MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (39)

0

SEHEMU YA THERATHINI NA TISA
TULIPOISHIA...
Ki uhalisia endapo Yule msichana kwa jina la recho angeamua kufanya mbaya kwa Verity angeweza kabisa kwani alikuwa na umbo kubwa kuliko la Verity lakini pia yeye alikuwa mzoefu wa mambo kama yale sio kama Verity mtoto wa Mboga saba.
Gwakisa bado hakuelewa afanye nini wakati Verity anaendelea kufanya yake…

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Verity alikuwa anatukana matusi kwa sauti kubwa kiasi hata watu wengine kwenye vyumba vingine walikuwa wanasikia.
“We mwanaume mse..nge sana, umekosa nini kwangu hadi utembee na ma baamedi”
“Umekosa nini nakuuliza, na wewe hujaona wengine zaidi ya waume za watu?”
Sio Recho wala Gwakisa Gwakisa ambao walijibu chochote, wote walikaa kimya tu, akili na hasira za Verity zilicheza haraka aakaona chupa ya Whisky pembeni akaiokota
Gwakisa alipoona Verity anaokota chupa ya Whisky akajua tayari linakuwa tatizo, alimfwata Verity ampokonye lakini kilisikika kishindo tu kwani chupa ile ilitua nyuma ya kichwa cha Recho na kufanya damu zimwagike kama bomba.

Kitendo kile hata Verity mwenyewe aliogopa maana si kwa damu zile, alianza kutetemeka mikono wakati Yule dada akitapatapa pale chini.
“Mungu wangu, Verity umeua mke wangu”
Wakati huo tayari watu walikuwa wameshasogea pale mlangoni, hakukuwa na jinsi Gwakisa ilibidi amtoe Recho nje na haraka haraka akakimbizwa hospitali.
Huku nyuma hasira zilimpanda Gwakisa akaanza kumshushia kipigo Verity, ndani ya dakika chache Verity alikuwa hoi taaban na kama isingekuwa watu kuingilia kati ikiwa ni pamoja na Sam na Rafiki basi yangekuwa mengine.
Gwakisa alichukizwa sana baada ya kuona kama vile Verity anampanda kichwani wakati yeye mwenyewe ana mambo ambayo yanatiliwa shaka na ndio sababu iliyomfanya Gwakisa achepuke.
Ilibidi Verity nae akimbizwe hospitali kwani nae alikuwa anachuruzikwa damu na kapasuliwa uso.
Huku nyuma Sam alikuwa anajiuliza imekuwaaje Verity akajua kinachoendelea pale bar kuhusu Gwakisa.

Machale yalimcheza haraka akakagua simu ya mkewe, hapo ndipo alipokutana an chat za Rafiki na Mdogo wake Verity.
Hasira zilimshika akikumbuka kuwa walikubaliana na Rafiki kuwa Verity asiambiwe chochote….
“We Rafiki nilikwambiaje kuhusu kutomwambia Verity?”
“Nisamehe mme wangu, sikujua itakuwa hivi”
“Hukujua kwani mimi sikukwambia?”
“Mimi sikujua kuwa yatafikia huku?”
“Tatizo lenu wanawake mnadhani mna akili kuliko sisi, haya sasa haya yote yametokea kwasababu yako”

Hakukuwa na jingine ilibidi sasa warudi nyumbani na walipofika ikawabidi kwenda hospitali kumangalia Verity.
Wakati Sam na Rfiki wanafika hospitali ndio Verity alikuwa anashonwa maneneo kadhaa kichwani baada ya kudondoshewa makonde mazito na aliyekuwa anamshona ni Dr Kelvin.
Rafiki kuonana na Dr Kelvin alihisi kuwa kakutana na Mzimu kwani hakutaka kabisa kumtia huyo Dr machoni ila leo imetokea tena.
Dr Kelvin nae kumuona Rafiki aligundua kuwa wale watu ni ndugu kwani walikuwa wanafanana sana na hapo akamuuliza Rafiki
“huyu Ni mdogo wako?”
“Ndio..”
“Duh mzuri kweli yani, hapa ndipo nitajipoozea baada ya kukukosa”
Waliyaongea hayo kwa siri na hawakusikika na mtu yeyote, hakuna alichofanya RAFIKI zaidi ya kusonya “Mchyuuuu”
………………..
Hatimaye Verity na Recho walikuwa wametoka hospitali huku swala lao likimalizwa kimya kimya bila kufika polisi.
Kingine kilichoibuka baada ya hapo ni mawasiliano kati ya Verity na Dkt Kelvin, dr kelvin alizamiria kumpata Verity kwelikweli na dalili zilikuwa zinaenda vizuri.
Kitendo cha nisha kumuona Sam kilichochea penzi lake alilokuwa nalo awali ikabidi amfwate Gwakisa na kumwambia.
“Siku zote napenda kuwa na mwanaume anayejiheshimu, sio Yule anayetembea mpaka na ma Bar Maid, kuanzia sasa mimi nawewe tutakuwa kwa ajili ya kazi tu”
Hapo hapo Nisha alianza harakati zake za kumrudisha Sam kwenye himaya yake na alijipanga haswa!

