CHUZI NDIO HILO, HAKUNA KUONJA (3)

Zephiline F Ezekiel
CHUZI NDIO HILO, HAKUNA KUONJA (3)
Jina: CHUZI NDIO HILO, HAKUNA KUONJA Mtunzi: Global Publisher SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA... Musa alipofika nje, akauweka mfuko wa rambo juu ya meza ya plastiki iliyochoka, kwenye kona kabisa ya nyumba, akamtumia meseji mama Shua ... “Mzigo wako upo kwenye meza ya plastiki nje kwenye kona.” Mama Shua alitoka haraka, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... akaenda nje kwenye meza na kuchukua mfuko kisha akasimama kulekule nje na kutumbukiza mkono mfukoni na kuchukua kipande kimojakimoja cha mshikaki na kukipeleka mdomoni. Mpaka akamaliza mishikaki yote sita. Alirudi ndani akiwa anajifuta mkono huku akisahau kwamba, mishikaki inanukia... “Mh! Nasikia harufu kama ya mishikaki,” alisema mgeni mmoja wa baba Shua wakati mama Shua akipita. Wote wakasema kweli. *** Asubuhi kulikucha, Shua na mama yake walikuwa uani. Musa alipotoka kwenda kuoga akaanza kumtania Shua... “Mchumbaaa...umeamkaje wewe mchumba?” Shua aliachia tabasamu…