MAUAJI YA KASISI (2)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (2)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... sista Rose akafanya hivyo na Fr Gichuru akamuwekea mikono kichwani kumbariki, mara mwanga wa taa za gari ukawamulika kutoka getini, hakuna liyejua ni gari ya nani, Fr Gichuru akamuacha Sr Rose aendelee na shughuli yake yeye akaliendea geti… JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Sista Rose alikuwa kajibanza kwenye ua kubwa lililo karibu kabisa na mlango wa kuingilia sakristia, akiangalia kinachoendelea, baada ya mabishano mafupi kati ya Fr Giochuru na wale jamaa waliokuja na ile gari mara alishuhudia kasisi yule akianguka chini kwa kishindo na sauti ya kike iliamuru wengine kupanda garini na kuondoka kwa kasi. Sista Rose alibaki akitetemeka huku machozi yakimwagika na si kumbubujika, alishindwa afanye nini, awaamshe wenzake au aende kumsaidia Fr Gichuru, alikuwa njia panda hakujua afanye nini. Gari ile ilipoondoka alirudi nyumbani kwa…