MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (43)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (43)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA AROBAINI NA TATU TULIPOISHIA... Kwakuwa alikuwa na hamu ya kujua ilibidi ajisogeze kwenye kikundi cha watu waliokuwa wanaongea kuhusu jambo lile. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Alipofika pale wale watu walinyamaza kwani walimuhofia kwakuwa walikuwa hawamjui. Hapa pia hakukaa sana ikabidi aondoke. Kwambali aliona watu wanalia sana huku mwanamke mmoja akionekana kulia zaidi huku ameshikiliwa na wenzake ikabidi aamue kwenda pale… “Mme wangu jamani, watoto wako ntaleaje mwenyewe mimi….mwe mwe mweeee, uwiiii jamani Kevi” “Nilikwambia mimi acha umalaya hukunisikia, nilikunyima nini Kevi wewe, nilikupa mpaka vya aibu wewe lakini hukutulia ona sasa wamekuua Kevi’ Moja kwa moja Verity alijua fika kuwa huyo ndie mke wa Dr Kelvin, aliumia sana kwani aliona uchungu uliokuwa ndani ya mwanamke mwenzake. Roho ilimuuma sana, alijutia kutembea na Dr Kelvin, tamaa zilimp…