NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI NITAJIRIKE (7)
Jina: NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI NITAJIRIKE Mtunzi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA SABA TULIPOISHIA... “Unanukia vizuri mpenzi wangu…” aliniambia, ghafla nikashtuka. Maneno kama hayo niliambiwa na maiti ile ya kule makaburini kipindi alichotaka kufanya mapenzi na mimi. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... Maneno yaleyale ndiyo aliyoyazungumza Mudi , karibu kabisa na masikio yangu. “Nashukuru!” nilijibu huku nikiachia tabasamu pana lenye hofu. “Umetafuta sana utajiri, hakika utakuwa zaidi ya hapa, ninachokitaka ni wewe kuwa mpenzi wangu milele,” alisema Mudi. Kiukweli alinichanganya sana, hapohapo nikamuona akitoka katika sura ya Mudi na kurudi katika sura ya moja ya maiti niliyowahi kufanya nayo mapenzi mochwari, hakika ilinitisha sana. Nikataka nijitoe pale kitandani, akanikandamiza zaidi. Nikahisi kifua kikianza kubana na pumzi kuanza kukata. Bado macho yangu yalikuwa yakiiona maiti juu yangu, ilikuw…