Mtunzi: Omary John Mndambi
SEHEMU YA ISHIRINI
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Dada alikata simu kisha nikaisikia simu ya shemeji ikiita huko chumbani nikajua kuwa ni dada atakuwa ameamua kumpigia mume wake.
Baada ya masaa kama matatu hivi dada alirudi kisha akaingia chumbani kwa mme wake ambapo niliwasikia wakiongea taratibu kisha mimi nikawa naendelea na kazi zangu kama kawaida.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
Baada ya kama wiki nzima ya kutokumuona shemeji akienda kazini niligundua kuwa kampuni ambayo alikuwa anafanya kazi shemeji kama mhasibu illikuwa imefungiwa leseni ya kazi kwasababu ya kusababisha ajali na kudaiwa kukwepa kodi.
Shemeji yangu alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya usafirishaji wa mizigo kama mafuta na bidhaa zingine lakini pia na ilikuwa na mabasi ya abiria.
Habari za chini ya kapeti ni kwamba mmiliki wa kampuni alikosana kisiasa na viongozi wa serikali baada ya kuonekana anaukaribu na wapinzani hivyo wakaanza kuhujumiana kiasi kwamba madereva wakawa wanasababisha ajali za makusudi kitendo kilichofanya wafungiwe leseni za biashara pamoja na kudaiwa fidia ya mabilioni ya fedha.
Kiufupi ni kwamba walikuwa wanafilisiwa, na hapa ndipo mambo yalianza kubadilika kwani shule niliyokuwa nasoma ilionekana kukosa usajili kutokana na kukidhi vigezo hivyo ikawa inalazimu nihamishiwe shule nyingine.
Siku moja nikiwa namlisha mtoto niliikia mzozo huko chumbani kwa dada wakiwa wanazozana na mUme wake, nilivyosikiliza sana nikagundua kuwa ule mzozo ulikuwa unanihusu mimi. Dada alikuwa anamwambia shemeji atoe hela ili nihamishiwe shule nyingine nzuri lakini shemeji alidai hana fedha kwa wakati huo na kiukweli shemeji alikuwa hana hela na nilijiuliza ni kwanini dada hataki kumuelewa shemeji.
Siku ile walibaki wamenuniana na sikumuona shemeji akitoka kuja kula chakula, roho iliniuma sana na nilitamani nimwambie dada aache lakini nikakaa tu kimya ili kuepusha shari zaidi, kesho yake dada aliamka na kwenda kazini huku akimuacha shemeji kalala ndani.
Ilipofika mida ya saa nne nikaamua kwenda kumgongea shemeji, baada ya kitambo kidogo aliamka na kufungua mlango huku akionekana kachoka sana.
“mme wangu njoo unywe chai”
“usijali, sijisikii kunywa ch”
“HAPANA mume wangu, jana usiku hujala na mpaka saivi bado hujala chochote, tafadhali nakusihi uje”
“Shemeji aliniangalia kwa jicho la huruma kisha akasema …nakuja”
Nilimuandalia maziwa, mikate na mayai pamoja na juisi ambapo alivyokuja alikunywa na kuniambia ahsante kisha akaenda kukaa kwenye makochi na kuwasha TV.
“Shemeji hivi kwanini dada hataki kukuelewa kuwa kwasasa huna hela?”
“unamaanisha nini mke wangu” shemeji alishtuka mimi kumwambia vile, nadhani alijua kuwa sijui chochote.
“hapana mimi sipendi anavyokulazimisha unilipie ada wakati anajua hali unayopitia kwa sasa”
“Wala usijali mke wangu, yataisha tu na shule utaenda mambo yakikaa vizuri…wewe tulia tu dada yako mimi namjua”
Nilikaa nikajuta kwanini nimemwambia shemeji vile kwani ilionekana kama amekosa amani baada ya kujua kuwa kumbe naelewa kila kitu kinachoendele pale nyumbani. Ila maisha yaliendelea hivyo hivyo.
……………………………………
Siku moja dada alinipigia simu akaniambia nimfwate Sinza Kijiweni, alinitumia shilingi elfu ishirini akaniambia nichukue bajaji kutokea Tegeta ili niwahi kufika. Nilijiuliza dada kwanini aniite kule lakini nikajiandaa ili niende, nilimuaga shemeji kwa kumwambia kuwa dada ameniita shemeji akaishia tu kuguna.
Badala ya kuchukua bajaji niliamua kuchukua boda boda ambayo ndani ya dakika chache ilinifanya nifike kwenye eneo ambalo dada alinielekeza.
Nilipofika alinipokea akanipeleka sehemu ambayo alikuwa amekaa na baba mmoja hivi mrefu na mnene akiwa amevaa jeans na shati la mikono mirefu akaikunja huku chini akiwa amevaa viatu vya ngozi vya kisasa kabisa, kwakweli alionekana kuwa nadhifu.
