NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI (15)

Zephiline F Ezekiel

SEHEMU YA KUMI NA TANO
ILIPOISHIA...
Aliniangalia, alikuwa na hamu ya kuniuliza maswali mengi ambayo aliamini majibu ambayo ningempa yangemshangaza mno.

“Imekuwaje?” aliniuliza huku akiniangalia.

“Kuwaje kivipi?”

JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media?
IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI
👉GUSA HAPA KU-INSTALL👈

ENDELEA...
“Sikuelewielewi ujue!” aliniambia.

“Kivipi?”

“Umependeza sana!”

“Ooh! Kumbe sitakiwi kupendeza?” nilimuuliza huku nikitoa tabasamu pana.

Naye akatabasamu.

Akaniambia kilichokuwa kimemleta mahali pale, alinitafutia kazi katika supamaketi fulani iliyokuwa Upanga ambayo aliniambia kila kitu kwamba mshahara wake ulikuwa ni laki tatu.

Alipanga kila kitu, aliwaseti wenye supamaketi hiyo na kuwaambia kwamba mimi ni kijana mwaminifu na sikuwa na tatizo lolote lile. Nilimwangalia, alikuwa msichana wa tofauti sana ambaye alionyesha ni kwa jinsi gani alinijali.

Ila kazi ya supamaketi ningeifanyaje na wakati nilikuwa milionea? Nilimwangalia huku nikionekana kuwa makini kumsikiliza.

“Nurat! Nashukuru sana!” nilimwambia huku nikimuonyeshea uhalisia wa kushukuru vilivyo.

“Kwa hiyo wamesema kesho ukaanze!” aliniambia.

“Nikaanze? Hapana bwana!”

“Kwa nini? Umepata kazi?”

“Hahah! Sifanyi kazi. Ila kama nitakwenda huko, basi waniambie hiyo supamaketi ni kiasi gani niinunue iwe yangu,” nilimwambia.

Nurat alishangaa sana, hakuamini nilichomwambia. Aliniangalia vizuri, sikutaka kuonekana kuwa siriazi sana, nikajifanya kama kuwa na utani mwingi.

“Acha utani Edward. Unajua nimesumbuka sana kukutafutia kazi, naomba usiniangushe,” aliniambia kwa upole sana.

“Nurat! Nashukuru ila sitoweza!” nilimwambia.

“Kwa nini?”

“Inuka twende nyumbani, huko tutazungumza kwa vitendo,” nilimwambia na kumuinua pale.

Tulitembea huku tukizungumza mambo mengi. Kwa jinsi nilivyomwangalia msichana huyo, ilionekana kabisa alikuwa akijiuliza mambo mengi kuhusu mimi, ilikuwaje mpaka niwe hivyo? Mbona nilibadilika sana?

Sikumjibu, ila nilijua baada ya kufika nyumbani angepata majibu ya maswali yake yote aliyokuwa akijiuliza. Tulipofika, nikafungua geti kwa ufunguo na kuingia.

Nurat alibaki akishangaa, hakuamini kile alichokuwa akikiona, aliniangalia mara mbilimbili, alihitaji kufahamu mambo mengi kuhusu nyumba hiyo.

Tukaelekea mpaka ndani na kukaa kwenye kochi. Aliangalia vizuri, jinsi mazingira yake yalivyokuwa, yalipendeza kupita kawaida.

“Edward! Hebu niambie kitu! Hapa ni kwa nani?” aliniuliza huku akiniangalia.

“Kwangu!”

“Kwa nini hukuniambia kama una maisha haya?” aliniuliza, nilibaki kimya kwani hata kwa jinsi alivyoonekana, alionekana kukasirika.

“Sikutaka ujue undani wa maisha yangu. Niliishi vile kwa kuwa nilihitaji msichana atakayenijali kwa hali niliyokuwanayo,” nilimwambia.

“Na umempata?”

Nikatabasamu, nikamsogelea pale alipokaa na kukaa karibu yake. Sikufichi, pamoja na umalaya wangu lakini Nurat nilitokea kumpenda sana.

Ni msichana anayejali, unapokuwa hauna kazi, halafu msichana anatokea kukutafutia kazi, kukusaidia kwa kukupa pesa huyo anakuwa ni mtu wa tofauti sana.

Si kwa sababu nilimsaidia baba yake, ila ni kwa sababu aliuona undani wangu kwamba nilihitaji msaada mkubwa katika maisha yangu hivyo akaamua kunisaidia kwani alikuwa na uwezo hata wa kunitelekeza hata kama nilimsaidia baba yake.

“Ninakupenda Nurat,” nilimwambia.

“Ila kwa nini hukuniambia kuhusu maisha yako?” aliniuliza.

“Kwa sababu ungenikataa! Na niliogopa kukataliwa na wewe,” nilimwambia.

“Umekosea Edward!”

“Ndiyo maana naomba msamaha! Najua nilipokosea, naomba unisamehe!” nilimwambia.

Wanaume wengi huwa wanakosea hapa, wanahisi kumuomba msichana msamaha ni udhaifu, hakuna kitu kama hicho. Unapokosea, unapomkasirisha mpenzi wako, kuwahi kumuomba msamaha kunaufanya moyo wake kulainika.

Wasichana wengi wanajua kwamba wanaume ni wababe sana, hawataki kushaurika sasa inapotokea ukamuomba msamaha, lazima akusamehe kwa sababu umetenda binadamu lakini pia umemuonyeshea thamani kwa kukubali kosa ulilolifanya.

Akasimama na kuniinua kisha kunikumbatia. Nilitamani kumchukua na kumpeleka chumbani lakini sikuwa na nguvu za kutosha kwa kuwa nilizitumia sana usiku.

Ikabidi nibaki naye sebuleni na kuzungumza naye huku nikimwambia kwamba hapo palikuwa pake kwa kuwa tulitarajiwa kuwa mwili mmoja.

“Unafanya biashara ama?” aliniuliza.

“Yeah! Ninafanya biashara nyingi sana,” nilimwambia na kuanza kuziorodhesha.

Alishangaa sana, hakuamini kama ningeweza kuuigiza umasikini kama kipindi cha nyuma. Hakujua kama kweli nilikuwa masikini ila ni almasi ya baba yake ndiyo iliyobadilisha maisha yangu.

Tulizungumza mengi kisha ilipofika majira ya saa nane nikamuingiza ndani ya gari na kumpeleka nyumbani kwao huku akionekana kuwa na furaha mno.

“Nakupenda Edward,” aliniambia.

“Nakupenda pia.”

Nilimuaga na kuondoka, sikutaka kuingia kwao, nilimwambia ningefika hapo siku nyingine. Nikaondoka zangu, nikiwa njiani, mara nikapokea ujumbe wa simu kutoka kwa namba ngeni.

“Umenichunia!” niliisoma meseji hiyo, kwanza nikapaki gari pembeni.

“Nimekuchunia, kivipi? Kwani wewe nani?” niliuliza.

“Esta!”

“Esta? Ooh! Ua namba nyingine?”

“Ndiyo! Ila samahani sikukwambia. Upo wapi?” aliniuliza.

“Nipo home.”

“Halafu hukuwahi kunipeleka kwako,” aliniambia. Nikachanganyikiwa, nikaamua kumpigia kabisa.

Nilianza kuzungumza naye, alilalamika kwa kuwa nilimficha, hivyo ili kuondoa lawama nikamwambia nampitia kwao ili nimchukue na kwenda naye nyumbani.

“Nyumbani usije, niambie wapi nije,” aliniambia.

Nikamuelekeza.

Kwa kuwa nilikuwa Morocco ya Kinondoni nikitokea Upanga alipokuwa akiishi Nurat, nikaendesha gari kama kichaa. Nilipofika nyumbani, sikukaa hata dakika kumi, akawa amefika barabarani na kwenda kumchukua.

Siku hiyo Esta alipendeza sana, alinukia na nguo aliyoivaa ilikuwa si mchezo. Nikamchukua, nikamsifia na kuelekea naye nyumbani. Hicho ndicho nilichokitaka, msichana huyu alinisumbua sana nilipokutana naye siku ya kwanza na siku hiyo nilitaka kumpelekea moto wa kibabe mpaka mwenyewe ashangae.

Tulipofika nyumbani, tukaingia ndani. Alikuwa akishangaa tu, hakuamini kama kulikuwa na kijana mdogo kama mimi niliyekuwa nikiishi maisha yale, alinisifia, tulikaa sebuleni kwa dakika chache, nikambeba na kumpeleka chumbani.

Esta alikuwa binti mdogo, kifua chake kilidhihirisha hivyo, mwili wake ulijigawa sana, alinidatisha na nikasema kama kufa, basi siku hiyo nilikuwa tayari kufa ila si kumuacha.

Huwa sipendi kuyaandika yale yaliyofanyika kitandani ila jua kuwa nilitumia ufundi wangu wote, vifaa vyote, mabarafu ya kutosha mpaka yeye mwenyewe alishangaa kwani hakuamini kama kulikuwa na mwanaume aliyekuwa na pumzi kama mimi.

“Wewe kiboko!” aliniambia.

“Kwa nini?”

“Kwa msichana yeyote akikutana na wewe, hatokuacha,” aliniambia huku akiwa pembeni yangu nikivuta pumzi ya kuendelea na mchezo baada ya ngwe ya kwanza kuchukua dakika hamsini.

Hapohapo nikaupeleka mkono wangu kwenye sehemu moja ya mwili wake, akashtuka na kujisogeza pembeni kidogo kwani hakutaka tuendelee tena mpaka akaoge.

