Mtunzi: Omary John Mndambi
SEHEMU YA AROBAINI
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Mapenzi kati ya Sam na Rafiki yalikuwa dhahiri kwani walikuwa wanafurahia kila hatua waliyo nayo, wakati huo Nisha alikuwa anahangaika kumnasa Sam lakini kazi ilikuwa ngumu kwani kila Sam alipotoka out alikuwa na Rafiki.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
Hatimaye RPC Mndeme alikuwa anafanyiwa sherehe ya kuagwa, Sam nae alikuwepo anavishwa nishani ya kupandishwa cheo.
Sherehe iliambatana na wageni wengi lakini ndugu pia walikuwepo, Rafiki na Glory walikuwa upande wa Sam bega kwa bega.
Wakati wa zawadi na kuvishwa maua ulipofika watu mbalimbali walitoa zawadi, wakapiga picha na kuvalisha maua.
Mwisho kabisa Nisha alikuja na shada lake akaelekea pale alipo Sam huku akiachia Tabasamu pana, Kitendo cha Sam kumuona Nisha kilimfanya ashtuke kwani Nisha alikuwa mrembo na alivalia akapendeza haswa,
Nisha alisogea akamvisha sam Shada kisha akambusu shavuni na kumpa zawadi lakini alimwambia…
“Uifungue ukiwa peke yako”
SAM alikuwa kapigwa na butwaa kwa kumuona Nisha kwa mara nyingine tena akiwa kapendeza sana,
Alibaki ameduwaa hadi mwenyewe akajishtukia, akili za kawaida zilimrudia na kuachana na mawao juu ya Nisha kisha mambo mengine yakaendelea.
Kwakuwa ile ilikuwa siku yao ya kuagwa walikuwa wameandaliwa sherehe kubwa kwenye ukumbi wa POLISI Mbeya.
Watu mbalimbali walikuwa wamealikwa kuja kushuhudia shughuli hii ambapo watu walikunywa na kula mpaka kusaza.
Sam alikuwa na furaha sana ikiwa ni pamoja na familia yake pia, Glory na Rafiki hawakuwa nyuma katika kumpongeza mpendwa wao.
Wakati Sam akiwa pale ukumbini huku zawadi zikiwa ziko ndani ya Gari lao alikumbuka kuhusu zawadi aliyopewa na NISHA na kuambiwa aifungue akiwa peke yake.
Aliwaza kidogo kisha akaamua kwenda kuiangalia ile zawadi palepale kwenye gari kabla hawajarudi nyumbani.
Aliamka kwenye kiti katika meza ambayo walikuwa wamekaa na marafiki ndugu pamoja na jamaa kisha taratibu akaanza kupiga hatua kuelekea nje sehemu walipopaki gari lao.
Alipofika pale aliminya remote gari likatoa mlio kisha akaenda akalifungua na kuzama ndani kisha akaanza kupangua zile zawadi akiitafuta ile aliyopewa na NISHA.
Bahati mbaya kwake ni kuwa yale maboksi yakawa yana fanana fanana, hii ilimpa kazi ya kujua boksi husika kwa haraka ukizingatia kuwa alikuwa anawahi kuendelea kuburudika na wenzake kule ukumbini.
Akiwa ameinama anatafuta alisikia kama kishindo cha mtu nyuma yake akageuka haraka, alishtuka na kupigwa na butwaa baada ya kukutana na NISHA.
“Hongera sana SAM wewe kwasasa ni Boss, mbona uko nje?”
“NISHA unafanya nini hapa”
“Kwani mimi si askari nah ii ni sherehe ya maaskari”
“Namaanisha hapa nilipo, unataka nini, unadhani mke wangu au hata watu wengine wakituona hapa watatufikiriaje?”
“Acha utoto SAM, wewe ni askari kweli?”
“Tafadhali NISHA acha utani, naomba uende”
“Unasema niende?”
“Nenda Nisha naomba kama kuna chochote tutaonana wakati mwingine tuongee lakini sio hapa”
“Anhaa hapo sasa ndio umeongea ila naomba nikusaidie kupata unachokitafuta”
Hapo hapo Nisha aliingia vizuri ndani ya gari na kumuonyesha boksi la zawadi alilompa SAM kama zawadi yake
“Hii hapa”
“Asante, unaweza ukaondoka sasa”
Nisha alishuka kwenye gari lakini kabla hajafika alimshika Sam shingoni na kumuendea mdomoni.
Sam alijitahidi kujiondoa lakini alivyoangaliana na Nisha usoni akajikuta akiishiwa ujasiri, kumbukumbu zilimrudia na kukumbuka jinsi alivyokuwa anainjoi maisha na NISHA wakifanya mapenzi.
