MAUAJI YA KASISI (10)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (10)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... zaidi ya hilo alibofya kitufe cha kuruhusu sauti isikike kwa nguvu ‘loud speaker’ kisha akajituliza kitini. Akishika hiki na kile juu ya meza yake mara mlango uligongwa na kufunguliwa na mgongaji aliyejitoma ndani bila kukaribishwa, hakuwa mwingine ni yule boss wake bwana Shikuku aliyeingia akiwa amefura kwa hasira ambayo ilimtisha hata Melchior, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... akajitupa kwenye kiti cha upande wa pili na kushusha pumzi ndefu, “Mr Ndege, FBI wapo hapa” alimwambia Melchior ambaye alionekana kushtushwa kidogo kwa taarifa hiyo “Oh shit, wataharibu mipango yetu” Ndege alimjibu huku akiiweka kalamu yake mezani na mkono kuuelekeza shavuni. “Sio wataharibu, wameshaharibu,” bwana Shikuku alitamka hayo huku akitikisa kichwa, kisha akamuangalia melchior na kumwambia, “Wameshatuomba tujitoe kwenye huu mkakati ili wao wafanye …