Hatimaye Verity na Recho walikuwa wametoka hospitali huku swala lao likimalizwa kimya kimya bila kufika polisi.
Kingine kilichoibuka baada ya hapo ni mawasiliano kati ya Verity na Dkt Kelvin, dr kelvin alizamiria kumpata Verity kwelikweli na dalili zilikuwa zinaenda vizuri.
Kitendo cha nisha kumuona Sam kilichochea penzi lake alilokuwa nalo awali ikabidi amfwate Gwakisa na kumwambia.
“Siku zote napenda kuwa na mwanaume anayejiheshimu, sio Yule anayetembea mpaka na ma Bar Maid, kuanzia sasa mimi nawewe tutakuwa kwa ajili ya kazi tu”
Hapo hapo Nisha alianza harakati zake za kumrudisha Sam kwenye himaya yake na alijipanga haswa!
…………………..
Ndoa ya Gwakisa na Verity ilikuwa kwenye uzi mwembamba, wakati wowote ingekatika na kuwa vipande lakini waliendelea kuishi japo kwa chuki.
Isingekuwa kazi kubwa iliyofanywa na RPC Mndeme kumkalisha binti yake na kumshauri basi VERITY angeshaondoka kwenye nyumba ya Gwakisa lakini baba yake alishajifunza kwa kile kilichotokea kwa Sam na Rafiki, hakutaka tena kuingilia ndoa za watoto wake.
“Nisikilize mwanangu, nikweli mumeo amekosea kukusaliti lakini hupaswi kumfumania, sio busara kufumania mume wako na kujaza watu ni aibu kwa mumeo, ni aibu kwa ndoa yako na ni aibu kwako pia”
“Ona saivi mmerudi mnaishi wote huku tayari umeshautangazia uma kuwa mumeo ni msaliti, swala lile ungelishughulikia kimya kimya hata kushitaki kwa wazee na watu wa busara lakini sio kufanya fujo”
“Hebu fikiria kama ungeua siku ile, si ungeozea jele? Eti mwanangu si ungefungwa?”
“Lakini baba…”
“Lakini nini..nisikilize binti yangu, mimi mwenyewe nimesaliti mara nyingi tu na wakati mwingine mama yako alijua lakini alikuwa ananifokea nyumbani ananisema mpaka nikaacha na hajawahi kuniundia fumanizi,”
“Yani sasa wewe mumeo anakuona umemkosea na wewe unamuona amekukosea…kosa halitengenezi kosa mwanangu”

Kazi ya ushauri iliisha kwa Verity kuamua kurudi kwake japo alikuwa bado ana kinyongo, lakini wakati huo huo Gwakisa nae alikuwa bado ana chuki na Verity.
Katika hali ambayo sio nzuri ni kwamba walikuwa hawagusani, walalala huku kila mtu anageukia upande wake.
Wiki ya kwanza ilipita ikaja na nyingine hali ikawa ni hiyo hiyo, na wakati huo Gwakisa alikuwa anapambana kumrudisha Nisha mikononi mwake lakini zaidi ya kukutana kwenye kazi zao Nisha hakutaka mambo ya mapenzi, hivyo kila siku Gwakisa alikuwa anarudi nyumbani hana raha na ndio maana alikuwa hana hata hamu na mkewe… yaani wakati mwingine mchepuko unasumbua mpaka unatamani kumuomba mkeo ushauri nadhani hili Rusule Aidano Shumbusho analijua vizuri.
“Hi..mambo”
“Poa mambo?”
“Poa umepona vizuri sasa eenh?”
“Niko Poa, nani wewe?”
“Dr wako”
“Dr gani?”
“Kevi…”
“Anhaaa kumbe wewe, niambie”
“Poa ila kwanini unafuta namba yangu”
“Achana na hilo la namba nipe story”

Yalikuwa ni mazungumzo kati ya Verity na Dr Kelvin, waliwasiliana na mwishowe wakakubaliana kuonana.
Walikubali kuonana nje ya mji na siku hiyo Verity alifunga safari mpaka kule walikopanga kuonana na Dr Kelvin.
Verity alishuka ndani ya Tax na kukuta tayari Dr Kelvin ameshafika kwani gari yake aliiona pale nje, moja kwa moja Verity aliingia kule kwenye chumba alichoambiwa na Dr Kelvin kuwa yupo na kumkuta kweli kakaa kwenye kochi anachezea simu yake.
“Oh karibu mrembo”
“asante”
“Yani siamini kama umekuja?”
“Ndio uamini sasa”

