MAMA MWENYE NYUMBA (9) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumapili, 3 Mei 2020

MAMA MWENYE NYUMBA (9)

UMEWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU PICHA ZA AI?
Sasa naomba nikufundishe bure kabisa nawewe uzitengeneze kirahisi kabisa

Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA TISA
“Nime kutoka nikapate bia kidogo, nimechoka kunywea nyumbani” hapo mzee Mashaka alikuwa amesha pata jibu kwa mke wake, “ hoooo! Kumbeeee, ebu sikia mpigie Sophia, akupe kampani, maana mimi nina mihadi na jamaa moja toka Arusha kuanzia saa tisa, mchana”

SASA ENDELEA...
Hapo mzee Mashaka akaona mkewake akiingiwa na kaunyonge flani, “ husiwe hivyo mama, jioni si tuta kutana” mzee Mashaka akajikuta akiachia zinga la tabasamu, kwakauli hiyo mama Sophy aka pata jibu sahii, kuwa mume wake amesha elewa somo

“Weweeeee, huyu kijana mbona mzuri hivi?” kauli hiyo ya Sophia ili ustua moyo wa Suzan, nakujikuta hali flani ya tahadhari ikigonga kichwani mwake, na hakuwa na jibu Zaidi ya kuishia kucheka, “au ni mtuwako nini?” aliuliza tena Sophia, “ hapana bwana mtumwenyewe nimgeni tu hapa, ata week haja maliza, nianze tu!” alijibu Suzan akijaribu kuwepesha machoyake yasikutane nay a Sophia, maana alikuwa akikumbana na picha ya tukio la jan usiku, mala kwamala, hapo alitani usiku uingie, ajivutie kijana wake, ili ampatie dudu kisawa sawa, “ila huyu kijana mzuri, sema anaonekana bado mdogo, hule urefu wabule tu!” aliendelea kusifia Sophia, “ebu! tuyahache hayo, nipe story zajana” Suzan alibadili tropic, maana aliona kiwivu flani kina mnyemelea, wakati huohuo simu ya Sophia ikaita, alipoiangalia, alikuwa mama yake, akipokea na kumwamkia mama yake, “shikamoo mama” kisha akaakimya kusikiliza upande wapili, kisha akasikika akiitikia, kwa kukubali, “ndiyo mama …..hakuna shida…. ndiyo… sasa nipo nyumbani kwa Suzan…. ndiyonita mwambia….. haya mama….poa baadae” kisha akakata simu, akionyesha tabasamu usoni kwake, “leo mama anataka tumpe kampani, anataka atoke kidogo mchana” Sophia alimwambia Suzan, “nanani, na mimi?” aliuliza Suzan, ndiyo siameniambia nikuambie, ukanywe wine yako, unavyoipenda sijuwi nani alikufundisha?” wote wakacheka, kwapamoja, ndipo Sophia alipoanza, kumsimulia matukio yote mawili ,yajana pale full dose

Wakati mama Sophia ana pigasimu kwa mwanae Sophia, nakulitaja jina la Suzan, alipoulizwa yupo wapi, ndipo mzee Mashaka alipo gundua kuna mtu anaitwa Suzan, akamshauli mkewake,amwalike na Suzan, akiamini hakuta kuwa nausumbufu wowote pindi atakapo kuwa na bint wajana, akichezewa dudu, “vipi wamekubari?” aliuliza mzee Mashaka kwashauku, “Suzan hawezi kukataa, watakuja mchana”

