MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (40) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA AROBAINI TULIPOISHIA... Mapenzi kati ya Sam na Rafiki yalikuwa dhahiri kwani walikuwa wanafurahia kila hatua waliyo nayo, wakati huo Nisha alikuwa anahangaika kumnasa Sam lakini kazi ilikuwa ngumu kwani kila Sam alipotoka out alikuwa na Rafiki. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Hatimaye RPC Mndeme alikuwa anafanyiwa sherehe ya kuagwa, Sam nae alikuwepo anavishwa nishani ya kupandishwa cheo. Sherehe iliambatana na wageni wengi lakini ndugu pia walikuwepo, Rafiki na Glory walikuwa upande wa Sam bega kwa bega. Wakati wa zawadi na kuvishwa maua ulipofika watu mbalimbali walitoa zawadi, wakapiga picha na kuvalisha maua. Mwisho kabisa Nisha alikuja na shada lake akaelekea pale alipo Sam huku akiachia Tabasamu pana, Kitendo cha Sam kumuona Nisha kilimfanya ashtuke kwani Nisha alikuwa mrembo na alivalia akapendeza haswa, Nisha alisogea akamvisha sam Shada kisha a…