SHEREHE KUZIMU (32)

Zephiline F Ezekiel
SHEREHE KUZIMU (32)
Jina: SHEREHE KUZIMU Mtunzi: Frank Silaa SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI ILIPOISHIA... Hata hivyo huzuni yao haikudumu kwani walikumbuka kuwa yupo mtumishi wa Mungu, mwingine ambaye ni Nelson . Neno la Mungu liliendelea kuhubiriwa ndani ya gereza na mtumishi wake, Nelson. KAMA SIMULIZI HII UNASOMEA NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI KUPATA VIPANDE VYOTE KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA NAYO... Makumi kwa mamia walizidi kufunguliwa katika vifungo vya shetani. Baada ya miezi minne baadae, Nelson naye aliachiliwa huru baada ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha dhidi ya kesi ya shambulio la mauwaji lililokuwa linamkabili. Kufikia muda huo tayari kulikuwa kumeshapatikana kwa watu wengine wa kuweza kuwaongoza wafungwa katika njia ya kuutafuta uzima wa milele. Nelson alipotoka gerezani jambo la kwanza alimtafuta mke wake ili aweze kufahamu habari za nyumbani kwake. Alifurahi sana alipojulishwa kwamba mwane Benedict yupo nyumbani anaendelea vizuri. Kiukweli alifurahi sana na kumshukuru Mungu. B…