Mida hiyo Edgar alikuwa darasani akijisomea, ndani ya darasa wanafunzi wachache walikuwepo wakiendelea na kujipiga msasa, kiukweli machoyake yali tazama maandishi lakini hakuelewa anacho kisoma, maana muda wote ilimjia picha ya mchezo mzuri wajana usiku, mala kwamala alijikuta akijichekea pekeyake, asaakikumbuka jinsi Suzan alivyokuwa analalamika, nawakati yeye alijifanya anaujuwa ule mchezo vizuri, alipitisha masaa mawili pale mpaka saa sita, alipo stuliwa na simu yake, alipoiangalia ilikuwa ni namba ngeni, akabonyeza kipokeleo, lakini simu ikakatika, hapo akajaribu kuipiga ile namba “salio lako alitoshi kupiga simu hii, tafadhali ongeza salio au…”hakusubiri sautihiyo ifikie mwisho, akainuka hara na kutoka nje, akaangalia maduka yaliyotazamana na chuo yakitenganishwa na barabara ya vumbi, akavuka barabara nakuelekea duka moja kati ya maduka mengi yaliyopo pale, “unavocha?” alimwuliza muuza duka, “nieishiwa aisee, ebu! jaribu hilo duka hapo mbele, karibu na saloon” alielekezwa duka jingine, Nancy alikuwa amekaa saloon nje kwenye bench, akiwa na wenzake wawili, ni baada ya kutoka drasani, akaamua ampitie mpenzi wake ambao wameazisha urafiki jana jioni, Elisha kinyozi, ili amwezeshe, pesa ya kwenda kupata lunch (chakula cha mchana) Elisha bado alikuwa anazichanga maana, alazima atomize hesabu ya boss, ela ya umeme, ndiyo apate fedha ya kula yeye na pengine kumpatia mpenzi wake Nancy, ndipo nasi alipo mwona Edgar akitoka darasani mbio akija madukani, akiwa amevalia tishert ya kijivu, iliyo mkaa vyema na pensi la kadet lenyemifuko ya pembeni na raba nyeupe simple, akamwona akiingia duka la kwanza, nakutoka, kisha kuanza kuja kule walipo wao, Nancy alijifanya kama hajamwona kijana yule japo wenzake, walikuwa wana mwangalia, kwamacho ya mshangao, maana alikuwa mgeni machoni mwao, Nancy alishusha presur baada ya kumwona Edgar akisimama kwenye dirisha la duka la jilani, kabla haja wafikia, hakuishia hapo akamwona Edgar akiingiza mkono kwenye mfuko wa nyma wa pensi lake, na kuibuka na kizigo cha noti za elfu kumikumi, nakuchomoa moja, kisha akaludisha nyingine kwenye mfuko hule hule wanyuma

Huku ile moja akimpa muuza duka, Nancy ambae alikuwa akimwona Edgar kuwa kijana mnyonge hasiye na uwezo wakifedha, alibaki amekodoa macho akimtazama Edgar sambamba na wenzake, wakshuhudia Edgar akipokea vocha ya elfu moja kisha akaikwangua nakuanza kuiingiza bila kumwangalia muuza duka alie kuwa na mpatia chenji yake, alipo maliza akaonekana akibonyeza namba flani kisha, akaweka simu sikioni huku akiondoka, “weeee kaka chenji yako” hapo Edgar aligeuka na kuipokea chenji na kuendela na safari yake simu sikioni” bila kujuwa kuwa Nancy yupo pale na anamwona, simu iliita naikapokelewa “hallow nani mwenzangu” ilisikika sauti yenye lafudhi ya kingoni, kajuwa licha ya mpigaji kutoifahamu iinamba lakini inawezekana kunamtu wake wakaribu aliitumia simu hiyo, “mimi Edgar …. Edgar Haule, ulini bip, kwanamba hii” alijitambulisha kiufasaha kabisa “hooo! mtoto wa mzee Hauleeee, alikuwepo sasa hivi hapa, tulikuwa tunatoka kanisani, nikikutananaye baadae kwenye ulanzi nita mwambia akubip tena” “haya baba, wasalimie wote” Edgar alikata simu, na kuwaza kidogo, “ kweli haya maisha magumu , nimesahau mpaka kwenda kanisani” alijikuta akicheka, kisha akaitazama simu yake kwalengo la kutama saa, akaona nisaa sita nanusu, wakati huo huo simu ilionyesha maandishi yaliyo maanisha kuwa betri yake imkwisha, akkakumbuka nisiku ya pili leo hakuchaji simu, akaiweka mfukoni, kisha huyo, akaelekea, sehemu ambayo alizani anaweza kwenda kupata chakula cha mchana kisha aelekee nyumbani maana aliona kwamba kwaugeni ule wa Suzan hasingeweza kula pale

Wakati huo Suzan alikuwa anamalizia kujilemba baada yakuwa amesha oga amevaa, tayari kwenda kwenye mwaliko wa mama Sophia, ila kuna kitu kili kuwa kina mshawishi kukifanya, kuusu Edgar amsutue waende wote iki wakati wakuludi wawe wawili maana atokwenda na gari lake hivyo atalazimika kuchukluwa taxi, na ataitaji ulinzi wa kijana huyu ambae wameshaonjeshana dudu, akaamua kuchukuwa simu na kuelekea sebuleni, “eti Sophy, unaonaje nikienda na Edgar, kwaajili ya kampani wakati wakuludi,” nijambo ambalo ilo halikupingwa kabisa na Sophia, lakini kiukweli Suzan hakuwa na lengo la kampani, zaidi ya wivu, ata mda ambao Edgar alikuwa chuo, yeye aliona kama kuna mwanamke huko atakuwa anachezea dudu, hapo akaona mpaka kufika jioni atakuwa amekonda kwa mawazo, Suzan alipiaga simu, akaisikia ikiita akidogo kisha ika katika bila kupokelewa, akajitaidi kujizuwia hasionyeshe kuchanganyikiwa, lakini kiukweli, mapigo yamoyo ya Suzan yalienda mbio sana akizani kuwa Edgar amemkatia simu makusudi, akajaribu kuipiga tena simu ika haipatikani, “Sophia naona huyu tuta mpitia chuoni” alisema Suzan akiwaanaludi chumbani kwake kuchukuwa mkoba wake, kisha haooo wakatoka nje nakuingia kwenye gari la Sophia

