SHEREHE KUZIMU (31)

Zephiline F Ezekiel
SHEREHE KUZIMU (31)
Jina: SHEREHE KUZIMU Mtunzi: Frank Silaa SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA ILIPOISHIA... Mama Vivian ndiye aliyekabidhiwa jukumu la kuhakikisha kwamba mjukuu wake anafanyika kafara kuzimu. Jukumu hilo lilimuangukia mama huyo, baada ya kuomba aweze kumsaidia binti yake kutekeleza kafara hiyo kwavile imeonekana kumsumbua kichwa kwa muda mrefu. KAMA SIMULIZI HII UNASOMEA NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI KUPATA VIPANDE VYOTE KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA NAYO... Mama huyo amediriki kujitoa kutoa msaada kwavile ana majini wake ambao hawakuwahi kumuangusha katika kazi yeyote. Malikia mkuu wa kuzimu anakubaliana na ombi la mama huyo kumtoa mjukuu wake kafara. Hapakuwa na jambo lolote lililokuwa likizuia harusi hiyo kufungwa isipokuwa Benedict ambaye amezungukwa na nguvu fulani ambayo walishindwa kuelewa ni nguvu ya namna gani. Roho ya Benedict ilianza kuwindwa kwa mara nyingine na majini ya bibi yake. Siku tatu mfululizo kijana huyu alikuwa matatani kwavile alinasa katika mtego wa jeshi kub…