MAUAJI YA KASISI (15)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (15)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA KUMI NA TANO ILIPOISHIA... “Ok, tumuache apumzike sasa,” ilikuwa ni kauli ya daktari akiwaambia wale wauguzi pamoja na wasaidizi wake, wote wakakiacha kile chumba na kurudi katika idara zao. Akili ya Kamanda Amata haikutulia, muda wote ilimuwaza Bill, hasira zikaanza kuuteka moyo wake, maneno ya Madam S yakamvunja nguvu, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... ‘Bill anataka kunisababishia kushushwa cheo na kustahafishwa kabisa,’ alijiwazia; ‘Haiwezekani,’ alinyanyuka katika kile kitanda alichokilalia, akajichomoa drip iliyokuwa ikiendelea kuingia mwilini mwake, akatazama huku na kule hakuona nguo yake yoyote zaidi ya yale mavazi aliyovaa, mavazi ya hospitalini, hakujali, akauendea mlango na kutoka, huku na kule, hakuna mtu, akatoka mlango wa pili na mpaka ule wa nje, akiwa pale nje alikutana na watu mbalimbali hakujali wala kushangaa, alipita eneo la wal…