MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (42)

0

SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI
TULIPOISHIA...
Mbaya zaidi kwa Gwakisa ni kwamba Sam alikuwa na mazoezi makali mno ambayo amesomea ndani na nje ya nchi.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Nisha nae zaidi ya kupitia Polisi ila alikuwa ni mafia aliyesomea kwa ajili ya biashara yao haramu.

Kwa namna yeyotw Gwakisa asingewamudu na hatimaye alikuwa amewekwa chini anachezea kichapo.

“Hivi wewe ni mwanaume kweli wewe? Mwanaume gani unapigwa kirahisi hivi, ndio maana sikutaki Gwakisa”

Gwakisa alikuwa amelazwa chini ameshikiliwa bastola?

“Nikuue?”

“Msiniue jamani, msiniue”

“Nisha muache aende zake”

“Huyu tukimuacha atatusumbua tena bora tummalize mimi nitasema alikuja kuniibia ni jambazi”

“Hapana muache aende tu, usimuue”

Hatimaye Gwakisa aliachiwa kwa amri kuwa asiwafwatilie tena…

“Haya kimbiaaaaaa”

Gwakisa alikuwa anakimbia maskini huku anachechemea.

“Kimbia vizuri au nije tena”

Gwakisa ilibidi ajikaze zaidi kukimbia hatimaye akatokomea kabisa.

“Huyu mshenzi sana huyu, ametuharibia starehe yetu”

” usijali turudie baby”

“Ila nataka nirudi home, nimeondoka mda mrefu”

“Usijali, mara ya mwisho tu”

“Poa baby”

Mabusu moto moto yalianza huku wakitomasana na kutekenyana kila sehemu na baadae sana wakawa wako chumbani wanakula tunda la mti wa katikati kwa mara nyingine.

Safari hii walihakikisha wanafunga milango yote madirisha kisha, kwakuwa Mbeya kuna baridi hawakuwa na haja ya feni wala AC,

Mtanange wa nguvu uliendeshwa taratibu hadi kila mmoja akaridhika na kutulia wakiwa wamekumbatiana.

“Twende ukaoge baby”

Walinyanyuana kwenda kuoga pamoja hadi bafuni kisha wakawa wanasuguana migongo.

Wakiwa bafuni simu ya Sam iliita akatoka haraka kuipokea…
“Njoo ofisini haraka”

Verity akiwa kwenye gari wakijiandaa kufanya mapenzi na Dr Kelvin aliiona simu ya Dr Kelvin ikiita.
“pokea simu yako kwanza”
“Bwana wewe tuendelee kwanza”
Verity alipoona Dr Kelvin hataki kupekea simu akaiminya ili apokee yeye na kwa bahati mbaya au nzuri ilikuwa ni video call.
Verity alimuona mwanamke mmoja kwenye simu akiwa ameacha kifua wazi ila akashtuka na kujifunika baada ya kuona aliyepokea sio Dr Kelvin bali ni mwanamke.
“Wewe nani unaepigia wapenzi wa watu simu ukiwa uchi”
“Msen..ge nini, mimi nilijisitiri nikajua ni mkewe kumbe ni hawara kama mimi tu”
“Unasemaje wewe…”

Kabla Verity hajamalizana na huyo mwanamke mwingine Dr Kelvin aliinyakua simu na kuizima, kwa hasira kuliko Verity alishuka kwenye gari na kuondoka zake kwa miguu.
Wivu ulikuwa umemkamata vilivyo, kwa yale aliyokuwa anafanyiwa na Dr kelvin alikuwa anamuonea wivu kuliko hata mmewe Gwakisa.

Dr Kelvin aliamua kugeuza gari ili kumfwata taratibu ambembeleze lakini alipokuwa anamuomba asimame ndio kwanza Verity alikunja uchochoroni na kupotea kabisa.
Kwa hasira Dr Kelvin aliamua kupigia mwanamke mwingine kati ya wale wanawake zake alio nao kwenye list yake.

“Uko wapi baby wangu”
“Niko hapa hospitali”
“Kwani uko zamu leo?”
“Niko zamu lakini natoka saivi”
“Sasa sikia, wewe toka tu kama vip kesho nitajua cha kukusemea wala haitakuwa ishu”
“Poa njoo unichukue basi”
“Nakuja”

Wakati Dr Kelvin anamfwata mwanamke wake ambaye alikuwa nesi taratibu Yule nesi nae akawa anajiandaa kwani nae alipagwwishwa na penzi la Dr Kelvin na hakuwa tayari kulikosa.

Baada ya muda kidogo alisikia honi kwa mbali akaliendea gari akafunguliwa mlango na kuzama ndani.

