
Mtunzi: Nyemo Chilongani
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
“Unataka baba mwenye nyumba aniibie! Ningekuwa nawe muda wote ule, yaani ningehakikisha hata nikienda chooni natangulizana na wewe. Haijati u mzuri mno, unajua kupendeza, ngozi yako inang’aa sana, huo uzuri, kweli wewe ni mwanamke wa Kizanzibari,” nilimwambia.
JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media?
IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI
IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI
👉GUSA HAPA KU-INSTALL👈
ENDELEA...
“Asante sana!” aliniambia huku akisikia aibu.
“Hivi kuna kitu gani mwanaume atakihitaji zaidi akiwa na wewe?” nilimuuliza.
“Kwani mimi ndiyo kila kitu?”
“Ndiyo! Ukiwa na njaa, mtu akikuangalia anashiba, mtu akichoka, anapata pumziko, Haijati, kama ningekuwa na nafasi ya kuwa nawe, nahisi ningekuwa na bahati zaidi ya mwanaume aliyefanikiwa kulala na wanawake wote warembo duniani,” nilimwamia.
“Jamaniiiiiiii!”
“Hebu angalia lipsi zako, zinaonekana laini sana, yaani ningekuwa mimi ndiyo Issa, nadhani muda mwingi ningekuwa nazilamba tu. Una kifua kizuri sana, yaani ningekuwa Issa, ningehakikisha saa ishirini na nne nakiangalia tu,” nilimwambia.
“Mh! Jamaniiiiiii!”
“Una sauti tamu sana Haijati, tamu mno, hebu ongea kidogo niisikie....kidogo tu jamaniiiiiiii....” nilimwambia huku nikitoa tabasamu.
“Jamaniiiiiiiiiiiii...”
“Mashallaaaaaah.......umebarikiwa kuliko wanawake wote,” nilimwambia, akaanza kucheka.
“Inshallah!”
“Ila ningependa niwe naisikia sauti yako hata nikiwa mbali nawe Haijati, naruhusiwa?” nilimuuliza.
“Unamaanisha nini?” aliniuliza na hapohapo nikampa simu yangu aandike namba yake.
“No! Namba hapana!”
“Nakuomba Haijati! Naomba unionee huruma katika hili, najua kwamba ni vigumu lakini naomba unionee huruma katika hili, ninaumwa, ninahitaji tiba, nitibu kwa sauti yako, pleaseeeee...” nilimwambia kwa sauti tamu kishenzi, yaani mpaka leo sijui kasauti kale nilikatoa wapi.
“Nimeolewa ujue.”
“Najua! Sitokupigia ukiwa na mume wako! Niamini katika hilo!”
“Huwa ninakuwa na mume wangu kila wakati!”
“Lakini sasa hivi haupo naye, nitakuwa nakupigia muda kama huu, nakuomba Haijati!” nilimwambia.
“Daah! Mtihani mgumu huu!”
“Lakini bado unaweza kupata A.”
“Hahah! Una maneno wewe!”
Nilimbana, kila alichokuwa akisema, nilikipangua kiakili sana. Kwa jinsi alivyoonekana tu hakuwa na ugumu wowote ule, alikuwa mteremko ila alitaka kunipima kuona kama nilikuwa mkazaji ama la.
Wakati nikiendelea kubembeleza, mara Halima huyo akarudi na chakula na kukaa na kuanza kula. Nilichokuwa nikikifanya ni kumwangalia Haijati kisiri kwa jicho lililomaanisha alikuwa na kitu ambacho nilikihitaji sana.
Akawa anachekacheka tu. Walikula na walipomaliza, nikawaaga ila palepale ili kuonyesha umwamba, nikaingiza mkono mfukoni na kutoa pochi yangu, nikatoa laki mbili, laki moja nikampa Halima na nyingine Haijati.
“Ahsante sana jamani,” alisema Halima.
“Nashukuru!” alisema Haijati.
“Haina shida. Tutaonana! Ngoja kwanza niende kukta tiketi ya ndege keshokutwa niendelea Malawi mara moja,” niliwaambia, sikutaka kubaki, hapohapo nikasimama na kuondoka zangu.
Kile nilichokifanya niliamini kwamba kilikuwa sumu kali kuliko hata Cynaide, niliamini kwamba kwa namna moja ilikuwa ni lazima nikamilishe mambo yangu.
Kichwani mwangu niliamini kabisa kwamba Haijati alikuwa akienda kulala kitandani kwangu tu kwani kwa mikwara niliyoipga, ilikuwa balaa ile kishenzi.
Hawa wawili nilitaka nimalizane nao, nianze na nani? Nikajifikiriaaaa, nikajua kwamba kama ningeanza na Halima, ningepata kazi kumpata Haijati, hii ni kwa sababu Halima angeweza kumwambia, ila kama ningeana na Haijati, ingekuwa rahisi kumpata hata Halima kwa sababu Haijati angefanya siri kwa kuwa alikuwa ameolewa.
