SHEREHE KUZIMU (33)

Zephiline F Ezekiel
SHEREHE KUZIMU (33)
Jina: SHEREHE KUZIMU Mtunzi: Frank Silaa SEHEMU YA THELATHINI NA TATU ILIPOISHIA... Kwavile nguvu ile alikuwa anaisikia katikati ya maombi, moja kwa moja alijua ni nguvu ya roho mtakatifu iliyokuwa inamwongoza kufanya hivyo. Kweli bila kupoteza muda palipokucha, ulifanyika mnada mkubwa wa kuuza vitu vyote palepale pembezoni mwa barabara. Kufikia saa tano asubuhi vitu vyote vilikuwa vimeshanunuliwa. KAMA SIMULIZI HII UNASOMEA NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI KUPATA VIPANDE VYOTE KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA NAYO... Sio gari, sio kikombe cha kunywea chai, vyote vilipata wateja ambao walilipa fedha taslimu. Benedict na mama yake walihisi huenda baba huyo amerukwa na akili, kutokana na mambo aliyokuwa anayafanya. “Eti mama, kweli ni sahihi baba kuuza hivi vitu vyote na kisha fedha zikasaidie masikini? Kwani sisi tuna tofauti gani na masikini wakati tumefukuzwa kwenye nyumba tuliyokuwa tunaishi?” Benedict alimtwanga mama yake maswali yaliyokuwa yanamtatiza. “Sidhani kama akili ya baba…