Mtunzi: Omary John Mndambi
SEHEMU YA AROBAINI NA TATU
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Kwakuwa alikuwa na hamu ya kujua ilibidi ajisogeze kwenye kikundi cha watu waliokuwa wanaongea kuhusu jambo lile.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
Alipofika pale wale watu walinyamaza kwani walimuhofia kwakuwa walikuwa hawamjui. Hapa pia hakukaa sana ikabidi aondoke.
Kwambali aliona watu wanalia sana huku mwanamke mmoja akionekana kulia zaidi huku ameshikiliwa na wenzake ikabidi aamue kwenda pale…
“Mme wangu jamani, watoto wako ntaleaje mwenyewe mimi….mwe mwe mweeee, uwiiii jamani Kevi”
“Nilikwambia mimi acha umalaya hukunisikia, nilikunyima nini Kevi wewe, nilikupa mpaka vya aibu wewe lakini hukutulia ona sasa wamekuua Kevi’
Moja kwa moja Verity alijua fika kuwa huyo ndie mke wa Dr Kelvin, aliumia sana kwani aliona uchungu uliokuwa ndani ya mwanamke mwenzake.
Roho ilimuuma sana, alijutia kutembea na Dr Kelvin, tamaa zilimpeleka puta na sasa anajutia.
Taratibu mashavu yake nayo yalianza kuloa, yaliloa machozi kwa kile anachokishuhudia, Dr Kelvin alikuwa amefariki.
Akiwa pale Verity aliweza kusikia kila kitu kuhusu yale yaliyompata Dr Kelvin, aliamini moja kwa moja kuwa Mungu alikuwa upande wake kwani ile ilikuwa imkute yeye kama si kukerwa na Dr Kelvin na kuamua kumkimbia.
Akili yake ilitambua ni kwa jinsi gani Dr Kelvin alikuwa malaya kwani kwa muda mfupi baada ya yeye kuondoka kumbe alichukua mwanamke mwingine.
Moyo wake ulijutia sana, alilia mno na mwisho akaamua kurudi nyumbani, alipofika kwake alimkuta mmewe kakaa huku akionekana yuko mbali sana kimawazo.
Alijisikia fadhaa sana kwani ndoa yao ilikuwa imegubikwa na sarakasi nyingi, alitamani amuombe mme wake msamaha na wapange kuachana na ya nyuma wagange yajayo.
Moyoni mwake aliamini amani ya moyo kwa wanandoa inaanzia nyumbani na kuishia humo, kamwe haipatikani nje.
Kwa hatua za adabu alimwendea mme wake na kumuita…
” Mme wangu naomba tuongee”
Gwakisa aligeuka na kumuangalia mkewe ili asikie anataka kusema nini…wakati Verity anataka kuzungumza alijisikia hali ya tofauti iliyomfanya akimbilie bafuni.
Aliinama kwenye sinki na kuanza kutapika mfululizo kiasi kwamba ilibidi na Gwakisa aje kumuangalia.
………………………..
Sam akiwa Ofisini kwake alikutana na barua iliyoandikwa kwa juu “Confidential”
Mikono ilikuwa inamtetemeka kwani alihisi ile barua ina jambo kubwa, aliisoma haraka haraka na kujikuta akiwa ameganda kama barafu.
Wakati huo huo akapokea ujumbe mfupi kwenye simu yake kutoka kwa mkewe…
“Baby nina suprise yako, njoo home faster”
Gwakisa alikuwa anamuangalia tu Verity anavyotapika huku akijiuliza kuhusu swali lile bila ya majibu, alikuwa anamsubiri akae saw a ili amuulize ninini anajisikia.
Verity aliendelea kutapika mpaka akamaliza na kukaa sawa, “Naomba maji masafi”
Verity alimwambia Gwakisa ambaye bila kusita alienda kuleta maji masafi na kumpa mkewe akajisukutua na kujisafi vizuri kisha wakarudi sebuleni.
“Vipi unajisikiaje?”
“Yani hata sielewei nilikuwa vizuri tu lakini hii hali imenijia ghafla tu”
“una homa?”
“Hata sielewe”
Gwakisa aliamka akaenda mpaka pale alikokaa mkewe kisha akaweka viganja vyake kwenye mashavu ya mkewe, akahamishia kwenye kifua lakini hali ya joto aliyokuwa anaiona ilikuwa ya kawaida tu.
“Kwahiyo hujisikii hali nyingine yeyote?”
Gwakisa alimuuliza tena Verity.
“Najisikia tu kichefuchefu lakini kwasasa kimetulia”
“Inabidi uende hospiali ukapime”
“Nikweli nitaenda kesho”
Verity na Mmewe Gwakisa walikomea hapo.
Kwenye akili ya Verity swala la kuongea na Gwakisa kuhusu ndoa yao liliishia hapo kwani akili ilikuwa imetawaliwa na mawazo mengine kabisa.
Alikuwa anawaza kuhusu kile kilichotokea, mawazo kwamba huenda ana mimba aliyapa asilimia kubwa sana na yalimtisha.
Yalimtisha kwani alikuwa anawaza ile mimba ni ya nani haswa, ameshiriki ngono na watu wawili kwa wakati mmoja yaani Gwakisa na Dr Kelvin ambaye ni marehem kwa sasa.
Alichanganyikiwa na kujikuta anaumwa kichwa kwani huu ulikuwa ni mtihani mkubwa kwake, endapo ingekuwa mimba basi ingekuwa ni ya Gwakisa ama Dr Kelvin.
Kama ingekuwa ya Gwakisa kwake ingekuwa heri kabisa, lakini kama ni ya Dr Kelvin aliona ni mkosi juu ya mkosi, tayari alishamsingizia Gwakisa mimba ya kwanza ambayo ilikuwa ya Sam, Je? Kama hii ni ya Dr kelvin ina maana amsingizie mme wake mimba kwa mara ya Pili?
Hapa kichwa kilimuuma…
“Ee Mungu isitokee kama ninavyodhani”
Hatimaye alijilaza kitandani huku akiwa anaendelea kuwaza na kuwazua. Baada ya muda kidogo Gwakisa aliingia pale chumbani na kumkuta mkewe kalala huku akionekana hana raha.
Alisogea pale kitandani alipolala mke wake kisha nae akakaa na kumshika mkewe kiunoni,
“vipi unajisikia vibaya?”
“Ndio, saivi naona na kichwa kinauma sana”
“Ngoja nikuletee paracetamol”
“Naona uache tu kitatulia chenyewe”
Gwakisa aliendelea kukaa pale akimtazama mkewe kwa huruma huku Verity akiendelea kuwaza ninini kinaendelea kuyagusa maisha yake ya ndoa.
Mwisho aliona ajipe muda aende hospitali akajue moja ama mbili, aliamua kuyatupilia mbali mawazo mabaya.
Taratibu aliamka na kumfwata mmewe mdomoni akaomba denda akapewa, alianza kumpapasa mmewe kifuani na Gwakisa nae hakutulia akaanza kumpapasa mkewe maeneo mbali mbali ya mwili wake.
Alijitahidi sana kufanya utundu wa kila namna ili yasitokee kama yale aliyosikia kwenye mdomo wa Nisha kuwa yeye anajua tu kuingiza.
Alijitahidi kwa kufanya kila alichoamini kitamfurahisha mkewe na kweli jitihada zake zilizaa matunda kwani Verity alikuwa anabwabwaja maneno mengi mno ya mahaba.
“Oh Hivyohivyo mme wangu, osshhh nasikia raha Gwaki wangu, nakupe..nd..a jamani”
Veirty alikuwa anaongea kama amewekewa kinubi mdomoni kwa raha alizokuwa anasikia nab ado Gwakisa wala alikuwa hajaweka mwiko kwenye sufuria.
“Na..ko..j…oaaaaaaaa” verity aliongea kwa sauti kiasi hata Gwakisa alishtuka kwani alikuwa hajawahi kuona kile kinachotokea kwa mke wake kwa siku ile.
Hapo kweli Gwakisa aliamini amekuwa anamnyima mkewe raha kwa mda mrefu, Verity alikuwa katulia kitandani baada ya kufika mwisho lakini Gwakisa hakumpa nafasi ya kupumzika, alichukua muhogo wake uliosimama wima kisha taratibu akaupeleka kule kwenyewe…
“Oshhhh, sssshhhh haaaa…mbona wamoto sana mume wangu” Verity alikuwa anongelea puani wakati muhogo wa Gwakisa unazama taratibu kwenye ikulu yake hadi ulipoingia wote na kuanza kuukatikia.
Mechi kali ilichezwa kwa dakika zaidi ya tisini, yaani dakika za nyongeza zilikuwepo kisha kila mmoja akafurahia sana na kupumzika pembeni.
……………………………..
Sam alikuwa ameshikilia barua yake mkononi asijue kwamba afurahi ama achukie, barua ilikuwa inavuruga baaadhi ya mipango yake.
Kiufupi alikuwa amechaguliwa kwenda kozi ya mambo ya utawala nchini Israel, kozi ambayo itachukua miezi mine.
Hii ilikuwa ni habari njema lakini wakati huu alitaka atulie na familia yake ili atafute mtoto na afanye matibabu.
Kwake kupata kozi nyingi ilikuw jambo la maana sana lakini swala la famila na watoto lilikuwa la muhimu zaidi.
“Asante afande, nimeipokea”
“Sawa hongera sana na unatakiwa uijibu kuwa umekubali na ujiandae”
“Sawa nitafanya hivyo”
“Sawa nikutakie maandalizi mema, lakini mbona kama hujafurahia?”
“No nimefurahi sana, nafasi kama hii ni nyeti sana”
Sama alikuwa anongea unafiki ambao ulionekana hata usoni kwake.
Hakukaa sana akaamua kuondoka kurudi kwake, wakati akiwa njiani alikumbuka kuwa mkewe alimwambia awahi kwani ana surprise yake.
Aliendesha gari kwa kasi ili awahi nyumbani.
“Ila huyu nae hata akikununulia boxer mpya tu anakwambia uwahi nyumbani ana surprise”
Alikuwa anajisemea Sam ndani ya moyo wake.
‘pii piiiii’
Sam alikuwa anapiga honi getini kwake ambapo haraka mlinzi alikuja akafungua kisha akaingiza gari na kuipaki.
Alipokelewa na mkewe kisha akaingia nae ndani huku ameshikiliwa kiunoni, Sam alitaka akae kwenye kochi lakini mkewe alimvutia chumbani.
Alipofika chumbani Rafiki alichukua pochi yake akaifungua kisha akamkabidhi Sam baadhi ya karatasi ambazo Sam alizisoma haraka haraka na kuhamaki.
“Heee una Mimba?”
Sam aliuliza kwa mshangao kwani alikuwa anajua kuwa yeye ana matatizo na hawezi kumpa mwana mke mimba…
Alimtolea macho Rafiki huku akimtafakari na mchezo anaotaka kumfanyia kisha akashusha pumzi na kukaa kitandani huku kainamisha kichwa anawaza amfanye nini mwanamke aliye mbele yake…
Sam alikuwa ameketi kitandani anawaza kitu ambacho kinatokea pale, alifikiria jinsi alivyompa Verity mimba na akamsingizia mme wake, hapa aliona nayeye analipiziwa.
Mawazo yake yote yalikuwa yanaenda haraka haraka anawaza ninani hasa atakuwa amempa Mimba mke wake, alianza kufikiria baadhi ya vijana wanaofanya kazi na mkewe, aliwaza kuhusu bosi wa mkewe kule ofisini, aliikumbuka kauli ya Gwakisa siku waliyokorofishana na kumtolea kauli ya kuwa akampime na mkewe….
Hapa aliamini kuwa ni lazima mimba sio yake na anasingiziwa, “iweje madaktari waniambie ninahitaji matibabu ya kina alafu leo kwa vile vijidonge niwe nimepona, haiwezekani huyu mwanamke anataka aniuzie mbuzi kwenye gunia.” Alikuwa anajisemea Gwakisa ndani ya moyo wake.
Kifua chake kilikuwa kinapanda na kushuka huku akijitahidi kuzuia hasira yake ambayo ilikuwa dhahiri iko mlangoni.
“Ee Mungu nizuie nisifanye mbovu” gwakisa aliomba kimya kimya.
Rafiki alikuwa anamshangaa mme wake kwani alitegemea atakuwa amefurahia zile habari lakini kinachoonekana ni tofauti kabisa.
Alikuwa anajiuliza kuhusu ukimya wa mme wake, je amefurahia, ama nivipi…. Lakini Rafiki alianza kuwaza kuwa huenda mme wake kwasababu ya matatizo aliyokuwa nayo ana wasiwasi na usahihi wa zile taarifa…
“Vipi mme wangu mbona kimya” aliuliza Rafiki lakini hakujibiwa akaamua kumshika mme wake kichwa ili auone uso wake.
“Vipi mme wangu, mbona husemi kitu?”
Ghafla Gwakisa aliinuka na kumkaba Rafiki koo….
“Mimi sio fala, nakwambia katika mafala woooote unaowajua mimi simo..” gwakisa alikuwa na jazba kubwa huku kamkaba mkewe kooni.
“U…nani…ua” Rafiki aliongea kwa tabu kwani koo lilikuwa limekabwa vilivyo.
Sam hakujali aliendelea kuzidisha nguvu za kumkaba mke wake kiasi kwamba Rafiki sasa akawa hana uwezo wa kusema chochote.
Kilichomshtua Sam ni kuona Dam zinachuruzika kupitia kwenye miguu ya Mke wake zikiwa zinatokea juu.
Hapa ndipo Sam alishtuka na kumuachia mke wake ambaye aliangukia kitandani huku kalegea hajiwezi.
……………………………………..
Verity alikuwa amefurahishwa sana na penzi la mme wake akawa anajutia kwa kukosa uvumilivu siku zote kumbe kwa mme wake kuna mambo matamu kiasi kile.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)