MAMA MWENYE NYUMBA (12) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumanne, 5 Mei 2020

MAMA MWENYE NYUMBA (12)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA KUMI NA MBILI
Kisha ghafla akaanza kupiga atua akielekea kwenye ile bar, pale alipo kaa Edgar ambae alikuwa ameinamia bakuli la supu ilililo jaa paja kubwa la kuku, na mchuzi, chapati tatu zikiwa kwenye sahani, na yanne ikiwa kipande, huku soda ikiwa pembeni ikivuja maji kama umande, kuonyesha kuwa niya baridi sana

SASA ENDELEA...
Nancy alifika pale na kusimama mbele ya meza ya Edgar, “Eddy mambo” ilikuwa sauti nyembamba yautulivu uliochanganyika na wasi wasi, iliyo mstua Edgar ambae hakujuwa kama kuna uwepo wa mtu mwingine mbele yake, akainua usowake na kumtazama alie salimia, “poa” aliitikia kisha akaendelea kuifakamia supu yakuku, “samahani Eddy naomba tuongee kidogo” Nancy alionea akiwa bado amesimama, kwasauti ile ile yamwanzo, hapo Edgar akainua tena uso wake, nakumtazama Nancy, kwasekunde kadhaa, kisha kwasauti tulivu akasema “samahani dada yangu, kwani tuna fahamiana?

Hapo kilimshika kitu kama haibu ata miguu yake ika kosa nguvu, akajikuta akikaa kwenye kiti kilicho kuwepo kwenye meza hile, alitulia kidogo na kuwatazama wenzake ambao walisha anza kutembea kuelekea chuoni, kisha akamtazama Edgar nakuongea kwasauti ya upole yakutia huruma “samahani Eddy, najuwa kuwa nilikukosea, lakini…”alisita kidogo baada ya muhudumu kufika nakusimama pembeni yake, “samahani anti nikuletee nini?” wali hilo lilikuwa gumu sana kwake, kwa sababu hakuwa ata na shilingi mbovu, akabaki ametumbua macho nakumkodolea Edgar ambae alikuwa ameinua uso wake na kumtazama Nancy, Edgar alishuhudi kitu kama machozi yakiwa yame anza kufunika maho ya binti huyu alie mzalilisha sikumbili zilizopita, “mletee kama hii, kasolo chapati tuta gawana hizi”

Sauti hiyo ya Edgar ilikuwa kama mauza uza, masikioni kwa Nancy, “nasoda pia?” aliuliza yule muhudumu, “muulize mwenye ata kunywa soda gani?” alijibu Edgar nakuendelea kuishambulia supu yake, hapo Nancy alitabasamu kidogo, akimwangalia Edgar ambae macho yake yalikuwepo kwenye supu, “Edgar naomba unipe nafasi, …. naitaji kuongea na wewe” aliongea Nancy, kwasauti ya kubembeleza, “ongea” Edgar alijibu kimkato, kitu ambacho kilimshangaza Nancy, maana yeye alijuwa kuwa yamekwisha, baada ya kupewa offer ya supu, “samahani kama nakuudhi, baba yangu, simahanishi hapa, sehemu nyingine” hapo hakuna jibu lililotoka kwaEdgar kika tawalakimya muhudumu alikuja na kuleta vitu alivyo agiziwa Nancy naye akaanza kpata supu ya kuku ikiwa kama ndoto maana hakuna mwanaume ambae angefanya vile, walikula kimya kimya mpaka, walipo maliza japo Edgar alianza kula, kabla ya Nancy, lakini walimaliza pamoja, baada ya kunawa Nancy akashuhudia Edgar akifungua waleti yake iliyo kuwa na noti nyingi za elfu kumi kumi, nakuchomoa moja kisha akampatia yule muhudumu, ambapo akarudishiwa chenji, kisha akainuka tayari kuelekea chuoni, hapo Nancy akainua begi la vitabu la Edgar nakuliunganisha naleke, aakayaweka begani,safari ikaanza kuelekea chuoni, njia nzima Nancy alikuwa anaomba kupata nafasi ya kuongea nae, ili amwombe msamaha, baada ya kuomba sana Edgar akamjibu “ok tutaangalia nikipata muda”kisha akachukuwa begi lake nakuungana nawenzake kuelekea darasani kwao, huku Nancy naye akiingia darasani kwao, ukuakijipa moyo, kuwa atafanikiwa kumpata Edgar, kijana ambae alitokea kuuteka moyo wake

