MAUAJI YA KASISI (17)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA KUMI NA SABA ILIPOISHIA... ninyi mnatazama mauaji ya Fr Gichuru, na kumsaka muuaji na monstrance iliyopotea, lakini hali sivyo ilivyo, kwa uwezo wenu nyie lazima mtaishia katikati kwani katika kesi hiyo kuna mkono wa kimataifa, mkono nambao pambano lake lazima liwe la kimataifa vilevile,” JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... kabla hajaendelea, sergeant Maria alimkatisha, “Unasemaje wewe?” Yule kijana akarudia kumwambia yale yote aliyokwisha sema, “Mimi nilishuhudia Fr Gichuru alivyotekwa, alivyofungwa na kupewa mateso makali, lakini usiku huo akatoweka pale alipofungwa, nilikuwa mlinzi katika godown moja ambalo huyo marehemu alifungwa, na tulipata shida sana baada ya kutoweka kwake, na wale waliomteka waliapa kumuua pindi tu watakapomuona, na ndivyo ilivyokuwa” Sasa sergeant Maria alionekana kuvutiwa na simulizi hii tamu ambayo iliifanya damu yake kuch…