Alipokaa tu kwenye gari huku kavaa sketi yake fupi ambayo ni jezi ya kazi Dr Kelvin alianza kupapasa mapaja yake.

“Bwana twende kwanza unaharaka gani?”
Dr Kelvin alikanyaga mafuta akaondosha gari mpaka sehemu yake ya siku zote,

“Baby leo tunafanyia kwenye gari?”
“Ndio nataka uone utamu wa kwenye gari”

Mabusu motomoto yalianza na ndani ya muda sio mrefu wakawa wamevuana nguo wanafanya yao, kilichowashtua ni kioo cha gari kugongwa kwa nguvu na hatimaye wakatolewa nje.

Hakuna siku ambayo nesi huyu alilia kilio cha uchungu kama siku hii, aliingiliwa bila huruma na wanaume wengi tena mbele na nyuma.

Alilia sana akiomba msamaha lakini hakuna aliyemsikiliza, Dr Kelvin nae alifanyiwa ipasavyo na hatimaye wote walikuwa hoi hawajitambui.

Wale vijana waliondoka zao na kila mmoja kusambaratika kivyake, hakuna aliyejitambua kati ya Dr Kelvin na Yule Nesi.

Walilala hapo hapo mpaka kesho yake asubuhi kulivyopambazuka na watu kuanza kuwashangaa huku kila mmoja akiogopa kuwasogelea.
…………………………
Gwakisa alirudi kwake anachechemea huku amejaa hasira, alifika na kujitupa moja kwamoja kwenye kochi huku akiwa anawaza ninini awafanye akina Sam na Nisha.

Akiwa anawaza alimkumbuka mke wake na kuanza kumuita… “verity” aliita sana lakini hakuitikiwa akaamua kumfwata chumbani.

Alipofika alimkuta kalala kwa kulalia tumbo, alimuita tena lakini wala hakuitika, alimuendea pale kitandani na kumuinua kwa kumgeuzia juu.

“Niacheeee” verity aliongea kwa sauti ya juu kiasi ambacho hata Gwakisa aliogopa.

“Una nini wewe, mbona kama ulikuwa unalia?” gwakisa alizidi kumuuliza Verity.

“Nimeshasema niacheeee, mbona huelewi wewe mwanaume wewe?”

Gwakisa alistaajabu hali ya Verity kwani kweli alikuwa anaonekana kama alikuwa analia kwani hata macho yake yalikuwa mekundu kama nyanya.
Gwakisa alikuwa na hali mbaya kweli kweli, huko alipotoka matatizo na hapa nyumbani pia ni matatizo.
Hakujua kuwa Verity alikuwa na mawazo lukuki juu ya wivu kwa Dr Kelvin, zile raha alizokuwa anazipata kutoka kwa Dr Kelvin zilikuwa zimeingia shubiri, hakupenda kushea penzi na Mtu mwingine kwani aliona Dr kelvin ni wake peke yake.

Alishaapia kuwa hatokuwa na mwanaume mwingine zaidi ya Dr Kelvin na mme wake ambaye atakuwa anampa kwa geresha tu kwa kuwa ni mumewe,

Alijua fika kuwa Dr Kelvin alikuwa na mkewe kama yeye alivyo na mumewe, hilo hakulijali ila hakutaka kusikia eti ana mchepuko mwingine.
Walilala hivyo hivyo mpaka kukakucha ambapo Gwakisa alikuwa ana tabia ya kusikiliza taarifa ya habari ya asubuhi kupitia TBC, habari iliyokuwepi hewani inahusu watu wawili ambao wameokotwa wakiwa wamebakwa na gari lao kutumbukizwa korongoni.

Kilichomshitua Verity ni kusikia jina la Dr Kelvin likitajwa na hapo hapo akaamka kwa hamaki na Kukodoa macho yake kwenye TV.
……………………………………..
Sam alisindikizwa na busu la Nisha kisha akapanda kwenye gari na kuondoka zake, akiwa njiani alimpigia simu mkewe na kumtaarifu kuwa ameitwa ofisini,

“Mimi nilijua uko ofisini kumbe ndio umeitwa, sasa ulikuwa wapi mme wangu?”

“Mke wangu nawewe kwa wivu, nilikuwa doria bhana”

“Haya ila mwenzako nimetapika kama nini?”

“Pole nakuja usijali tutaenda kupima malaria”
Sam alinyoosha moja kwa moja mpaka ofisini ambapo baada ya kufika huko alikutana na bosi wake ambaye alimpa barua.

Sam hakuamini macho yake, ilikuwa ni barua ya kwenda Kozi nyingine nchini Uingereza….

Ambulance yenye ving’ora ilikuwa inakimbia ikipita katikati ya barabara huku inakwepa magari na vyombo vingine vya usafiri ikiwahi hospitali kwani watu waliokuwa wamebebwa walikuwa wanafahamika katika ile hospitali.

Walikuwa ni Dr Kelvin na nesi wake ambao walikuwa wamepigwa na kubakwa na watu wasiojulikana wanakimbizwa hospitali.

Kati yao hakuna hata mmoja ambaye alikuwa anajitambua, walikuwa hawana ufahamu kabisa.

Walipofikishwa hospitali haraka sana walipokelewa na kuwekewa “life suppotting machine” huku matibabu mengine yakiendelea.

Madaktari walikuwa wanahaha wakipishana kila mmoja anafanya analoliweza.

Ndugu wa Dr Kelvin pamoja na yule nesi walikuwa wameshafika pale hospitali wanafwatilia kwa ukaribu kinachoendelea juu ya jamaa zao.

Pembeni alikuwepo Mwalim Tupokigwe, huyu ni mwalimu mkuu wa shule ya msingi Uyole ‘A’ lakini huyu pia alikuwa ndie mke wa ndoa wa Dr Kelvin.

Alikuwa ameshikiliwa na walimu wenzie kwani alikuwa ameishiwa nguvu kwa kulia, macho yalikuwa mekundu kwa machozi.

“Kevi nilikwambia mme wangu, nilikwambia mme wangu achana na umalaya…ona sasa, ona kilichokupata mme wangu…”

Mwalimu huyu alikuwa analalamika huku analia machozi ya huruma, alionekana anampenda sana mme wake ila ndo hivyo mmewe alikuwa hajatulia, alikuwa mwingi wa mapenzi, alikuwa haruki sketi, awe mgonjwa , awe mke wa mtu, awe muuza bar, awe mwanafunzi wote walikuwa halali yake.

Kule wodini madaktari walikuwa na kazi ya kupandisha mapigo ya moyo wa Dr Kelvin lakini hali haikuwa nzuri.

Baada ya dakika kadhaa mashine ilikuwa inapiga alarm, msitari wake ulikuwa haupo zigzag tena, ulikuwa umenyooka kabisa kuashiria kuwa mapigo yake ya moyo yamesimama na amefariki.

Haikuwa uongo, Dr Kelvin alikuwa amefariki kweli na taratibu akafunikwa na shuka la kijani akapelekwa mochwari.

Kazi ilihamia kwa yule nesi sasa ambaye kidogo alikuwa anaonyesha matumaini kwani alianza kupumua kwa njia ya kawaida isipokuwa bado alikuwa hajajitambua.

Kazi ya kumshona ilikuwa inaendelea kwani alikuwa amechanika sehemu zake zote za mbele na nyuma kiasi cha kuungana.

Mchezo aliokuwa amefanyiwa ulikuwa ni wa kikatili kuliko, ilibidi asafishwe vilivyo kwani alikuwa amechafuliwa kila sehemu, kinyesi kilikuwa kinamwagika kila wakati.

Ama kwa hakika alikuwa na hali mbaya sana. Juhudi za madaktari zilionekana kuzaa matunda kwani hatimaye nesi huyu alianza kufumbua macho japo alikuwa hana uwezo wa kuongea.

Walichofanya madaktari ni kumchoma sindano ya usingizi ili waendelee na huduma zingine
………

Verity alikuwa anatetemeka kama mgonjwa wa homa kwa taarifa aliyokuwa anaiona kwenye Tv.

Gwakisa alikuwa ameganda akimshangaa mkewe jinsi anavvyostaabishwa na habari ya kwenye runinga kwani hakuelewa kwanini mkewe aguswe kiasi kile.

“Vipi mke wangu, kwani unawajua?”

Hapo ndipo Verity alikurupuka huku akijifanya hawajui lakini usoni alionyesha kabisa kuwa anachokisema sicho anachomaanisha.

Aliamka akakimbilia bafuni ambapo alijimwagia maji huku akitafakari kile alichokiona, akilini mwake kulipita mambo mengi sana ambayo mengi alikuwa hana majibu yake.

Kiu ya kujua zaidi ilikuwa kubwa sana na hakuweza kuivumilia, alichoamua ni kufunga safari ya hospitali ili akajionee kwa macho yake.

Hakusubiri, alijiandaa haraka haraka na kuelekea kule hospitali, alipofika alitafuta kaka mmoja ambaye alionekana ni mhudumu katika ile hospitali na kumhoji kuhusu kile kilichotokea lakini hakupewa majibu ya kuridhisha .

Kwakuwa alikuwa na hamu ya kujua ilibidi ajisogeze kwenye kikundi cha watu waliokuwa wanaongea kuhusu jambo lile.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)