Ilsha timia saa tano asubuhi, mzee mashaka alikuwa amesha jiandaa, kwakutoka kwenda katika shughuli zake za kila siku, “mumewangu naomba leo, tutke wote usije kulewa kama jana mpaka ……” alongea mama Sophy akijiegemeza kwa mumewake ambae alikuwa amesimama mbele ya kioo kikubwa akijiweka sawa, “mpaka nini,?” aliuliza mzee Mashaka akionyesha kuwa, hakuwa na utani kwa siku hiyo, maana alisha juwa anacho taka mke wake, “kuona hivyo mama Sophy akajuwa kuwa mumewake hataki utani, akaamua kuzuga, “kuna jambo nili taka tuongee, lakini naona hupo busy sana” hapo ata uso wa mzee Mashaka uka badirika, nakuonyesha tabasamu, “jambo gani hilo mke wangu?” hapo mama Sophy akachezesha akili kwa haraka nakusema, “nilikuwa naitaji fedha kidogo si unajuwa week ya pili sasa sija enda mjini,” hapo mzee Mashaka akmtazama mke wake, huku akiwaza kidogo “ok! nitapitia kwenye Benk ya wananchi kisha nita twa fedha nakumwachi, yule rafiki yake Sophy, ..sijuwi anaitwa nanani vileee, alafu wewe utaipitia pale” wakaafikiana jambo lile, japo MAMA Sophy hakuwa na safari yoyote ya mjini lakini akaanza kujiandaa, ili atomize wajibu, huku mume wake akiwa amesha toka

Kituo chakwanza chamzee Mashaka kilikuwa Benk ya wananchi, pale mbezi akatowa fedha kiasi cha milioni tano nakuingia nzo ofisini kwa Suzan ambae alimkuta ndiyo kwanza ametoka kununua simu, “hooo karibu baba , yani umenisusaaaa” aliongea suzan huku akiona kama ametembelewa na mtu ambae hakupenda awepo pale mda hule, walikumbatiana kisha waka kaa, nakuulizana habai za iku mbili zilizo pita, huku mzee Mashaka akijifanya kuwa yupo busy, na Suzan alimzodoa kwakuwa alikuwa nazo taharifa zakuwa, anashinda bar na wanawake, ingawa usoni Suzan alionyesha hali ya tabasamu, mzee Mashaka hakukaa sana, akamkabizi Suzan million tano, tatu zikiwa za Suzan na mbili za mkewake, akamweleza kuwa mama Sophy angezipitia pale, kitu kama hicho walisha wai kufanya mala kadhaa, kwahiyo isingekuwa shida kwaleo, le mzee Mashaka anaondoka tu!, Suzan ali mng’ong’a kisha akajisemea, “hunichezei tena, wewe kahaba la kiume”, hapo Suza akaangalia simu yake ilikuwa saa sita na lobo, akaichukuwa simu yake na kumpigia Edgar, namba ilikuwa imeandikwa mpangaji chuo, Edgar alipo ipokea akamwambia ajitaidi aende pale ofisini kwake alaka akiaihi kumwelekeza pindi atakapo fika mbezi

Muda huo ndio muda ambao mama Sophy alikuwa anatoka nyumbani kwake mbezi msakuzi, akiwa ndani ya garilake Toyota vits, aliendesha taratibu huku akijiuliza hii tabtabia yamumewake ya kumnyima dudu itaisha lini, maana kiukweli ataalipo kuwa ana waza hayo alihisi kuna kidudu kina tembe kwenye kitumbua chake, nakumtekenya vibaya sana, mawazo hayo yali koma alipo ingia benk ya wananchi, ambapo alielekea moja kwa moja ofisini kwa Suzan, “hooo! mama karibu zatoka jana” walisalimiana huku Suzan akihisi msuto katika nafsi yake kwani aliomna ubaya anao ufanya kutembea na mume wahuyu mama, alijiapita kuto kumpa utamu maze Mashaka, kwani hali muonea huruma huyu mama warafikiyake, maana alijuwa kabisa kuwa kutokana na kibamia cha mzee Mashaka huyu mama hakuwa anafaidi dudu, ukizingatia yeye amesha ona siri ya mafanikio kwa Edgar, “safi tu mwanangu, vipi jana mlifika salama?” walisalimiana, nakuongea mabo mawili matatu, wakati Suzan akimkabidhi mama Sophy, fedha mill 2, na mlango wa ofisi nao uka gongwa kuashilia kuna mtu anaitaji kuingia, Suzan akausogele a mlango akimwacha mama Sophy, anaweka fedha kwenye mkoba wake, alikuwa Edgar