Dada alinitambulisha kuwa Yule ni bosi wake na alimueleza shida zangu na kwamba yuko tayari kunitafutia shue na atanilipia ada.
Sikuwa na cha kusema isipokuwa kushukuru, waliniagizia mapochopocho nikala na kunywa kisha tukarudi nyumbani huku nikiwa najiuliza maswali mengi kichwani kuwa kuna nini zaidi ya ubosi hadi nilipiwe ada? Kingine ni maongezi kati ya dada na Yule bosi hayakuonekana kama ni kati ya mtu na bosi wake….taa nyekundu iliwaka akilini mwangu lakini nikamsihi mungu isiwe kama ninavyofikiri.
……………………………………
Baada ya wiki moja nilichukuliwa na kupelekwa shule Moja iliyokuwa maeneo ya Sinza Kumekucha iliyokuwa inaitwa DAR ES SALAAM INTERNATIONAL SCHOOL. Ilikuwa inalipiwa ada ya shilingi milioni mbili kwa mwaka na ada ililipwa yote nikaanza masomo.
Likizo ilipofika nilirudi nyumbani nikakuta hali ya dada na shemeji ni tete kwani walikuwa hawaongeleshani na hata shemeji alionekana hana furaha na mimi pia. Alikuwa amenuna tu na hata tabasamu lilikuwa la kulazimisha, baada ya siku kadhaa shemeji alisafiri kwenda mkoani katika hatua za kuhangaika na maisha hivyo pale nyumbani tukabaki mimi, dada na mtoto wao.
Katika hali ya kushanga za ni kwamba ilipofika saa sita usiku dada alirudi akiwa kalewa huku akiwa na Yule mtu aliyesema ni bosi wake na wakalala pale ndani, roho iliniuma sana hadi sikupata usingizi usiku kucha, nilijiona kuwa sehemu ya yale maovu ya dada kwani mwanaume Yule ndio ananilipia ada mimi.
Siku zilisogea na hatimaye shemeji akarudi, siku shemeji aliporudi dada alikuwa katoka hivyo shemeji aliniita akaniambia niketi kuna mambo anataka kuniuliza.
“Mke wangu hivi ni nani anakulipia ada?”
Swali hili lilinifanya nibabaike sana kwani kila jibu nililotaka kujibu niliona kuwa lina madhara kwa dada ama kwangu na ama kwa shemeji pamoja nan doa yao kwa ujumla.
“Niambie tu mke wangu”
“Mimi dada aliniambia kuwa ni nyie wawili mnajichangisha”
“AAAAH shemeji….usintanie bwana hebu niambie ukweli, au nawewe unahusika kwenye haya yanayoendelea”
Kauli ile ya shemeji ilinifanya ninying’onyee kweli kweli lakini nikamjibu kuwa…. “hapana sihusiki”
Wakati huo tulimuona dada akiingia kutokea kazini akatukuta tukiwa tumakaa pale kibarazani kisha akanisalimia mimi bila kumuamkia shemeji.
“Vipi unaongea nini na huyo mtu, achana nae njoo unipokee mizigo”
Dada ndiye alitoa ile kauli, niligeuka nikamtazama shemeji mwenye roho ya masikitiko kisha akaniambia “Nenda Esther mpokee dada yako”
…………………………………………
“Umeniua mke wangu…..umeniua mimi”
“We vipi bwana, nimekuua na nini sasa hebu niachie makelele mimi”
“Mke wangu toka nimekuoa sijawahi kukusaliti, leo naambiwa nina VVU, Nimeupata wapi kama sio kwako, umeniua mke wangu”
Ni makelele niliyoyasikia toka chumbani kwa dada wakizozana na shemeji, mapigo ya moyo yalinidunda kwa spidi ya Subaru hadi nikataka kuanguka, nilijiuliza….. “Shemeji ana ukimwi?”
Nilijua kwa asilimia zote kuwa Dada ndiye kampa shemeji ukimwi.
“Mbona mimi sina huo ukimwi, mbona sina?”
“Umepima lini mama Kelvin, umepima lini?”
“Twende tukapime, una maukimwi yako huko alafu unanitaja mimi, na nikiuta tu kweli unao sitakaa na wewe humu ndani, sikai na mtu wa ukimwi mimi”
“Sawa twende mke wangu”
Walibebana mkukumkuku kisha baadae wakarudi wote wakiwa wamenywea, dada alikuwa amesononeka mno na nadhani alijua fika kuwa yeye ndio ameleta ule ugonjwa kwenye nyumba yake.
