JAMANI DADA MARTHA... LOOO! (7)
Jina: JAMANI DADA MARTHA... LOOO! Mtunzi: 2jiachie SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... Mama Anna alijilaza kuangalia miguuni kwa Roi mpaka Roi akashangaa. Alishangaa kwa sababu alihisi mwanamke huyo hakuwa tayari kwa mchezo zaidi ya kupandishana joto la mahaba tu. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Kumbe sivyo, mama Anna alikuwa kwenye pozi lile ili aanze kucheza mchezo kwa mashambulizi ya kuanzia katikati. Roi alishangaa, mama Anna anamsogelea upandeupande huku akimshikashika sehemu mbalimbali za mwili mpaka wakawa sanjari. Roi kuja kushtukia, mama Anna ameshaanza mchezo kwa kujihudumia mwenyewe. Roi naye akaunga mchezoni, wakaanza kusakata kabumbu huku mama Anna akiimba mashairi mazuri ya mahaba. Roi alichanganyikiwa, akatamani kulia kwani kuna ufundi alikuwa akifanyiwa na mama Anna ulimzuzua akili. Mama Anna sijui alifanyaje, Roi akahisi anaondoka kwenye ulimwengu huu na kwenda sehemu nyingine… “Noo…noo Martha n…