MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (38)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (38)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA THERATHINI NA NANE TULIPOISHIA... Sam alipoona ile hali aliamua kuwaaga na kwenda kukaa kwenye kiti chake akachukua simu na kumpigia mkewe na kumuelekeza aje pale alipo. Pamoja na Sam kuondoka bado amani haikuwepo hata kidogo kati ya Gwakisa na Nisha, Gwakisa alikuwa tayari na donge moyoni na kila alipotaka kuuliza swali alijibiwa kifupifupi sana. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Kiufupi Gwakisa mudi ilimuishia kabisa, kila akimuangalia Nisha alikuwa anajikuta ana maswali kibao ya kujiuliza lakini aanze na lipi hapo ndio palikuwa pagumu. Nisha aliligundua hilo akamuuliza Gwakisa… “Kwani una tatizo gani?” “Sina tatizo kwani umenionaje” “Nakuona umejikalia tu na mawazo sijui unawaza nini, kama huna la kuongea uniambie tu niondoke zangu mpaka siku utakapokuwa sawa” Maneno haya ni kama yalizidi kumchefua Gwakisa kwani alidhani angepewa majibu ya kumridhisha la…