MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (42) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI TULIPOISHIA... Mbaya zaidi kwa Gwakisa ni kwamba Sam alikuwa na mazoezi makali mno ambayo amesomea ndani na nje ya nchi. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Nisha nae zaidi ya kupitia Polisi ila alikuwa ni mafia aliyesomea kwa ajili ya biashara yao haramu. Kwa namna yeyotw Gwakisa asingewamudu na hatimaye alikuwa amewekwa chini anachezea kichapo. “Hivi wewe ni mwanaume kweli wewe? Mwanaume gani unapigwa kirahisi hivi, ndio maana sikutaki Gwakisa” Gwakisa alikuwa amelazwa chini ameshikiliwa bastola? “Nikuue?” “Msiniue jamani, msiniue” “Nisha muache aende zake” “Huyu tukimuacha atatusumbua tena bora tummalize mimi nitasema alikuja kuniibia ni jambazi” “Hapana muache aende tu, usimuue” Hatimaye Gwakisa aliachiwa kwa amri kuwa asiwafwatilie tena… “Haya kimbiaaaaaa” Gwakisa alikuwa anakimbia maskini huku anachechemea. “Kimbia vizuri au nije tena” Gwakis…