SHEREHE KUZIMU (19)

Zephiline F Ezekiel
SHEREHE KUZIMU (19)
Jina: SHEREHE KUZIMU Mtunzi: Frank Silaa SEHEMU YA KUMI NA TISA ILIPOISHIA... Ilikuwa siku moja ya jumamosi usiku wa manane ambapo Vivian alifunga safari kutokea kuzimu kwenda duniani kumchukua mama Nelson kusudi akaliwe nyama kuzimu. KAMA SIMULIZI HII UNASOMEA NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI KUPATA VIPANDE VYOTE KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA NAYO... Alifanikiwa kwa asilimia mia moja kutekeleza adhima yake ya kumtoa mama wa mume wake kafara. Sherehe kubwa ilifanyika ambapo nyama na damu ya mama Nelson ilishambuliwa kuzimu. ********** Palipokucha siku ya jumapili, nyumbani kwa mama Nelson palikuwa na ukimya mzito. Milango na madirisha ya nyumba ilikuwa imefungwa. Taa zote za nje zilikuwa zinawaka. Muda ulizidi kusonga wakati ukimya nao ukizidi kuendelea kuchukua atamu katika nyumba ile ya kisasa, aliyokuwa amejengewa na kijana wake. Ilipofika mida ya saa tano asubuhi mama mmoja wa jirani ( mama Kitomari ) ambae ni rafiki wa mama Nelson. Aliamua kupitia nyumbani kwa mama Nelson aki…