Mtunzi: Omary John Mndambi
SEHEMU YA KUMI NA NANE
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Alipomaliza zoezi alijilaza kitandani kisha akaanza kulia.
“Hivi kweli SAM, yani unaacha mimi mpaka nafikia hatua ya kutaka kubakwa kweli”
Nisha alikuwa analia huku anajiongelesha mwenyewe pale chumbani.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
Esther alikuwa Chumbani na Chilumba wakiwa wanafanya ngono bila kinga baada ya kugundua kuwa wote ni waathirika.
Walifanya mapenzi zaidi ya mara nne huku wakiwa hawaiishi hamu, kila Chilumba alipokuwa anamuona Esther akiwa mtupu hisia zilikuwa zinampanda kiasi kwamba anashindwa kuvumilia na kumuendea tena huku anamnyonya midomo na kuipanua miguu kisha anaingiza mhogo wake, kinachofuatia hapo ni miguno ya utamu tu.
Wakiwa wamepumzika walianza kupiga story….
“Hivi Chilumba ulipataje huu ugonjwa?”
“Acha tu nii historia ndefu ambayo iinaniumiza sana”
“Kama tayari ni historia haipaswi kukuumiza”
“Ni ngumu sana kuacha kuniumiza, sikutarajia katika maisha yangu kuja kuishi na haya maradhi”
“Kwani ilikuwaje?”
“Ngoja nikusimulie….”
Kwa ufupi mimi nililelewa kwenye familia ya kikristo na BABA yangu alikuwa ni askofu wa kanisa la Methodist.
Mara nyingi sisi tulikuwa tunashinda kanisani tukiwa na Baba na Mama pamoja na wadogo zangu, hivyo mpaka mimi nakuwa mvulana mkubwa sikuwahi kujihusisha na vikundi vya tabia mbaya.
Niliendelea na tabia hii hadi nilipofika wakati wa kujiunga na sekondari ambapo nilienda kusoma kwenye shule za Kanisa alilokuwa anahudumu baba.
Shule ile ilikuwa ni ya mchanganyiko ambayo inachukua wanafunzi kutoka maeneo mengi ya Nchi ya Zambia, kutoka Bulawayo pamoja na Kinshasa yote na hata nje ya nchi kwani Kanisa lile lilikuwa na waumini wengi ambao walipenda kusomesha watoto wao kwenye shule hizo hizo za kanisa.
Hapa ndipo historia ya maisha yangu ilipobadilika baada ya kukutana na Msichana mmoja wa Zimbabwe aliyekuwa anaitwa Nice Robert.
Nice alikuwa ni msichana mpole sana, lakini pia alikuwa ni msichana mzuri mno, watu wengi walikuwa wanasema kuwa msichana mpole kuliko wote pale shuleni alikuwa ni Nice na Mvulana mpole kuliko wote alikuwa ni Mimi.
Tulipongia kidato cha tatu tayari tulikuwa tumekua vya kutosha na story kuhusu Nice zikaanza kusikika.
Wavulana wengi waliokuwa wanamtongoza Nice walikuwa wanaishia kufukuzwa shule katika mazingira ambayo hata kesi ilikuwa haisikilizwi vizuri.
Baada ya muda ikasemekana kuwa Nice anatembea na Meneja wa Shule hivyo hakutaka kushea na mtu.
Story hizi kwangu zilikuwa hazina mashiko kwani hayakuwa mambo ya kipaumbele change, mimi nilikuwa nachapa kitabu tuuu!
Siku moja nikiwa naingia darasani tukiwa tumetoaka kusali sala ya asubuhi nilikuta Nice akiwa peke yake darasani analia.
Nilimfwata na kumuuliza analia nini lakini hakusema chochote.
Roho ya huruma ilinijia na kujikuta na mimi nikilengwa lengwa na machozi kwani nilihisi Nice alikuwa kwenye uchungu mzito….
“Acha tu Chilumba wewe nenda zako yasije kukukuta makubwa, najuta sana kuzaliwa mwanamke”
Nilishindwa kabisa kumuelewa Nice lakini nikajikuta nikiondoka taratibu hadi kwenye meza yangu nikatoa vitabu na kuanza kujisomea huku wanafunzi wengine wakiwa wamefika ila wanaota jua nje kwani muda wa madarasani ulikuwa bado.
Nikiwa naendelea kujisomea mlangoni nilimuona mtu anaingia lakini akiwa hana unifom nikajua ni Mwalimu, alivyojitokeza vizuri nikagundua ni Meneja wa Shule.
“Ninyi mnafanya nini humu ndani peke yenu?” aliuliza meneja.
Nilijivuta nikisubiri Nice ajibu lakini alikuwa kajiinamia kama mwanzo.
“Najisomea meneja, huyu nimemkuta humu humu analia tu”
“Wewe umejuaje kama analia?”
“Nilimuangalia nikagundua analia”
“Shenzi kabisa, ushaanza kuharibika eeeh, unaleta mapenzi shuleni? Nilikuona tangu mwanzo umemuinamia unamtongoza …sasa subiri”
Kabla sijamjibu chochote meneja alitoka kwa hasira kiasi kilichoniogopesha…
“Lakini nilikwambia Chilumba”
“Kwani mimi nimefanya nini lakini?”
“Usiwe mbishi Chilumba, ulipaswa kunisikiliza”
“Lakini nilikusikiliza nikaondoka zamgu kosa liko wapi hapo”
“Chilumba nakwambia utafukuzwa shule”
“Kwakosa gani Nice…nakuhakikishia Mungu atanilinda”
“Hata mimi nimechoka sasa, nimechoka kuwa mtumwa Chilumba…safari hii wakikufukuza naanika ukweli wote…kwanza ngoja nije hapo”
Nice aliamka akaja mpaka nilipo akkanikumbatia na kuanza kuninyonya mdomo, alininyonya nikawa najitoa kwake kwani sikuwahi kufanya mambo kama yale na niliogopa sana kama nikikutwa itakuwaje.
Kile kitendo kilinifanya nikapata hisia kali sana nikajikuta nikinogewa na kuanza kumpapasa Nice pale pale darasani, nilikuwa nina hisia kali sana ukizingatia kuwa ilikuwa ni siku yangu ya kwanza kukumbatiwa na msichana.
Huku tukiwa tunashikana Nice aliniambia…
“NAKUPENDA SANA CHILUMBA”
“nakupenda sana Nice”
“Wakikufukuza shule naondoka nawewe, utaridhia”
“Niko tayari Nice”
Utamu wa mwili wa Nice na ugeni wangu kwenye ulingo ule vilinifanya nikawa najibu mambo bila kufikiria, kuja kushtuka darasa limejaa wanafunzi
“Mungu wangu, nimeisha mimi” nilijisemea mwenyewe.
………………………
“Chilumba Bosco unahitajika ofisi ya Dean!”
Mwalimu wa Nidhamu aliniita nikiwa nasoma hesabu darasani, sikuwa na jambo jingine kichwani kwangu, nilijua kabisa kuwa naenda kwenye kesi.
Niliamka huku kila mtu akiniangalia kwani wengi walijua kuwa sina shule naenda kutimuliwa.
Nikiwa na mwendo wa taratibu uliojaa majuto nilitembea mpaka ofisi ya Dean nikagonga mlango nikakaribishwa ndani, wakati naingia nikakutana na Meneja mlangoni akiwa anatoka oofisini pale.
Alinitazama kwa jicho kali kisha akanisukumiza kwa nguvu kitendo ambacho hakikuonekana na mtu yeyote hadii nikajingonga ukutani kisha akaondoka zake.
…………………………….
Nikiwa na barua yangu mkononi wanafunzi walikuwa wamejazana pale mstarini huku nikisomewa adhabu ya kuchapwa fimbo sita na kufukuzwa shule japo nitarudi wakati wa mitihani ya kumaliza shule tu!
Wanafunzi wenzangu walikuwa kimya wakiwa wamenyongo’onyea kwani walikuwa wananionea huruma mno.
Gari ya shule ilikuwa inanguruma huku dereva akiwa anasubiria nimalize taratibu anipakie niende zangu nyumbani.
“Kabla hajaondoka tunamuomba Mwalimu Kolly aje ampe fimbo zake kisha akapande kwenye gari arudi kwao”
Wakati nataka kuchapwa fimbo shule nzima ilipigwa na butwaa baada ya kusikia sauti ya Nice ikiongea kwa nguvu “stoooooop”
Wakati anasema hivyo alikuwa anakuja mbele kiasi kwamba kila mtu akawa anamtazama yeye.
“Please kabla hamjaanza kumchapa Chilumba naomba muanze namimi, kwanini kosa nifanye nae alafu aadhibiwe yeye tu”
“Kabla hamjaanza kumrudisha nyumbani nipeni na barua yangu niondoke mimi wa kwanza na ikiwezekana mmuache chilumba asome kwani hana hatia”
“Frankly speaking….Nimechoka kulazimishwa ngono na MENEJA COSTANTINE, sikuja hapa kufanya mapenzi, nilikuja kusoma lakini shetani COSTANTINE mnayemuita meneja ameamua kunidhalilisha kwa kunilazimisha kulala na mimi kila wakati”
“Nawaomba sana mtende haki, tutaondoka sisi lakini dunia itajua na itahukumu hata kabla Mungu haja hukumu…niadhibuni mnipe barua yangu nifwatane na Chilumba”
Minong’ono na miguno ilianza shule nzima na kuhamia kwenye makelele huku vurugu zikitaka kuanza, walimu na walinzi wa shule walijitahidi kutuliza hasira za wanafunzi zilizoamshwa na maneno ya Nice lakini haikuwezekana.
