HATI FEKI (10)
Jina: HATI FEKI Mtunzi: Hassan S. Kajia SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... Hawakuweza hata kujiokoa kwani jeshi la Mosses Ndula lilionekana kuwa imara. Alitakiwa kusema ukweli juu ya jambo ambalo Serikali inataka kujua kwani inaonekana kama alitumwa na chombo hicho kikuu cha dola. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Mosses alijua John na Aminata watakuwa wanatumiwa. Alifahamu sana mambo ya baba yake, Mzee Amigolas ambaye alikuwa yupo karibu sana na viongozi wakubwa wa nchi. Amigolas alijihusisha upande mwingine na serikali. Alisaidia viongozi kila mara wakati wa kampeni. Hakutaka wajue kwamba alikuwa anafanya hila za kuwateka na kuwaua kama alivyodhamiria hivyo aliwauliza maswali ili ajue endapo wangekufa asingeweza kutafutwa na polizi zaidi kwani ni miezi michache imepita baada ya kufanikiwa kumaliza tofauti zake na polisi ambao walikuwa wanamtafuta na kusaidiwa kwa kivuli cha Steve ambaye sasa ndiye bosi wake. …