NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI NITAJIRIKE (3)

Zephiline F Ezekiel
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI NITAJIRIKE (3)
Jina: NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI NITAJIRIKE Mtunzi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA TATU TULIPOISHIA... Baada ya dakika arobaini, basi likaanza kuingia ndani ya kituo kikubwa cha Ubungo , huko, idadi kubwa ya watu ilinishangaza, haikuwa kama Morogoro , watu walionekana kuwa wengi huku wengi wao wakionekana kuwa bize wakifanya mambo yao. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... Niliteremka na mwanamke yule kuondoka, sikuwa na pa kwenda, begi langu mikononi, kwa sababu humo kulikuwa na watu wengi, wa rika zote tena mbele nikiona kuna mikeka, nikasema pia ua, ilikuwa ni lazima na mimi niishi humohumo, hata kwenda huko nje, sikutaka kabisa, kama kula, nitakula humohumo, kama kufanya biashara, acha nifanye humohumo, ila kutoka ndani ya kituo cha Ubungo , nisingeweza, kwani hata kama ningetoka, ningekwenda wapi? Sikuwa na sehemu, hivyo kuishi humo niliona kuwa sulkuhisho. Na humohumo ndipo ningepata huo utajir…