“Ho! umesha fika, karibu” ilikuwa nusu wakumbatiane, maana wote walikuwa wana hamu ya kuingiziana dudu, kutokana na kukatishwa kwa pambano la jana na usiku, lakini walishindwa kutokana na uwepo wa mama sophy, Edgar alimsalimia mama Sophy, kisha Suzan aka mkabidhi simu pamoja na tsh mill moja, za kwenda kutuma kwa wzazi, hapo Edgar akataka kuaga , lakini Suzan alimwombea lift kwa mama Sophy, huku akimsisitiza Edgar kuwai kurudi, iliwapate chakula cha mchana pamoja, japo mama Sophy hakuwa na safari ya mjini, lakini aliamuwa kuzuga, akipanga kumfikisha Edgar ubungo, kisha amwache nakugeuka zake

Dakika chache baadae mama Sophy na Edgar walikuwa ibanda cha mkaa wakielekea mjini, njiani walikuwa kimya kila mmoja akiwaza yakwake, mama Sophy alikuwa anawaza juu ya tabia ya mume wake, ya kurudi nyumbani akiwa na shombo kwenye dudu, mama Sophy aliumia sana kwa tabia hiyo ya mume wake, alikosa la kufanya kwasababu hakuwa na tabia ya kutoka nje ya ndoa, wakati mama Sophy akiwaza hayo, huyku Edgar naye alikuwa amezama katika mwazo juu ya tukio la jana usiku huku picha ya tukio la jana usiku iki mjia kichwani, aliiona jinsi Suzan alivyo kuwa amelala huku ame chanua miguu yake, na kitumbua kikionekana wazi kabisa, hapo akaisikia ata dudu yake ikiinuka na kusimama, kiasi cha kutuna kwenye suluwali yake ya kitambaa chepesi, wakati huo walikuwa kwenye foleni ya kuingia kimara mwisho, ambapo foleni ilikuwa inaanza kutembea, na mama Sophy alitazama gia ili aingize D atembee, kwa bahati mabaya akaangalia kwenye zip ya Edgar, akaona kitu kime vimba, na kutngeneza ramani, iliyoonekana kwa uwazi, akajikuta koo likimkauka , akameza mate kulainisha koo, uku akisahau kama alitakiwa kutembea baada ya magali kuaza kusogea, akastuliwa na honi ya magari ya nyuma yake, hapo akaingiza gia nakuondoa gari, akiwa haja amini macho yake kile alicho kiona, akawa anaibia kutazama kila anapo pata nafasi, nikweli haku kosea ilikuwa dudu, tena ilionekana kuwa nakiu ya hajabu, hapo akatabasamu na kumtazama Edgar, ambae alikuwa amezama kwenye mawazo

“Upo mwaka wangapi mwanangu?” kwamala ya kwanza wakavunja ukimya, “nipo mwaka watatu mama” alijibu Edgar kwasauti yenye uzani mkubwa wanizamu, “hu! kumbe karibu unamaliza hen?” hapo wakaanza kuongea huku mala kwamala alikuwa anatazama kwenye dudu ya Edgar, wakati akiya fanya hayo, alianza kuisi unyevu unyevu kwenye kitumbua chake, mbacho kilikuwa kina kiu ya miezi mingi, hakijaonja dudu, walivuka mataa nakuingia stend kuu ya ubungo na kuingia ndani ya stendi hiyo, waliitavuta ofisi ya busi la ngoni trans, hawakutumia muda mrefu kuipata, waka kabidhi mzigo nakupewa taratibu ambazo mpokeaji anatakiwa azifwate, Edgar alipiga simu kwa mzee Ngonyani akampaujumbe wakumpelekea baba yake, alipo maliza akamuaaga mama Sophy huku akimshukuru kwa msaada wake

Lakini mama Sophy alimwambia amindikize kwanza, ili warudi wote, alimwambia kwamba alikuwa anakikao na wageni wake kwenye hotel ya NYUMBANI PEACE VILLAGE, hivyo waende pamoja na hawata tumia muda mrefu, watrakuwa wanarudi nyumbani, haikuwa na pingamizi kwaupande wa Edgar, wakaingia kwenye Toyota vits, nakuanza safari ya kuelekea kwenye hotel ya nyumbani peace village, ambayo hipo atuwa chache toka stendi ya ubungo, walipo fika mama Sophy alimwambia Edgar amsubiri kwenye gari, akatoka akimwacha Edgar akishangaa mazingila mazuri ya pale hotelini, akamwona mama Sophy ana rudi, akamwambia ashuke kwenye gari, kisha amfwate, baada ya kufunga milango ya gari, wakaongozana kuelekea ndani ya hotel hiyo, walipita hukumbi wa chakula na vinywaji, wakanyoosha kwenye kimlango kidogo, ambapo Edgar alimwona mama Sophy akiponye vinamba kisha ule mlango uka funguka kama wa daladala

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA TATU

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni