MAUAJI YA KASISI (30)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (30)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA THELATHINI ILIPOISHIA... “Ndiyo, Bill kaja akaniteka hapa leo asubuhi na kunipeleka huko kwenye maficho yao,” Frank akaeleza. “Sasa nani kakuokoa?” lilikuwa swali la Kamanda. “Si nimekwambia mi ni FBI yaani Federal Beureau of Investigation , sishindwi kujiokoa kwa watu dhaifu kama hawa,” Frank alitamba, sasa akiwa amevua ile kanzu ya kikasisi. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... “Laiti ningepata hiyo nafasi ningemmaliza huyo mtu palepale, maana sihitaji mahojiano naye, nimetumwa kuirudisha roho yake kwa muumba wake, bas,” Kamanda akamwambia Frank. “No Kamanda, sikiliza, unatakiwa unisaidie tumpate Bill akiwa hai, serikali ya Washington inamtaka akiwa hai ili akaungane na wenzake kule Guantanamo bay,” Frank akamwambia Amata. “Hamna shida, mimi serikali ya Dodoma imenituma niitenganishe roho na mwili wake, so tutagawana, wewe utamchukua akiwa hai na mi ni…