MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (37)

0

SEHEMU YA THERATHINI NA SABA
TULIPOISHIA...
Ikiwa imepita wiki moja baada ya kutoka msibani Sam walipata wageni pale nyumbani, wageni hawa hawakuwa wengine bali ni Gwakisa na Mkewe Verity ambao walikuja kwa ajili ya kutoa Pole ya msiba ambao wao hawakwenda.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Walikaribishwa kwa upendo ikiwa ni majira ya Jioni ambapo Sam bado alikuwa hajafika kutokea kazini.
Baada ya dakika chache Sam aliingia na kumuona Gwakisa na Verity wakiwa pale ndani… akili ya Sam ilipomuona Verity ilihama kabisa na kumkumbuka PRINCESS ambaye anaamini alikuwa mtoto wake.
Kwa Verity ilikuwa ni tofauti kabisa kwani baada ya kumuona Sam alijikuta akiwakwa na mapenzi moyoni, alikumbuka alivyokuwa anainjoi akifanya mapenzi na sam hadi kufikia kutaka kumpindua dada yake ili aolewe yeye lakini ikashindikana…
Aliendelea kukumbuka jinsi alivyompenda Sam na kufikia hatua ya kuzaa nae mtoto ambaye hata hivyo ametoweka, hapohapo moyo wake ulianza kwenda mbio…alijiona kabisa akitamani warudie kama mwanzo na hata ujasiri ulimuisha kabisa…

Sam aligongana macho na Verity kuna kitu wakasomana kwenye akili zao na jinsi walivyoangaliana, lakini wakati huo huo Rafiki alikuwa makini kuwaangalia jinsi watakavyosalimiana na Gwakisa nae pia hakukaa mbali alikuwa anatazama kwa kuibia huku wivu ukiwa dhahiri!
Akili ya Sam ilicheza haraka na kuamua kujizuia asije akaleta matatizo,
“Karibuni jamani, mmefika muda eenh?” aliuliza Sam baada ya kusalimiana na wageni.
“Sio sana ila ni muda kidogo” alijibu Gwakisa kwa sauti ya upole lakini hapo hapo akadakia Verity.
“Tumepika mpaka vimeiva tumekula wewe sijui ulikuwa na wake wenzetu huko” Aliongea Verity.
Baada ya kutoa kauli hiyo Sam aliguna tu lakini Gwakisa na Rafiki walionekana kukerwa na uchangamfu wa maneno ya Verity na wakawa wamenuna kweli.
Sam aliamua kuingia chumbani kwao akabadilisha nguo na kisha akaungana na wenzake hapo sebuleni.

Gwakisa na Verity walieleza haja yao kuja pale kuwa ni pamoja na kuwatembelea lakini kubwa likiwa kuwapa pole na kuomba msamaha kwa kushindwa kuungana nao kwenda msibani.
Kila kitu kilienda Vizuri kisha Verity na Gwakisa wakakabidhi zawadi kidogo walizokuja nazo kwa ajili ya Pole kisha wakaaga kuondoka lakini Gwakisa akaomba kuwa usiku ule watoke pamoja wakapate chakula cha jioni kwa pamoja.
Hakukuwa na kipingamizi chochote, kilichobaki ni Rafiki na Sam kujiandaa pamoja na Glory kisha wakatoka wakaenda kwenye Bar moja nzuri wakaa hapo.
Hakuna kilichoendelea zaidi ya kunywa na kula, Sam, Gwakisa, Verity na Rafiki walikuwa wanadondosha Heinken kama mvua.

Baada ya muda walianza kulewa na kuongea kwa sauti ya juu kuliko awali, aliyekuwa anaongea sana ni Gwakisa ambaye alikuwa anajisifia kuwa ana hela sana.
“Mimi nina pesa, nina pesa hadi naumwa … kunyweniiiii pombeeeee”
Hata kabla bia hazijaisha Gwakisa alikuwa anaagiza nyingine “Leta biaaaaaa…nawewe meneja bia zikichelewa nakufukuza kazi”
Katika vitu ambavyo vilikuwa ni mshangao kwa kila mmoja isipokuwa Verity na Gwakisa ni kuwa hawakujua kuwa ile Bar ni ya Gwakisa.
Ilikua ni ghorofa Ndefu yenye rosheni kadhaa ambazo zilikuwa ni hoteli huku floor ya chini ilikuwa ikitumika kama Bar,
Ni moja tu kati ya mali za Gwakisa zilizokuwa pale Mbeya mjini lakini pia alikuwa na nyumba nyinginezo na fedha nyingi sana kwenye akaunti yake.
“Yani mimi nina pesa nyingiii, nina pesa ila sina mtotooo” aliendelea kuropoka Gwakisa.
Wakati huo Verity pombe zake zilikuwa zinamtia ham ya kufanya mapenzi na Sam, kila akimwangalia Sam anajihisi kama kuna vitu vinatembea mwilini.
Rafiki alikuwa bega kwa bega na Sam kiasi ambacho kilimkera Verity na kutamani hata amuondoe Rafiki apate nafasi ya hata dakika moja abaki na Sam.