“Fredy umeniua na fedha zako”
Dada alijisemea huku wote tukiwa tunamsikia na kugundua kuwa kumbe Yule mwanaume aliyekuwa anatembea na dada anaitwa Fredy!
“Mama Kelvin tama zako zimeleta Janga, ila lazima nawewe nikuumize”
…………………………………………
“ina maana Verity ana Mimba ya Sam, mungu wangu mbona mitihani mikubwa kwangu hii.” (alikuwa anajiuliza Rafiki akiwa mwenyewe analia bafuni)
Sam alirudi akamkuta Rafiki yuko kwenye hali ambayo sio nzuri, hakuwa amechangamka kitendo kilichomdhihirishia Sam kuwa kuna jambo halijakaa sawa.
“Vipi mamy, mbona uko hivyo”
“Kwani nikoje baba”
“Hujioni jinsi ambavyo huna raha”
“No niko sawa Sam”
Rafiki alijitahidi kujichangamsha ili kupotezea huzuni aliyokuwa nayo moyoni kwani tangu mwanzo alishajua kuwa Sam ametembea na mdogo wake ila akakubaliana na hali hiyo hivyo hakukuwa na jipya isipokuwa hili la mimba lilimfanya ajisikie vibaya.
“Njoo mke wangu nikupe Mimba”
“Hahahaaaa, unipe mimba kwani wewe ndie unaepanga mimba iingie ama isiingie”
“Sasa ni nani, ni mimi kwani mimi si ndio naweka mbegu”
“Mbegu gani Mungu ndie anapanga”
“Pamoja na yote lakini mimi mbegu ninazo njoo nikupe Mimba bwana tuzae mapema tukiwa vijana”
“assssssshhhh”
Rafiki alishtuka baada ya nyonyo yake kubinywa.
“Bwanaaaa”
“Bwana nini”
Rafiki alikuwa analalamika lakini tayari kanga aliyokuwa amejifunga ilikuwa imewekwa chini na amevutwa kifuani mwa Sam ananyonywa midomo.
Sam alifanya zoezi la kunyonya midomo ya Rafiki huku mikono yake ikiwa imeshika kiuno cha Rafiki.
Alikuwa anazungusha mikono yake kwenye kiuno cha Rafiki kisha akaishusha mpaka kwenye makalio na kuyabinya kitendo kilichomfanya Rafiki awe anasogeza kiuno mbele kwa utamu.
Aliendelea na zoezi lake ambapo sasa aliunyanyua mguu wa Rafiki na kuuweka kitandani kitendo kilichompa upenyo wa kuifikia ikulu ya Mkewe huku wakiwa bado wamesimama, wakati wanaendelea kunyonyana midomo mkono mmoja ulikuwa ikulu na mwingine unasavei kiunoni na kifuani, Rafiki nae alikuwa ameshikilia Tango la mmewe analichua huku akigugumia kwa mahaba asssshhhh, ahhhhhhhh, shhhhhhhhh sam nakupenda mme wangu oooohhhhhhh…..
Rafiki alikuwa kashika kitanda na Sam yuko nyuma yake amembinua na kukikamatia kiuno anakita mtarimbo kwenye ikulu ya Rafiki.
Kwa kuwa Rafiki alikuwa na nywele ndefu sam alizishikilia kwa nyuma huku akiinama na kuufikia mdomo wa Rafiki ambaye sasa kiuno alikuwa amekibinua haswa na ikulu kufikiwa kwa urahisi na mashambulizi kuendelea kwa kasi …. Baada ya dakika kadhaa nguvu zilimuishia Rafiki ambaye alidondoka kitandani kuashiria yuko kwenye hali ya kufika kilele.
Sam alimwendea akamgeuza style ya kimisionari ambayo mwanamke anaangalia juu na mwanamme anaangalia chini wakiwa wamekumbatiana huku miguu ya mwanamke ikipita na kufunga kiunoni mwa mwanamume, sam aliendeleza mashambulizi huku ananyonya nyonyo za Rafiki.
Sekunde kadhaa mbele Rafiki alifika mwisho ambapo sam nae aliufikia kwa kupishana dakika chache, Kwakuwa Sam bado alikuwa na nguvu aliendelea bila kusitisha zoezi ambalo lilichukua karibu lisaa limoja na hatimaye wakawa wamemaliza na kupitiwa na usingizi mzito.
Waliamka baadae sana wakiwa na njaa kali ambapo waliagiza chakula ambacho kila mmoja alikitamani lakini ajabu walishirikiana kwa kila mmoja kula chakula alichoagiza mwenzake kwa pamoja.
Walikaa wiki nzima wakiwa honeymoon ambapo kila siku mchana na usiku walikuwa wanafanya ngono kwa raha zao.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)