Nikalifuata gari langu na kuondoka zangu. Nilipofika njiani, mara nikasikia simu yangu ikilia mlio uliomaanisha kwamba kulikuwa na ujumbe wa simu, nikaichukua na kuuangalia.
“Ahsante sana,” ulisomeka ujumbe, kuangalia namba ilikuwa ngeni.
“Samahani! Nani?” niliuliza.
“Haijati!”
“Waooo! Namba yangu umeitoa wapi?”
“Nimeiiba kwa wifi. Aliniachia simu akapeleka vyombo!” aliniandikia.
“Nashukuru sana kuipata namba yako mrembo. Hakika hii ni bahati kubwa sana kwangu, naomba nikupigie,” nilimwandikia meseji ndefu.
“Sawa.”
Sikutaka kuchelewa, nikalipaki gari pembeni na kumuendea hewani. Nilianza kuzungumza naye, nilihisi kabisa kwamba mwili wangu ulibadilika kabisa, kulikuwa na hali tofauti nilianza kuihisi mwilini mwangu.
Niliongea naye kidogo, nikamuuliza alipokuwa akiishi, akaniambia alihamia Mabibo yeye na mume wake, Issa. Kutoka mabibo mpaka nyumbani kwangu pale Sinza, hakukuwa mbali, nilimwambia kwamba ninataka kumuona akiondoka kwa Halima.
“Leo hii?” aliniuliza.
“Yeah! Nimekumiss sana mpenzi,” nilimwambia, nikaingiza jina la mpenzi nione lingeitikiwa vipi.
“Nitaangalia. Nitakushtua nikitoka,” aliniambia na kukata simu.
Jamani! Vijana tafuteni pesa, hiyo ndiyo suluhisho la kutembea na mwanamke yeyote yule unayemtaka. Unapokuwa na pesa unajiamini, unajiona wewe ndiyo wewe na hakuna wa kukubabaisha.
Yaani hebu fikiria, huyu Haijati nimekutana naye leo, nikamwambia maneno matamu leo na kumsifia kidogo na nilipomgusia kuhusu kuonana naye, akakubali.
Yaani nimeonana naye leo, ni mke wa mtu, hakuwa akinifahamu kabla lakini mtoto alielekea kibra, halafu nimuache? Sina Ukristo huo.
Nikasema kwamba siku hiyo ilikuwa ni vita, nilichokifanya ni kwenda kwenye duka moja hivi lililokuwa Mlimani City na kununua pingu fulani za faragha.
Kwa wale wanaofuatilia sana mambo ya faragha watakuwa wanazifahamu hizi pingu. Huwa zinatumika sana, yaani mwanamke au mwanaume anafungwa kitandani mikono na miguu yake na kumwachia mtu aanze kufanya yake.
Hilo ndilo nililotaka kulifanya. Haraka sana nikaenda katika duka hilo lililokuwa Mwenge kwenda kununua vifaa hivyo.
“Nataka seti nzima, huwa kuna nini na nini?” nilimuuliza muuzaji.
“Kuna pingu, mkia wa farasi (Brainded leather whip), kifaa cha mshine cha mtetemo (Vibrator Rechargable) na pampu (Vibratting Butt),” alinijibu.
“Kiasi gani?”
“Laki nne!”
“Naomba!”
Hivi vilikuwa vitu muhimu sana, kuna wale wanaume ambao wanadharaulika, wanaonekana kuwa si kitu faragha huwa wanatakiwa sana kuvitumia hivi vifaa.
Kwa wanawake wanajua, utakuta anakutana na mwanaume anamwambia jamaa amenipaka shombo mno, basi hii ndiyo huwa suluhisho, ni vifaa vya siri sana ambavyo vinapotumika, kama ni mke wa mtu, atakung’ang’ania na kuhitaji umuoe kabisa.
Basi nikapewa zangu na kuondoka. Nilipofika nyumbani, nikatoa tabasamu, nikasema kwamba siku hiyo ndiyo ilikuwa ni ufunguzi wa nyumba hiyo.
Ilipofika majira ya saa nane, Haijati ananitumia meseji kwamba alikuwa akitoka hivyo alihitaji kuonana nami.
“Njoo Sinza!” nilimwambia.
“Halafu?”
“Twende sehemu!”
“Ila sitaki hotelini wala nyumba ya wageni,” aliniambia. Nikacheka sanaaaaaaa.
“Usijali! Kwangu je?”
“Chumbani siingiii....”
“Jamaniiiii!”
“Labda mpaka tuzoeane!”
“Haina shida!”
Mtu mzima nikaandaa mazingira, ilikuwa ni lazima nihakikishe kila kitu kinakuwa sawa kabisa. Baada ya nusu saa akasema kwamba alikuwa akiteremka Shekilango hivyo nimfuate. Haraka sana nikamfuata, nikamuingiza ndani ya gari na kuondoka zetu.