Walikaa pale chumbani lakini mapigo ya moyo ya verity yalikuwa yanaenda mbio sana, kuna wakati alitamani aondoke lakini akawa anashindwa kuanza kupiga hatua.
Japo amewahi kusaliti na SAM lakini hii iliyokuwa inataka kutokea leo moyo wake ulikuwa unasita sana, kila alipokuwa anamuangalia Dr Kelvin alikuwa hatamani kufanya kile ambacho kilionekana kinataka kutokea.
Alitamani arudi akaweke mambo yake sawa na mme wake ili asije akasaliti lakini hata yeye hakuelewa kwanini haondoki.
Dr kelvin kwa uzoefu wake aliiona hofu iliyokuwa kwa Verity na hakutaka kuipoteza nafasi kwa mara nyingine,
Alimsogelea Verity na kumshika mabegani lakini Verity akautoa mkono wake kwa nguvu na kusimama.
“Dr Kevi sitaki, niache niondoke”

Verity alianza kupiga hatua atoke lakini Dr Kelvin hakutaka hilo litokee, aliamka haraka na kumkumbatia Verity kwa nyuma kisha akamnong’oneza sikioni na kumpumulia ndani ya sikio…. “Unaenda wapi mrembo”
Verity hapo hapo alijisikia kama amepigwa shoti na kukosa nguvu, wakati huo huo Dr Kelvin mikono yake ilikuwa kiunoni mwa Verity inatambaa.
Kazi ilikuwa imeanza sasa kwa Dr Kelvin kutumia utaalam na uzoefu wake, alikuwa anatembeza mikono yake kwenye mwili wa Verity akigusa maeneo yote ambayo alijua ni hatarishi kwa Mwanamke yeyote.

Taratibu Verity alikuwa anasogezwa kilipo kitanda lakini kabla hajafikishwa huko Dr kelvin Alikuwa ananyonya na kuingiza ulimi kwenye masikio ya Verity.
Hatimaye alimgeuza Verity uso na kuwa wanaonana na kumfwata mdomoni kisha kunyonyana ndimi, tendo hili lilimfanya Dr Kelvin aamini sasa ndege ni wake.
Alimpeleka taratibu mpaka kitandani na kumlaza kisha nae kuja kwa juu, alimnyonya midomo huku taratibu akipapasa mapaja ya Verity yaliyokuwa yamefichwa kwenye gauni laini la rangi ya bluu.
Taratibu alikuwa analisogeza gauni hilo juu na hatimaye kuacha mapaja kwa sehemu kubwa yakiwa wazi.

Mkono mwingine ulikuwa uko kifuani unacheza na nyinyo za Verity, Dr Kelvin alikuwa ni mtaalam sana wa haya mambo na hivyo kila kitu alichokuwa anakifanya kilikuwa ni hatarishi kwa Verity.
Hatimaye gauni la Verity lilikuwa pembeni, zoezi liliendelea hatimaye Verity akabaki na nguo ya ndani tu.
Dr kelvin aliendelea na wakati huu alikuwa ameipanua miguu ya Verity na kuingiza mguu wake mmoja kati kati, hapo aliendeleza mautundu yake na sasa mkono wake ulikuwa unapapasa juu ya kufuli la Verity na kusugua maeneo hayo kitendo kilichofanya nguo hiyo ya ndani izidi kuloa.
Dr Kelvin aliisogeza pembeni kidogo kufuli la Verity na kuzamisha kidole chake ndani kikapokelewa na joto na mguno kutoka kwa Verity.
Alipekecha kidole chake mgodini kitendo kilichozidisha majimaji kwenye ikulu ya Verity….
Hatimaye Kufuli la Verity lili

Hatimaye Kufuli la Verity lilikuwa linamalizikia miguuni huku Verity mwenyewe akilisukumiza na mguu kisha likadondoka chini.
Dr Kelvin alichojoa nguo zake zote na kumuendea Verity pale kitandani akaipanua miguu vizuri kisha akapeleka tango lake mgodini likaanza kugusa maeneo yale ya mgodi huku likipokelewa na ulaini wa ile sehemu na joto tamu.
Dr Kelvin alikuwa anazamisha tango lake ndani lakini ghafla Verity alinyanyuka na kukaa kitandani huku akisema …. No, No stop it…..

……………….
Mapenzi kati ya Sam na Rafiki yalikuwa dhahiri kwani walikuwa wanafurahia kila hatua waliyo nayo, wakati huo Nisha alikuwa anahangaika kumnasa Sam lakini kazi ilikuwa ngumu kwani kila Sam alipotoka out alikuwa na Rafiki.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)