SHEMEJI INGIZA POLE POLE (17)
Jina: SHEMEJI INGIZA POLE POLE Mtunzi: Hans Charlz SEHEMU YA KUMI NA SABA TULIPOISHIA... Usiku ulifika na tulipo maliza kula chakula sote tulielekea vyumbani mwetu huku tukiwa tumehakikisha kuwa nyumba yote imefungwa basi nilipokuwa chumbani nilimsubilia Erick mpaka ilipofika majira ya saa 5 usiku nae aligonga mlango. "hallloooo ni mimi Erick Isabela" "nakuja" JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... Nilifungua mlango nae kuingia ndani na alipoingia ndani nami kuufunga mlango na kurudi kitandani "Isabela sio kamba nimekuja kwa kuuvuruga usiku wako lakini imenibidi nije maana asubui ulinionesha vitu nami kuvutiwa navyoooo" "mmmmmmh Erick vitu vipi tena mimi nilikuonesha jana" nilijifanya kuwa nimesahau huku nikitaka nione alivyo shupavu kwenye kutoa madini mdomoni "Isabela inamaana kwamba ujajua kile kilichotokea kati yangu wakati tukiwa tuna andaa chakula" &qu…