HATI FEKI (12)

Zephiline F Ezekiel
HATI FEKI (12)
Jina: HATI FEKI Mtunzi: Hassan S. Kajia SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Ni furaha ndiyo iliyommaliza maumivu. Alijihisi mwenye nguvu huku akimhudumia mume wake tayari kwa kumweka sawa. “Nadhani maisha yetu yapo hatarini zaidi kuliko hatari tuliyokutana nayo. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Hawa jamaa lazima watutafute hivyo Aminata naomba uwe makini sana na tena ikiwezekana usikae mbali na mim,” John alimwambia Aminata ambaye kwa wakati huo alikuwa akimfuta John damu iliyoenea mwilini na kumuuguza majeraha aliyoyapata. “Najua John, siko tayari kufa. Ntapambana kama tulivyopambana. Sijasahau kabisa mapambano. silaha tayari tunazo. Tutaweza tu. Huyu Mosses nadhani hatujui… haifai tukamkawiza. Tujipangeni twende.” ”Nakupenda sana Aminata,” alirudia tena John maneno yale yale aliyomwambia Aminata wakati wote, ila safari hii ilikuwa ni kumdhibitishia kwamba yuko tayari kufa kwa ajili yake. Aminata alili…