NISHA alifanikiwa kuunasa vyema mdomo wa SAM na kutumbukiza ulimi wake ndani kisha wakaanza kubadilishana mate.
Hisia ziliwazidia wakajikuta wanashikana shikana ambapo SAM alikuwa anapapasa na kuminya makalio ya NISHA aliyekuwa anatoa miguno ya mahaba.
“Nisha stop…”
“SAM ….”
“Sio sawa NISHA, mimi nina familia sasa,”
“Kwahiyo kama una familia”
“Siwezi kufanya hivi, mke wangu namheshimu na haitakuwa vyema akijua nina mahusiano nawewe”
“Naondoka lakini ntakupigia simu kesho tuonana”
Hapo hapo NISHA wala hakusubiri jibu akaondoka zake na kumuacha Sam akifungua ile zawadi aliyopewa na NISHA.
Alichokiona ndani ya kile kiboksi kilimfanya ashike mdomo kwa hamaki.
Alifunua siti ya gari akakificha kwa chini kisha akairudishia vizuri na kutoka kuelekea kule ndani ukumbini
“Vipi mbona umepotelea huko nje,”
“Nilienda toilet”
“Unaendesha nini, tulitaka tukufwate.”
Sam alikuwa pale ukumbini lakini mawazo yake yote yalikuwa kwa Nisha, alikuwa anafikiria kilichotokea pamoja na ile zawadi aliyopewa.
Alifikiria urembo wa NISHA na kutamani kurejea koloni lake la zamani japo roho nyingine ilikuwa inamwambia aache.
………………………………..
“Vaa mpira Dr Kelvin”
Akili yote ya DR kelvin ilijua Verity amemgomea kumpa mzigo kumbe ni kuvaa tu Kondom, hapo hapo DR KELVIN hakuchelewa alichomoa wallet yake iliyokuwa kwenye mfuko wa suruali akatoa mipira ya kiume na kuvaa kisha akamuendea VERITY pale kitandani na kuanza zoezi
Alipoona mambo yamekaa vyema alikamata mhogo wake akauweka taratibu hadi ukazama wote na kilichoendelea hapo shetani mwenyewe anajua.
Mchezo aliochezeshwa Verity alipagawa moja kwa moja maana alifanyiwa mambo ambayo hajawahi kuyaona kokote.
DR KELVIN hakuwa daktari wa magonjwa tu, alikuwa ni daktari wa mapenzi pia, aliamua kuweka heshima kwa VERITY ili kesho yake arudi tena.
Style zote zilikuwa zimeisha na sasa walikuwa wanarudia zingine, mipira ya kondom aliyokuwa nayo DR kelvin iliisha lakini si veriy tena aliyeidai.
Mchezo sasa ulikuwa unachezwa nyama kwa nyama kitendo kilichowafanya wainjoi zaidi na zaidi, alijikuta wakifanya mapenzi kwa muda mrefu hatimaye wakamaliza wakiwa hoi na kila mtu akaondoka kivyake.
Verity alirudi nyumbani kwake na wala hakumkuta Gwakisa, aliingia ndani kwake akabadilisha mavazi na kulala kitandani.
Alikuwa amechoka mno, ndani ya akili yake alikuwa anamuwaza Dr Kelvin tu, alishindwa kuvumilia na kuchukua simu yake na kumtumia sms.
‘hivi wewe ni Dr wa mapanzi au Dr wa magonjwa’
Alikaa kidogo akisubiri ajibiwe na kweli baadae kidogo akajibiwa…
‘hiyo cha mtoto kesho tukutane tena, niko theatre nitafute Kesho’
Ukweli ni kwamba DR KELVIN hakuwa theatre bali alikuwa anahudumia mwanamke mwingine na wote ni wagonjwa wake aliowahi kuwatibu na sasa alikuwa anamhudumia kingono na ndio maana alimwambia VERITY yuko theatre.
Baadae GWAKISA alirudi akitokea kwenye kazi zake na kuingia ndani akamkuta mkewe kajilaza kitandani.
Kama kawaida hakumsemesha akaingia bafuni akaoga na kujitupa kitandani, kitendo cha Gwakisa kulala pale kitandani alipo Verity kilimtia Verity kinyaa na kuamua kuamka aondoke.
Alipoamka kanga yake ilidondoka na kubaki na nguo ya ndani tu, Gwakisa aliona kile kitu na kujikuta anamtamani mkewe.
“Unaenda wapi Verity?”
“Verity aligeuka tu na kumuangalia Gwakisa ila hakumjibu chochote”
Gwakisa aliamua kuamka na kumshika ili amvutie kwake wafanye ngono kwani alimtamani…
Kwa hasira Verity alimsukumiza Gwakisa akaanguka na kujigonga mguu wake kwenye mbao ya kitanda.