Maombi yake yalisikika kwani Rafiki alibanwa na mkojo na kutaka kwenda kujisaidia..
“Baby nisindikize toilet”
“Bwana nenda tu mwenyewe”
“Nisindikize bhana mme wangu” Rafiki alikuwa anaomba apelekwe toilet
“We Glory mpeleke Wifi yako” sam alimwambia mdogo wake na wao wakanyanyuka kwenda huko toilet.
Kwa Verity ilikuwa kama kuokota mamilioni kwani Rafiki na Glory waliondoka kwa pamoja huku Gwakisa akipiga story za kilevi na watu wengine.
Haraka sana Verity aliamka na kumfwata SAM mdomoni na kumnyonya mdomo kwa nguvu, Sam alijitahidi kumuondoa lakini hakikuwezekana, alibanwa sawasawa na ukichanganya na kilevi nae akajikuta anauoenda mchezo
Kwakuwa sam alikuwa amekaa kwenye kiti na Verity amemuinamia, Sam alipitisha mikono yake kwa nyuma na kumshika Verity kiunoni huku wananyonyana midomo, alikamatia kiuno cha Verity na Hapohapo akawa anayapapasa makalio ya Verity yaliokuwa yamebinuka kiasi nah ii ndio ilikuwa tofauti kati ya Verity na dada yake Rafiki.

Mambo yaliwanogea na hapo Sam alishusha mkono wake mpaka mwisho wa Sketi ya Verity na kupandisha kwa ndani akiyashika mapaja ya Verity ndani ya nguo.
Alipandisha mkono wake mpaka akafikia kufuli akalisogeza pembeni kisha akazamisha kidole chake cha katikati kikazama kitendo kilichomfanya verity agugumie ‘mhhuuu sshshshshhh’.
Ghafla wakiwa wamezama Sam alimuona Gwakisa anatokea kw mbali huku mkewe nae akiwa anarejea kutoka Toilet. Alimsokomeza Verity pembeni nay eye akajiweka Sawa kisha akamwambia Verity ….
“Tulia wenye mali zao wanarudi”
Lilikuwa ni tendo la dakika kadhaa lakini lilimfanya kila mmoja ajisikie hali Fulani nzuri japokuwa haja zao hazikutimia.
Verity alitamani nafasi hiyo ingeendelea lakini ilibidi watulie tu…
Ili kuepusha matatizo Sam alishurutisha waondoke warudi nyumbani na hakukuwa na kipingamizi ikabidi waondoke.

Walipofika nyumbani kila mmoja alikuwa yuko hot sana na hakuna kilichoendelea kati ya Sam na Rafiki isipokuwa kugegedana tu.
Hali kadhalika kwa Verity na Gwakisa mambo yalikuwa yale yale, waligegedana kweli kweli ukizingatia kuwa Gwakisa amepona.wakati Verity anakaribia kileleni alijikuta akitaja jina la Sam…
“Hivyo hivyo usitoeee, jamani tamuuuu, yeah Sam unajua kunitom..ba jamani, nakojoaaaaa, Sam nakojoaaaa”
Pamoja na Pombe alizokuwa nazo lakini swala hili lilimuingia Gwakisa mpaka ndani ya moyo, alikaa kimya wamalize lakini akili yake ilikuwa imeshavurugwa vilivyo.
………………………………..
Gwakisa aliamka na hasira kwa kauli alizosikia kwa mkewe jana yake, hakuwa na jinsi kwani anajua mkewe ametembea na Sam na huenda bado amemuweka moyoni.
Dawa aliyoona inafaa ni kumkomoa Verity hivyo alipofika tu kazini alifanya kazi kwa dakika chache kisha akamtafuta Yule dada Askari ili watoke wakagegedane.
Kwa upande wa Sam ilipotimu saa Kumi na moja alfajiri walianza kujadiliana na mkewe kuhusu ishu ya kupata watoto.
“Lakini zile dawa zako si ulizimaliza?” aliuliza Rafiki.
“Ziliisha nadhani sasa ninachotakiwa ni kufanyiwa tu hiyo operation”
“Sawa itabidi tukamuone dokta”

