NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI NITAJIRIKE (2)
Jina: NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI NITAJIRIKE Mtunzi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA PILI TULIPOISHIA... Utingo huyo alikuwa akifikiria ngono, ila kichwa changu kilikuwa kikifikiria utajiri tu ambao niliamini kwamba ningeweza kuupata baada ya kufika jijini Dar es Salaam . Bado akili yangu ilikuwa ikimfikiriaMudi, alionekana kuwa mwenye furaha tele kwani alijua kwamba siku hiyo mambo yake yangekwenda vizuri kabisa. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... Nilikuwa na hofu, nilichokuwa nikikifikiria ni namna ya kumkimbia mara baada ya kufika Ifakara . Safari iliendelea, hakukuwa na abiria aliyekuwa akizungumza kitu chochote kile, kila mmoja alikuwa kimya. Daladala iliendelea kwenda mpaka tulipokaribia Ifakara ambapo huko abiria wangeshuka na kuchukua mabasi makubwa kwa ajili ya kuvuka ya kuelekea Ruaha kisha kuvuka Mbuga ya Mikumi na hatimaye kuingia Morogoro Mjini . Kutoka hapo kijijini Lupiro mpaka Ifakara t…