“Naomba nikaogea kwanza, halafu tutaendelea,” aliniambia.

“Sawa. Chukua taulo kabatini,” nilimwambia na kuchukua taulo kuelekea bafuni.

Nikasimama na kuelekea sebuleni, huwa ninapokuwa na msichana chumba sipendi kabisa kuwa na simu huko kwani najijua, mimi mzee wa majanga, linaweza la kutokea.

Nilipofika huko, nikachukua simu yangu, kulikuwa na ujumbe wa maneno kutoka kwa mtu ambaye kama nikimwambia, utashangaa sana.

Alikuwa Esta! Tena kwa namba yake uliosema.

“Baby! Nimekuwa bize chuo, ila nikitoka nitakushtua, nadhani mpaka saa kumi na moja nitakuwa nyumbani.”

Nikashtuka. Kama huyo aliyetuma meseji alikuwa Esta, tena kwa namba yake, inamaana huyu niliyekuwanaye chumbani hakuwa Esta bali alikuwa pacha wake, Glory.

“Mh! Niliguna. Nikaamua nimpigie simu kabisa.

“Samahani nilikuwa kikaoni. Upo wapi now?” nilimuuliza.

“Nipo njiani, ila nitafika nyumbani nioge kwanza, halafu nitakuja kwako!” aliniambia.

“Sawa.”

Nikakata simu, nikaiacha na kurudi chumbani. Nilitakiwa kuwa mjanja, nishajua kwamba huyu niliyekuwa naye chumbani hakuwa Esta bali Glory hivyo nilitakiwa nijue kuwatofautisha.

Alimaliza kuoga na kuja chumbani, akakaa kitandani. Nikamsogelea, nikamtoa taulo na kubaki mtupu na kuanza kumfanyia utundu mwingi. Lengo langu halikuwa jingine zaidi ya kutafuta alama ya kumtofautisha.

Niliupitisha ulimi wangu kote, nilipofika mapajani, nikaona ana doa fulani jeusi, lilikuwa dogo tu, nahisi la kuzaliwa nalo.

Nikajua kwamba hiyo inaweza kuwa alama pekee ya kuwatofautisha hawa wawili. Pale kitandani alikuwa akiugulia kwa raha na sikumuacha. Nilijua kwamba huyu si Esta sasa nilitaka kumfanyia mchezo ambao asingeusahau maisha yake yote.

“Can we ride a bicycle?” (tunaweza kuendesha baiskeli?) nilimuuliza.

“How?” (kivipi?) aliniuliza.

Hii Kamasutra iliuharibu kabisa ubongo wangu, nilifahamu mambo mengi kuhusu sex kuliko hata michongo mingi ya kutafuta pesa. Nikamwambia jinsi ilivyo, alishangaa kwani hakuwahi kuwekwa kama nilivyomuweka.

Baada ya hapo, kilichosikika ni kilio ambacho sikuwahi kukisikia. Sasa niliamua kumfanyia kwa sifa, nilihitaji atakapotoka pale, awe amekoma.

Ilikuwa ni kubadilikabadilika, nilicheza michezo zaidi ya minne, yaani kama kwenye mechi uwanjani basi kocha alikuwa akibadilisha formation kila baada ya dakika kadhaa.

Baada ya dakika thelathini nikamuacha, nikamwambia kwamba nilitakiwa kumfanyia kitu kimoja tu.

“Kipi?” aliniuliza kwa sauti ya chini iliyokuwa hoi.

“From toe to the head,” kutoka dole gumba mpaka kichwani) nilimwambia.

Hiyo ndiyo ilikuwa njia ya kummaliza msichana yeyote duniani. Ila hii hufanyika kwa msichana ambaye una malengo naye, labda umempata mtoto wa kishua hivi na unataka kumuoa na wazazi wanabana, au umempata demu aliyekuwa akikudharau kwa kusema una kibamia, au umempata demu ambaye unataka kujenga naye maisha, basi unamfanyia hivi.

Hii haitakiwi kufanywa kwa demu ambaye hauna ndoto naye, kama ni wa kupita, achana nayo kwani atakusumbua maisha yako yote.

Nikaichukua miguu yake, nikamnyoosha, akalala chali na kuanzia kwenye vidole gumba, niliviingiza mdomoni na kuanza kuvichezea huku nikiupapasa unyayo.

Alianza kupiga kelele, sikuacha, niliendelea na zoezi hilo, alikuwa akihangaika, mara atake kunitoa, nilichokifanya, nikamuacha, nikachukua pingu na kuifunga mikono yake kwenye vyuma vya kitanda na kumrudia.

Nilianza kufanya vilevile,

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

Share CnZ Media App kwa Wapenzi wa Kusoma Simulizi Ili Tuwe Wasomaji Wengi

Chapisha Maoni