa linanukia marashi akiwa ameandaliwa yeye.
“Oga mume wangu mimi niko nje”
Sam alishindwa kusema chochote kwani alitamani abaki na Rafiki pale bafuni ila akashindwa kusema na midomo ikawa inagongana utadhani Yule sio mchumba wake aliyemvisha pete.
Alijikuta akimvuta Rafiki mkono na kumleta kifuani kwake kisha akaanza kumnyonya mate lakini Rafiki akawa anajitahidi kujitoa mikononi mwa Sam.
Kwa kuvutana kule bahati mbaya Sam aliteleza akaanguka chini kwenye tiles PUUUUU!

Nisha alikuwa ameshikilia simu anampigia Sam lakini simu ilikuwa haipokelewi, alituma meseji mpaka zikafika kumi lakini hakuna hata moja iliyojibiwa.
Hasira zilimshika akaamua kufuta namba zote za Sam na simu zote alizopiga akazifuta kwenye rekodi ili asiweze kumpigia tena na ikiwezekana amsahau kwani anachoambulia ni maumivu tu.
Alipomaliza zoezi alijilaza kitandani kisha akaanza kulia.
“Hivi kweli SAM, yani unaacha mimi mpaka nafikia hatua ya kutaka kubakwa kweli”
Nisha alikuwa analia huku anajiongelesha mwenyewe pale chumbani.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)