MAUAJI YA KASISI (29)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA ILIPOISHIA... Alikuta watoto wakicheza cheza katika ngazi za kanisa hilo, mara mbele yake gari oja ilikuwa ikija pale aliposimama, Bill akaisimamisha, alikuwa ni Fr Frank, akitoka kwenda mjini kutafuta mahitaji, Bill aliiendea ile gari na kufungua mlango akaingia na kuketi kiti cha pembeni bastola mkononi, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... “Unahifadhi wanausalama sio?” alimuuliza Fr Frank ambaye alionekana kutetemeka mwili mzima. “Hapana, hapana,” akamjibu. “Huyo kasisi wenu mweusi ni nani? Si Kamanda Amata?” swali lingine lilitua sikioni mwa Fr Frank. Kisha Bill akamuamuru Fr Frank kuendesha gari mpaka maeneo anayoyajua yeye. Lilikuwa ni shamba kubwa ambalo lilikuwa na aina mbalimbali ya miti na mazao, Bill alimshusha Fr Frank na kumuongoza katika banda Fulani, akaingia, alichokifanya ni kumfunga kamba kisha kuanza kumpa mateso ma…