USIKU WA BALAA (1)

Zephiline F Ezekiel
USIKU WA BALAA (1)
Jina: USIKU WA BALAA Mtunzi: Kalmas Konzo SEHEMU YA KWANZA Ni wiki kama ya pili sasa toka katika nyumba ya jirani yangu mzee Mwaitambo kufikwe na ugeni mahiri kabisa. Ugeni huu ulikuwa ni kama sapraizi kwangu kutokana na mandhari yake. Ulikuwa ni ugeni ambao uliukonga moyo wangu na kuuacha ukidundadunda. Alikuwa ni binti wa kazi wa mzee Mwaitambo ambaye alikuwa ametoka kijijini huko katika mkoa wa Chaka nchini Bantu . Binti huyu alikuwa ni mrembo sana. Alikuwa amejaliwa umbile lenye mvuto na sura nzuri ya kirembo. Makalio yake makubwa kiasi ambayo yalivibrate kila alipokuwa akitembea yalitaka kunitoa roho mimi. Vijichuchu vyake vichanga ndo ilikuwa shida. Binti huyu alikuwa ni mrembo na alitupagawisha karibu wanaume wote wapenda ngono na mabinti wa eneo lile la Mavado jijini Kano . Ikanibidi nianze kutengeneza mikakati kabambe na ya kijasusi ya kuweza kumnasa mrembo huyu. Sikuwa na shaka na mikakati yangu kwani uzinzi ilikuwa ni taaluma yangu ambayo nilikuwa na shahada yake. Kila siku nikiwa na…