“Niache bwana nimechoka mimi”
Verity alishtuka baada ya kumuona Gwakisa akiugulia maumivu baada ya kugonga mguu kwenye mbao ya kitanda. Alijua kabisa kuwa lazima atakuwa ameumia lakini hakudiriki hata kutoa neno la pole kwa mme wake zaidi zaidi alitoka tu na kuelekea bafuni
Gwakisa ilibidi ajizoe tu na kupanda kitandani alale zake, hakujua ile jeuri verity ameitolea wapi kwani hajawahi kumuona akiwa vile.
Mara zote hata wagombane lakini haijawahi kutokea eti anyimwe unyumba tena kwa dharau kiasi kile.
Gwakisa aliwaza mengi, alihisi huenda Verity nae ameanza kumsaliti, mawazo yake yote alikuwa anadhani huenda Verity ameanza tena kutoka na Sam.
Chuki dhidi ya Sam ilizidi kujikusanya tena na tena, akiwa kwenye mawazo yake Verity alirudi tena ndani akiwa amejifunga kanga yake.
Gwakisa alizidi kumtolea macho, alimuona kama kawa mpya na uzuri umeongezeka. Verity alikuwa na umbo zuri sana na lilivyokuwa kwenye kanga ndio kabisa.
Akili ya Gwakisa haikukubali eti siku hiyo anyimwe kabisa penzi, Verity alivyojilaza tu Gwakisa akamuendea na kuanza kumshika shika.
“Kwani wewe una nini, si nimekwambia nimechoka bwana”
“Bwana mimi nina ham sana, “
“Kesho mimi nimechoka”
Gwakisa hakukubali alikomaa na hapa akawa ameitoa kanga ya verity na kumuacha uchi kabisa.
Hatimaye Verity akawa hana uwezo tena wa kumzuia Gwakisa, Gwakisa aliendelea na mambo yake mwishowe akafanikiwa kuingiza uume wake kwenye uke wa Verity.
Aliendelea kujihudumia pasipo kupewa ushirikiano wowote kutoka kwa mkewe.
Yani alijipakulia na kujilia mwenyewe, kwakuwa alikuwa na uchu hakujali sana , aliendeleza mambo mpaka pale alipofika mwisho akashusha mzigo na kutulia pembeni.
“Unajiona umefanyaaaa nawe mwanaume eti, si umenchafua tu”
Aliongea maneno hayo Verity huku akienda kuoga tena, Gwakisa aliyasikia hayo maneno yakamuuma, alishindwa kuelewa kiburi hiki kwa Verity kimetoka wapi. Katika majibu yake akapitisha kuwa Sam ndie sababu.
……………………….
Ni siku nyingine Verity yuko kwenye gari ya Dr Kelvin ndani wanafanya mapenzi, kiti cha siti kilikunjuliwa kikawa kama kitanda Verity akalazwa humo.
Dr Kelvina alikuwa kwa juu anasugua ikulu ya Verity ipasavyo huku wanapuliziwa na AC, michezo iliendelea kw style tofauti tofauti na wakati huu Verity alikuwa kamkalia juu Dr Kelvin anajihudumia.
Dr Kelvin alikuwa amepitisha mikono yake na kukishika vyema kiuno cha Verity na midomo yao imekutana wananyonyana mate huku viungo vyao vya chini vinaendelea kusuguana.
Verity akiwa kamkalia Dr Kelvin huku Dr nae kakalia siti ya gari na kukizungisha kiuno taratibu akihakikisha uume wake unagusa kona zote za uke wa Verity kitendo kilichomfanya Verity apagawe kabisa na kumuita Dr Kelvin majina yote mazuri.
Walimalizana baadae sana huku Verity akiwa kapandishwa kileleni mara kibao na Dr Kelvin nae akiwa kafika mara moja lakini ya nguvu.
Walikaa sasa kwenye siti zao huku wanaongea mambo mbalimbali…
“Hivi una mpango gani kuhusu watoto”
Aliulizwa Verity….
“Yani wewe acha tu, tangu mwanangu apotee sijashika mimba tena”
“Na ukimtegemea yule mumeo ndio hutapata maisha yako yote”
“Kwanini unasema hivyoo?”
“Kwani hujui kuwa mumeo hazai”
“Unasemaje?” Verity alishtuka mno kusikia vile
“Unashtuka nini sasa, kuwa mkweli kama hata mtoto wako wa kwanza ulizaa nae yeye?”
Hapo Verity alitulia huku akiyameza maneno ya Dr Kelvin akilini mwake.
“Wewe umejuaje kuwa hazai?”
“Mimi nilishawahi kumpima baada ya yeye mwenyewe na mwanamke wake wa mwanzo kuja kwangu wakidai hawapati mto t o nikawapima lakini nikagundua shida iko kwa Gwakisa.”
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)