MAUAJI YA KASISI (34)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (34)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA THELATHINI NA NNE ILIPOISHIA... Kile kichwa kilipotua jichoni lile dubwana lika muachia Amata na kujishika jicho, Kamanda Amata akatua sakafuni kwa miguu miwili baada ya kuruka samasoti safi sana, alitahamaki na kuliona lile jitu likimjia kasi kama mbogo, akalikwepa nalo likajibamiza ukutani, Kamanda Amata akatazama huku na kule akaona taa iliyosimamishwa kwenye nguzo ya chuma, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... akaiwahi na kuichukua akaivunja taa yake nayo ikabaki bila taa, akaiinua na kumpiga nayo mgongoni, lilipoguka kamanda Amata akatumia ule mnara wa taa akamchoma tumboni, lakini hakufanikiwa hata kumtoboa kutokana na ulaini wa chuma kile lakini alimpiga shoti moja mbaya ya umeme kutokana na kwamba alikuwa hajaichomoa kwenye soketi pale ukutani, Amata akatabasamu kwa hilo. Lile jitu, lilipigwa shoti iliyolisukuma na likajibwaga zimazima pale chi…