MREMBO MCHARUKO (16)

Zephiline F Ezekiel
MREMBO MCHARUKO (16)
Jina: MREMBO MCHARUKO Mtunzi: Latifa SEHEMU YA KUMI NA SITA ILIPOISHIA... "Lisa samahani naomba nikupeleke nyumbani" "Apana boss nashukuru nitapanda daladala tu" "Nakuomba kwa leo tu nikubalie nikupeleke" KAMA UNAISOMA SIMULIZI HII TOFAUTI NA KWENYE APP YA CnZ Media IPAKUE ILI KUPATA SIMULIZI KWA WAKATI SAHIHI 👉 GUSA INSTALL 👈 ENDELEA... Sikuwa na jinsi nilikubali japo sikupenda ile hali iliyozusha minongono kwa wafanyakazi wezangu kuwa mimi ni mpenzi wa boss ilizidi kunikera tofauti na Vitalis alikuwa anafurahia tu. Basi alinifikisha adi maeneo ya nyumbani "Lisa kama hutojali naomba nifike adi nyumbani kabisa" Alinambia "Sasa ufike nyumbani kufata nini?" "Jamani kwani kuna ubaya alafu mbona ni mkali ivyo si nimekuomba lakini?" "Nashukuru kwa kunifikisha adi maeneo ya kwetu kwaheri" Nilimjibu nikafungua gari nakushuka nikaondoka kuelekea nyumbani nikimuacha Vitalis anahudhuni akinitazama. **** Kaka Gedion aliekuwa kikazi Arusha alirudi…