HATI FEKI (17)

Zephiline F Ezekiel
HATI FEKI (17)
Jina: HATI FEKI Mtunzi: Hassan S. Kajia SEHEMU YA KUMI NA SABA ILIPOISHIA... Alimwona Mosses akiifuata helikopta kwa lengo la kutoroka lakini mara helikopta ile iliondoka na hivyo hakuweza tena kuipata. Aminata aliwahi na kuilenga ile helikopta na kuilipua. Mosses alishtuka baada ya kuona imemuacha na kisha kulipuka. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Alikuwa bado hajamwona Aminata. Ghafla alimwona Aminata akimfuata. Alianza kumrushia Aminata risasi ambazo zilikuwa zikimkosa huku Aminata akizidi kumsogelea. Alimfyatulia risasi ambayo ilimpata begani na kukaa chini. Mosses alikuwa akiangaliana na Aminata pasipo kuamini kwamba hajaambulia chochote kutokana na mipango yake. Hasira zilimvaa huku akihema sana. Bastola yake ilikuwa mbali na alipo na hivyo hakuweza kuiokota. Alisimama ghafla na kunza kukimbia. Alifanikiwa kumtoroka Aminata lakini mbele yake alikuwa amesimama John ambaye alikuwa ameshamwona. Aminata…