Wakati huo huo bahatinzuri kwa Nancy, akamwona Elisha ana toka nje ya saloon, akiwa amefumbata mkono akaushika mkono wa Nancy na kuuweka mkonowake aliokuwa ameufumbata juu ya kiganja cha Nancy na kuweka fedha, lakini haikujulikanani kiasi gani maana ilikuwa imeviligwa na kufichwa, hapo Nancy aliipokea vile vile kama alivyo pewa na o wakainuka na kuondoka huku akishukuru, Nancy akiwa na wenzake walielekea upande ambapo kuna bar kubwa ambayo wanafunzi wengi upenda kukaa wakipata chakula, ata jana jioni, Nancy alikuwa pale na Elisha, mbele yao walimwona Edgar akiwa anaongea na simu, kisha wakamwona akimalinza na kuiweka mfukoni, alafu wakamwona nayeye akielekea kule wanako elekea wao, na pia wakamwona akiingia pale walipokusudi kuingia, Nancy akajiamini kuwa inawezekana Edgar akamshobokea, kwasababu yupo peke yake, hakuwa na mwanaume, kama ilivyokuwa jana, walipo ingia pale ndani ya bar kubwa ambao ilikuwa pemmbeni ya barabara, wakamwona Edgar akiwa amekaa kwenye meza za upande wan je chini ya mwamvuli, akitoa oda kwa muhudumu, na wao wakakaa meza ya jilani wakijifanya kuongea na kucheka kama hawa kuwa na wasiwasi wowote, wala kumjari Edgar, dakika chache muhudumu aliwafwata na kuwasikiliza hapo kila mtu ataagiza kutokana na mfukowake, kiukweli hakuna alie agiza zaidi ya chips na mayai m,awili na soda ya miatano kale kadogo,maana hawakuwa nafedha yakutosha , ata Nancy kumbe alikuwa amepewa elfu mbili mia tano tu! , hakuwa na ujanja zaidi ya chips mayai

Wakati huo wakashuhudia mezani kwa kijana Edgar ukishushwa mtray uliofulika ndizi za kukaanga na nyama kubwa ya ng’ombe ya kuchoma, ikifuka moshi, kuashilia ilikuwa ina toka jikoni, dakika chache ata kabla hajaanza kula, walishuhudia akiletewa soda baridi, kisha akanawa nakuanza kula chakula alicholetewa, huku vicheko viki simama na wote waka baki wakikodoa macho kwa Edgar, wakati wanaendelea kumshangaa Edgar, mala wakaona gari haina ya totyota ist, ikipita nakukata kona kuelekea upande wa chuo, lakini ghafla gari ilo lika simama kisha mlango mmoja uka funguliwa, aka shuka mwana dada wa maana mwenye umbo la hajabu, kiasi cha kuwa changanya ata watu waliomwona, tena wale waliokosa uvumilivu wali piga miluzi, ndipo Edgar alipostuka na kutazama watu wanacho kishangaa, macho yake yalishuhudia zinga la toto likija upande wake ilimchukua sekunde kama tano kumtambua kuwa ni mama mwenye nyumba wake, akiwa ameachia tabasamu laini midomoni mwake, Suzan alifurahi sana kumwona Edgar pale, kwanza akuangaika kumpata, pili alimkuta akiwa pekeyake, maana alizani amemkatia simu kwasababu yupo na mwanamke mwingine, “mbona umezima simu,?” ilikuwa sauti ya chini kama ana nong’ona hivi huku akiiegemea meza ya Edgar, huku arufu ya mafuta mazuri ikimfikia Edgar, “hapana mama, mbo……” aliongea Edgar akiangika kuingiza, mkono wakushoto kwenye mfuko wakulia, wa pensi lake ilikutoa simu, hapo wakina Nancy wakiendelea kushangaa tukio lile, wakashuhudia yulele mdada mrembo, akiingiza mkono kwenye mfuko wa kaptula ya Edgar anakusaidia kuitoa simuile, kisha akaitazama akijaribu kuiwasha, kweli ilikuwa ime zimwalakini ilipo washwa, tu ika zima tena

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA KUMI

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni