HATI FEKI (14)

Zephiline F Ezekiel
HATI FEKI (14)
Jina: HATI FEKI Mtunzi: Hassan S. Kajia SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Aliamu kurudi akiwa tayari kwa mapambano n kwenda kukutana na kina John na Max ili kupanga mikakati ya kupambana na maadui zao. Walifika ofisini saa mbili asubuhi na kumkuta Antony akiwasubiri nje na gari lake. John alifurahi kumwona pacha wake. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Alijua yuko tayari kupambana. John aliendelea kuzungumza na Max na Antony juu ya yaliyotokea. Walimweleza Antony kila kitu juu ya mipango yao. Alifanya hivyo ili waweze kuwa tayari katika kuhakikisha wanapata njia ya kukabiliana na maadui zao. “Safari hii tusiwakawize, najua wapo wengi sana hasa baada ya kuniteka, nilikutana na kundi kubwa. Sasa itabidi tuichukue hii nchi kwa muda watu watatu, tunavamia Mererani tunashambulia migodi afu tutajua tu jengo lao lilipo. Sawa?” Max alisema akiwapa mbinu John na Antony. “Sawa sawa,” John na Antony waliitikia kuony…