MAUAJI YA KASISI (19)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (19)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA KUMI NA TISA ILIPOISHIA... “ Kamanda Amata karibu sana,” alimkaribisha. “Asante sana nafurahi kukutana na wewe, sasa kilichonileta hapa ni juu ya mauaji ya kasisi, Fr Gichuru . Ningependa kujua juu yake kwa kifupi ili nijue wapi pa kuanzia,” JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Amata alianzisha mazungumzo ya kikazi. Fr Joe Smith , alimueleza Amata kila kitu kuanzi asafari yake ya Roma kwenda kuchukua ile monstrance mpaka aliporudi, na mazingira ambayo kifo chake kilitokea, akamueleza pia juu ya kupotea kwa Gichuru kwa takribani masaa 24 na yote yaliyotukia. Kamanda Amata alitulia kitini akisikiliza kwa makini huku akiandika vitu Fulani katika kijitabu chake kidogo. “Umesema majambazi hao wamechukua Monstrance, unafikiri kuna nini katika chombo hicho?” Amata aliuliza. “Kwa kweli sijui labda kwa sababu ya malighafi iliyotengenezewa, kwa maana ile monstrance i…