Baada ya Lisaa limoja shule ilikuwaa inawaka moto huku kikosi cha zimamoto kutoka makao ya Bulawayo kikiwa kinajitahidi kuuzima ule moto na kuwatuliza wanafunzi kwa mabomu ya machozi.
Yote haya yalikuwa yamesababishwa na mimi na Nice.
Nikiwa nimesimama na wenzangu tunajadiliana jinsi Nice alivyojitoa mhanga walikuja askari wawili wakanikamata na kunitia pingu kisha wakanibeba hadi kwenye gari nikakutana na Nice akiwa nae kavaa Pingu katulia ndani ya gari.
Gari liliwashwa hadi kituoni kisha kila mmoja akaingizwa sehemu yake na kuachwa huko
Masaa yalisogea kwa kasi na njaa ikawa imenikamata vilivyo, nilitamani aingie askari yeyote ili angalau anipatie hata simu nimtafuta baba yangu nimueleze kile ambacho kimenikuta ili angalau anitoe humu kwenye mbu, Joto, Njaa, Harufu kali, Giza na kila aina ya kukosekana matumaini.
Giza lilianza kuingia na hatimaye nikajua kuwa tayari ni usiku, sikupatwa na usingizi hata kidogo bali niliteseka usiku kucha mpaka nilipokuja kutolewa mida ya saa tatu asubuhi nikiwa nimechoka na njaa kali.
Nilikutana uso kwa uso na Baba yangu akiwa na Mama yangu ambao wote walimwagikwa na machozi,
Niliwakimbilia nikawakumbatia huku nikilia kama mtoto, baba alikuwa anataka kuzungumza lakini maneno yakawa yanakwama.
“Imetosha mwanangu, imetosha sasa…twende nyumbani” alisema baba.
Niliamka ili niondoke lakini ghafla nikapata kumbukumbu za Nice, nikamshika baba mkono na kumweleza.
“Noo Baba, sikuja mwenyewe hapa, nimekuja na mwenzangu. Je yeye ana hali gani na anatokaje?”
“najua mwanangu, twende kwanza nyumbani alafu nitakweleza, kesi yake ni tofauti kidogo”
Sikukubali kirahisi, nilimsihi baba sana mpaka tukarudi kwenda kumuona Nice, haikuwa kazi rahisi lakini hatimaye tulionana nae na alikuwa imara sana, hakuwa na wasiwasi.
“Chilumba wewe nenda wala usiwe na wasi wasi, nimefanya kile ambacho moyo wangu ulitamani nifanye, kwasasa niko tayari kwa lolote”
Nilimshangaa sana Nice na nilishindwa kumuelewa kwa urahisi ila nikajikuta nikivutwa na baba ili twende, niliondoka huku nikilia na nilimuhakikishia Nice kuwa nitaruudi tena!
……………………………….
Baada ya kumsihi sana baba hatimaye aliridhia mimi kwenda kumuona Nice huku nikiwa nimetangulizana na Baba.
Tulifika na kumkuta Nice akiwa kachoka kiafya japo saikolojia yake ilikuwa imara sana, baada ya kusalimiana nae Baba aliniambia nikae kando ana mazungumzo binafsi na Nice.
Nilitii nikakaa kando, baada ya muda baba aliniita na kunieleza kuwa Nice amemueleza mambo mengi sana ambayo hana budi kuyafanyia kazi, aliahidi pia kuwa ndani ya siku chache atahakikisha kuwa Nice anatoka pale.
Siku ambayo tulirudi na BABA kwa ajili ya kumchukua Nice tulikuta anapelekwa mahakamani akiwa anashitakiwa kwa kosa la kusababisha fujo shuleni pamoja na uharibifu wa mali za fedha nyingi kwa mamilioni.
Baba hakuridhika, alitafuta wanasheria ambao walisimamia ile kesi na hatimaye Nice akatoka huku MENEJA akihukumiwa kifungu cha miaka thelathini gerezani.
…………………………………..
Niliamua kumuoa Nice baada ya kumaliza chuo na nilikuwa na furaha sana kwa hatimaye Nice kuwa mke wangu. Nilikuwa nampenda sana na nilimuahidi kuwa sitamgusa mpaka siku ya ndoa yetu, Nice aliridhia akasubiri namimi nikasubiri kwa kipindi kirefu bila kufanya ngono, kumbuka kuwa hadi wakati huu nilikuwa sijawahi kulala na mwanamke yeyote.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)