NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI (12)

Zephiline F Ezekiel
NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI (12)
Jina: NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI Mtunzi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Nikamtoa nguo zote mwilini na kwenda kwenye kabati, nikachukua pingu ya faragha na vifaa vingine na kurudi. Alibaki akinishangaa, hakujua kazi yake kwa sababu si Watanzania wengi wanatumia vitu kama hivi. Kwanza, nikamfunga pingu na kumwambia kwamba siku hiyo ilikuwa ni ya kipekee sana. Yaliyotokea hapo, si vizuri kuyaandika hapa ila kwa kifupi ni kwamba Haijati alimsaliti mumewe, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... nilimchukua mke wa Issa pasipo mwenyewe kugundua kitu chochote kile. Nakumbuka tulichukua saa mbili kitandani ndipo tukaenda kuoga, na huko napo, tukarudia kidogo na kuelekea chumbani kuvaa. Aliniangalia, hakuamini kilichotokea, hakutarajia kukutana na harakati za kigaidi kama zile alizokutana nazo. Nilimwangalia kwa macho ya kutaka kusikia kitu chochote kile kutoka kwake kwani niliamini kwa jinsi moto ul…