MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (37) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA THERATHINI NA SABA TULIPOISHIA... Ikiwa imepita wiki moja baada ya kutoka msibani Sam walipata wageni pale nyumbani, wageni hawa hawakuwa wengine bali ni Gwakisa na Mkewe Verity ambao walikuja kwa ajili ya kutoa Pole ya msiba ambao wao hawakwenda. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Walikaribishwa kwa upendo ikiwa ni majira ya Jioni ambapo Sam bado alikuwa hajafika kutokea kazini. Baada ya dakika chache Sam aliingia na kumuona Gwakisa na Verity wakiwa pale ndani… akili ya Sam ilipomuona Verity ilihama kabisa na kumkumbuka PRINCESS ambaye anaamini alikuwa mtoto wake. Kwa Verity ilikuwa ni tofauti kabisa kwani baada ya kumuona Sam alijikuta akiwakwa na mapenzi moyoni, alikumbuka alivyokuwa anainjoi akifanya mapenzi na sam hadi kufikia kutaka kumpindua dada yake ili aolewe yeye lakini ikashindikana… Aliendelea kukumbuka jinsi alivyompenda Sam na kufikia hatua…