MAUAJI YA KASISI (32)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (32)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI ILIPOISHIA... Hellen alimtazama Kamanda Amata hakummaliza, akaingia za mkono wake mkobani na kutoa kitu kama kikebe cha wino wa mhuri, akakifungua, ndani yake mlikuwamo na sigara tano na kiberiti cha gesi, vyote viliweza kutosha ndani ya kikebe kile. Akachomoa sigara moja na kuiweka mdomoni, akamtazama Kamanda Amata, kabla hajafanya lolote Kamanda Amata aliitambua ile sigara, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... haikuwa sigara bali ni mfano wa sigara ambayo ukiiweka mdomoni na kusukuma pumzi kwa nje, sio kwa ndani kama kawaida ya kuvuta sigara, hutoa vumbi jepesi sana ambalo litakupa usingizi ndani ya sekunde kumi tu. Kamanda Amata alimnyang’anya ile sigara na kuitupa pembeni, Hellen alipiga kelele, na kitendo hicho kilimfanya Kamanda Amata kukanyaga breki za ghafla akiwa katika mwendo mkali. Hellen alikuwa hajafunga mkanda hivyo al…