Kulipambazuka kisha Sam akaelekea kazini na Rafiki nae akaelekea kazini kwake, wakati wanaondoka nyumbani walimuacha Glory ambaye kwa wakati huu yeye ndie alikuwa anabaki pale nyumbani.
Kila wifi yake alipotaka kuleta housegirl Glory alikataa na kudai kuwa hakuna haja ya kupoteza Pesa kwani yeye zile kazi anaziweza.
Kaka yake alikuwa amemtafutia chuo ilia asome na tayari kwa matokeo yake ya kidato cha nne alikuwa amepata nafasi ya kusomea maswala ya uhasibu kwa ngazi ya cheti. Hivyo kuwa pale nyumbani alikuwa anasubiria siku zikiwadia akaripoti chuoni.
Kazini kwa Sam mambo yalikuwa mazuri sana kwani alikabidhiwa barua iliyosainiwa na mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Ya kuwa amepandishwa cheo na kuwa kaimu mkuu wa kitengo cha FFU mkoa wa Mbeya.
Wakati huo huo RPC Mndeme ambaye alikuwa ndio Baba mkwe wa Sam alikuwa amepandishwa cheo na kuwa Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam.

Kwa Sam ilikuwa ni furaha kubwa na moja kwa moja alielekea ofisini kwa RPC alipofika pale alipiga saluti na kisha kusalimiana na Baba mkwe wake na kisha kumwambia ni kwa jinsi gani amefurahia hatua hiyo aliyofikia.
“Hongera sana Sam, kikubwa ni nidhamu…tuombe Mungu ila nakuhakikishia kuwa mpaka mimi naondoka kwenye Jeshi la Polisi utakuwa umepata vyeo vikubwa sana, mimi nina watu wakubwa ndio maana nasisitiza kuwa uwe na nidhamu”
Sam alimuhakikishia RPC kuwa atarajie kutokuangushwa nae.
Waliagana pale kisha Sam akaamua kwenda kukaa sehemu kisha ampigie mkewe na Mdogo wake waje ili awape habari hizo njema.
Alienda akatafuta sehemu iliyotulia kisha akachukua kiti akakaa, wakati anachukua simu yake ili ampigie mkewe alitupa jicho kwa mbali na kukutana na sura ya mrembo mmoja ambaye alionekana kama vile anamfahamu.
Sam alitafakari kwa haraka kisha akaamua kuamka kumfwata ili amjue vizuri, alitembea mwendo wa madaha uliochanganyika na jeuri ya cheo kisha akaenda mpaka karibu na Yule mdada kisha akashtuka baada ya Yule dada naye kumuangalia.
“Nishaaaaa”
“Sam”
“Waooooo jamani upo?”

Ilikuwa ni kama ndoto, Sam alikuwa amekutana na Nisha ambaye alikuwa ni msichana wake kwa kipindi kirefu na kupotezana ila sasa walikuwa wameonana.
Nisha alikuwa ni msichana mrembo sana ambaye Sam anakiri kuwa hakuwahi kuonana na msichana kama huyo.
Wakiwa wanasalimiana kwa furaha ya kuonana baada ya siku nyingi alitokea Gwakisa ambaye ndio alikuwa anaingia Pale.
Alishuhudia wanavyochangamkiana akashangaa kuona kuwa Sam anafahamiana vipi na mchepuko wake.
“Hey mnafahamiana?” aliuliza Gwakisa
Sam alishangaa kidogo lakini fasta akadakia Nisha.
“Hey Gwakisa huyu ni Sam, ni rafiki yangu na amewahi kuwa mpenzi wangu”
“Sam, huyu ni Gwakisa na ni rafiki yangu nafanya nae biashara”

Utambulisho huu ulimuacha kila mtu njia panda, ukweli ndani ya moyo wa Nisha alikuwa anajua kuwa Sam na Gwakisa wanajuana na ni waume wenza kwani wote wameona kwenye nyumba moja.
Si hivyo tu Nisha alikuwa anawajua wote in and out na alitambulisha vile kwani hakutaka Sam ajue kuwa yeye anamahusiano na Gwakisa kwani anampenda sana Sam na anataka waendeleze penzi!
Gwakisa alijiona ana mikosi kwani kila anapoingia Sam nae yupo na mbaya zaidi pale kwenye utambulisho hajatajwa kuwa yeye ni mpenzi wa Nisha isipokuwa Sam yeye katambulishwa kama Ex wa Nisha hivyo akaona bado Sam amepewa kipaumbele kuliko yeye.
Gwakisa aliamua moja … kupambana na Sam.
“Hii ni vita, huyu dogo lazima nimuondoe” alijisemea Gwakisa

Sam alipoona ile hali aliamua kuwaaga na kwenda kukaa kwenye kiti chake akachukua simu na kumpigia mkewe na kumuelekeza aje pale alipo.
Pamoja na Sam kuondoka bado amani haikuwepo hata kidogo kati ya Gwakisa na Nisha, Gwakisa alikuwa tayari na donge moyoni na kila alipotaka kuuliza swali alijibiwa kifupifupi sana.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)