JAMANI DADA MARTHA... LOOO! (2)

Zephiline F Ezekiel
JAMANI DADA MARTHA... LOOO! (2)
Jina: JAMANI DADA MARTHA... LOOO! Mtunzi: 2jiachie SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... Baada ya utambulisho huo, mazungumzo ya wote yalikata, sasa ikawa wote wako na simu zao. Kila mmoja alituma meseji alikokujua yeye... “Bro!” alituma Liz kwa Roi... JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... “Yes, niambie...” “Upo oke?” “Nipo sawa mama, wewe?” “Hata mimi my bro. Nipo happy kuwa na wewe.” “Wewe kama mimi.” “Kumbe tuko sare!” “Umeona ee?” “Yes! Sijakuboa lakini?” “Wala! Hujaniboa! Hivi sista wewe ni mwenyeji wa wapi?” “Natokea Iringa bro.” “Oke...oke...kamwene,” alitania Roi... “Kamwene...” “Mnogage?” “Ndi mnofu...Teh! Teh! Teh! Sijakaa sana Iringa lakini nakijuajua bro...teh!” Roi naye alimrudishia meseji kwa kicheko huku akimchombezea kwa maneno kama... “Umependeza sana my darling sista...” “Hata wewe sweetheart bro.” Walikunywa, walikula, ikafika mahali Liz akaamua kuaga kwa Roi kwa njia ya meseji... “Baby bro, mimi naondoka zangu.” “Mh…