MKONO WA JASUSI (23)

Zephiline F Ezekiel
MKONO WA JASUSI (23)
Jina: MKONO WA JASUSI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU ILIPOISHIA... Kamanda Amata akasimama na kutazama huku na kule, tayari mtafaruku ulianza huko chini, na ndani ya chumba kile alichouawa Robinson kulikuwa ni heka heka. Akaondoka eneo lile na kuruka kwenye kikorido cha chini yake, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... akavua mkanda wake wa kiuno na kuupachika kwenye waya wa umeme akakamata huku na huku akazungusha miisho yake katika viganja vya mikono kisha akajiachia na kupita hewani kuelekea jingo lile walilokuwamo akina Lereti . Nyuma yake alisikia milio ya risasi ikimfuatia. Aliteremka kwa kasi na alipofika umbali wa mita mbili kutoka katika lile dirisha kubwa la kioo ambalo ndani yake kulikua na kile kikao, akajiachia na miguu yake ikatangulia kwenye kile kioo na kukitawanya vipande vipande kisha yeye akatua ndani yake na kuwatawanya watu walio karibu yake kwa mateke mawili makali. Alip…