MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (39) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA THERATHINI NA TISA TULIPOISHIA... Ki uhalisia endapo Yule msichana kwa jina la recho angeamua kufanya mbaya kwa Verity angeweza kabisa kwani alikuwa na umbo kubwa kuliko la Verity lakini pia yeye alikuwa mzoefu wa mambo kama yale sio kama Verity mtoto wa Mboga saba. Gwakisa bado hakuelewa afanye nini wakati Verity anaendelea kufanya yake… IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Verity alikuwa anatukana matusi kwa sauti kubwa kiasi hata watu wengine kwenye vyumba vingine walikuwa wanasikia. “We mwanaume mse..nge sana, umekosa nini kwangu hadi utembee na ma baamedi” “Umekosa nini nakuuliza, na wewe hujaona wengine zaidi ya waume za watu?” Sio Recho wala Gwakisa Gwakisa ambao walijibu chochote, wote walikaa kimya tu, akili na hasira za Verity zilicheza haraka aakaona chupa ya Whisky pembeni akaiokota Gwakisa alipoona Verity anaokota chupa ya Whisky akajua tayari li…