Tulikuwa tunaongea mambo mengi mno njiani, baada ya dakika kadhaa, tukafika, nikaliingiza gari ndani, tukateremka na kuelekea ndani.
Haijati alikuwa akishangaa, hakuamini alichokuwa akikiona. Nyumba ilikuwa kali mno, ilipendeza na kila kitu alichokiona alihisi kama alikuwa kwenye ulimwengu fulani hivi. Tulipofika sebuleni, akakaa kwenye kochi na kumsogelea.
“Nikuletee nini?” nilimuuliza huku nikiwa karibu naye.
“Chochote kile.”
“Kuna maziwa, juisi, soda, chokleti, unahitaji nini bebi,” nilimwambia, jina la bebi nalo nikalitaja kama kurahisisha mambo yangu!”
“Naomba juisi!”
“Ya pasheni au maembe!”
“Yoyote upendayo!”
“Sawa.”
Nikainuka na kuelekea kwenye friji na kumletea juisi. Hakuacha kushangaa, nilijua tu alikuwa akiyafikiria maisha yangu kwamba yalikuwaje, kwa nini nilionekana kuwa na pesa kiasi kile.
“Wifi yangu yupo wapi?” aliniuliza swali la kijingaaaaa...yaani kwenye maswali yote duniani, hili ndilo la kijinga, na mwanaume ukiulizwa swali hili usishtuke, hili humaanisha kwamba nimekubali kuwa na wewe kwa gharama zozote zile.
“Hakuna wifi!”
“Kaenda wapi?”
“Nipo singo tu! Mapenzi yalinipelekesha kishenzi,” nilimwambia kwa sauti ndogo.
“Kivipi?”
“Pesa si kila kitu, wakati mwingine mwanamke anahitaji muda, nilikuwa bize na kazi hivyo akaamua kuondoka,” nilimwambia.
“Mh! Kwa hiyo bado upo bize?”
“Hapana! Nilijifunza, sasa hivi biashara zangu zote nimeweka wasimamizi, hivyo nina muda mwingi mno,” nilimwambia.
“Sasa si ndiyo umrudishe!”
“Ameolewa! Yeye ni Muislamu, hivyo alipoondoka, watu wakanyanyua jiko fasta. Au nimsubiri mpaka aachike,” nilimwambia.
“Sio vizuri hivyo,” aliniambia.
Tukawa tunapiga stori. Yaani kama kunakuwa na jambo linataka kutokea, utajua tu. Tulianza kwa kukaa makochi tofauti, tuliongea weeee, nikahama na kuhamia kwenye kochi lake alilokalia la watu wanne. Yeye alikaa kule mwisho na mimi huku.
Tuliendelea na stori, tukajikuta tunasogeleana tu na mwisho wa siku kuwa karibu-karibu kabisa kiasi cha kusikia pumzi za mwenzako.
“Una sauti nzuri sana,” nilimwambia kwa kumnong’oneza.
“Ahsante!”
“Nataka niisikie sauti yako ikitoa sauti nyingine ya faragha! Naruhusiwa?” nilimuuliza, alikuwa mtu mzima, si mtoto hivyo alijua nilimaanisha sauti gani.
“Jamaniiiiiiii....” aliniambia, hata kabla hiyo jamani yake haijamalizika vizuri, akashtukia mkono wangu ukianza kazi maalumu ya kuanza kutoa nguo moja na nyingine, hakunikataa, alibaki akiniangalia, yaani kwa kifupi ni kwamba alikuwa tayari kwa kila kitu.
Nilikuwa mtundu wa kufanya kitu chochote kile faragha, nilimwangalia Haijati huku nikiona kabisa mchana wa siku ile alikuwa akienda kupata tabu sana. Sikutaka kuchelewa, haraka sana nikambeba juujuu na kumpeleka chumbani.
Nilipomfikisha, nikamuweka kwenye kitanda na kuanza kumwangalia kwa macho yaliyoonyesha ni kitu gani nilikuwa nakihitaji kutoka kwake muda huo. Nilipomkumbuka Issa tu, hasira zikanishika zaidi na kujihakikishia kwamba siku hiyo ilikuwa ni siku ya vita.
Nikamtoa nguo zote mwilini na kwenda kwenye kabati, nikachukua pingu ya faragha na vifaa vingine na kurudi. Alibaki akinishangaa, hakujua kazi yake kwa sababu si Watanzania wengi wanatumia vitu kama hivi. Kwanza, nikamfunga pingu na kumwambia kwamba siku hiyo ilikuwa ni ya kipekee sana.
Yaliyotokea hapo, si vizuri kuyaandika hapa ila kwa kifupi ni kwamba Haijati alimsaliti mumewe,
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
Share CnZ Media App kwa Wapenzi wa Kusoma Simulizi Ili Tuwe Wasomaji Wengi